ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Unasoma ninacho andika? hata akitajwa mara 1000, nimesha kwambia toka juu huko waisrael na waarabu pale wote ni wavamiziTupe mstari hata mmoja Allah anataja neno Palestina. Nami nitakuletea countless number of times akiitaja ISRAEL na nchi yao.
Nimeheshimu sana kanuni za mjadala; jamaa kani-provoke. Soma posts zangu zilizotangulia.Huku unakoenda wala si dhamira ya Uzi, jaribu kufuata utaratibu.
Don't generalize - WAARABU. We are so specific - PALESTINE.Unasoma ninacho andika? hata akitajwa mara 1000, nimesha kwambia toka juu huko waisrael na waarabu pale wote ni wavamizi
Nani aliyevamia ardhi ya mwenzie kati ya Israel na Palestina? Swali lipo hapo, kuhusu ukorofi wa wa Palestina wa eneo la Gaza kuliko wa Palestina wa Ramallah (*kama eneo hili lipo) ni issue subjective kulingana na sababu ulizozitumia.Tatizo wapalestina wa Gaza ni wakorofi, mbona wenzao wa kule Ramallah hawana chokochoko nyingi. Pia wakati wanaweka mipaka walikosea palestina kuweka pande mbili yaani kule ukingo wa magharibi na upande wa Gaza, ilipaswa wote wawekwe pamoja. Hao wa gaza kama vipi wapewe hifadhi hata hapo Jordan tatizo vichwa vyao vibovu kila mwarabu anawaogopa.
Namaanisha Races au jamii zinazopakana siku zote huwa na mshabihiano inakuwaje hawa wanakuwa tofauti kiasi hiki?Fafanua vizuri hoja yako utapata majibu mazuri.
Hiki ulichokiandika kirejeshe mashariki ya kati halafu maliza kwa kuuliza swali lako.
Hata kwa tochi hayupo!Tuambie mfalme au rais mmoja wa Palestina kabla ya 1948
Nafikiri umeelewa wale waarabu na waisrael wote pale ni wavamizi kwenye ile nchi inayoitwa Israel pamoja na ile Palestina, narudia Wote sio kwao halisiaDon't generalize - WAARABU. We are so specific - PALESTINE.
Unaenda mbali sana unapotaja uumbaji wa Ardhi (Hapa unaanza kuhusisha dini, kwakuwa kama kuna uumbaji basi kuna muumbaji ambaye baada ya replies kadhaa utamtaja kuwa ni Mungu), jibanze kwenye kona andika hoja yako vyema tena ikiwa na mashiko kuhusu Israel na Palestina ila usiongelee au kutumia mifano, nukuu wala kitu chochote kitakachohusisha dini.Hakuna aliyemvamia mwenzie, hiyo ardhi ni ya wote.
Labda kama waliiumba ndo Wana haki nayo, ila kama na wao walizaliwa wakaikuta basi sio Yao wote.
Hiyo ardhi ya kwanini ni ya wana wa Israel, sema wana bahati mbaya wakiondoka inatakiwa na watu wengine. Kipindi wana wa Israel wametapakaa ulaya wakapata wazo kurudi kwenye ardhi yao ya asili ndio wakakuta wapalestina wameikalia, ardhi ni ya wana wa Yakobo.Nani aliyevamia ardhi ya mwenzie kati ya Israel na Palestina? Swali lipo hapo, kuhusu ukorofi wa wa Palestina wa eneo la Gaza kuliko wa Palestina wa Ramallah (*kama eneo hili lipo) ni issue subjective kulingana na sababu ulizozitumia.
Huna unachokijua .............heri unyamaze tuIsrael alivamia eneo la mwenzake , na Israel imeundwa mwaka 1948 , wakati Palestina ilikuepo muda mrefu sana
Mimi huwa nawaza kama wewe kinachoendelea pale ni Gombania Goli ukitaka kuamini hilo mbona kuna mataifa yamelowea kwenye Mataifa mengine na hakuna ugomvi wanaishi poa tu, Nenda Marekani au nenda South hapo ukaone mifano mizuli tuNafikiri umeelewa wale waarabu na waisrael wote pale ni wavamizi kwenye ile nchi inayoitwa Israel pamoja na ile Palestina, narudia Wote sio kwao halisia
Ardhi hiyo ni ya wana wa Yakobo kulingana na ushahidi upi?Hiyo ardhi ya kwanini ni ya wana wa Israel, sema wana bahati mbaya wakiondoka inatakiwa na watu wengine. Kipindi wana wa Israel wametapakaa ulaya wakapata wazo kurudi kwenye ardhi yao ya asili ndio wakakuta wapalestina wameikalia, ardhi ni ya wana wa Yakobo.
Sawa lakini sio hawa kina Netanyau au ilipigwa Cross Hybrid wakapatikana hawa mimi bado nina Mashaka na Muisraeri mwenye asili ya Israel kweli ni hawa tunaowaona leo?Hiyo ardhi ya kwanini ni ya wana wa Israel, sema wana bahati mbaya wakiondoka inatakiwa na watu wengine. Kipindi wana wa Israel wametapakaa ulaya wakapata wazo kurudi kwenye ardhi yao ya asili ndio wakakuta wapalestina wameikalia, ardhi ni ya wana wa Yakobo.
Shida ni wavamizi wawili kujifanya kila mmoja ana hati miliki wakati wote weziMimi huwa nawaza kama wewe kinachoendelea pale ni Gombania Goli ukitaka kuamini hilo mbona kuna mataifa yamelowea kwenye Mataifa mengine na hakuna ugomvi wanaishi poa tu, Nenda Marekani au nenda South hapo ukaone mifano mizuli tu
Naona polisi wa dini umekuja.Unaenda mbali sana unapotaja uumbaji wa Ardhi (Hapa unaanza kuhusisha dini, kwakuwa kama kuna uumbaji basi kuna muumbaji ambaye baada ya replies kadhaa utamtaja kuwa ni Mungu), jibanze kwenye kona andika hoja yako vyema tena ikiwa na mashiko kuhusu Israel na Palestina ila usiongelee au kutumia mifano, nukuu wala kitu chochote kitakachohusisha dini.
Anajizima data huyoArdhi hiyo ni ya wana wa Yakobo kulingana na ushahidi upi?
Umekaza nati! Pitia vizuri nilichokijibu. Jitahidi urejee kwenye mada, huku ulikoenda ni mbali sana.Naona polisi wa dino umekuja.
Hays nipge pingu Kwa kuitaja dini yako.
Nilichoandika kinaapply uwe unaamini Mungu au la.
Kama unaamini Mungu basi uumbaji ni pale Mungu alipoumba ulimwengu(in a literal sense)
Kama unaamini sayansi basi uumbaji ni pale process za BigBang na evolution zilipoanza (in a metaphorical sense)
Kama hivyo vyote basi uumbaji ni pale Kila kitu kilichopo kilianza. (In a philosophical sense)
Yaani hapo Mwarabu alijiokotea Ardhi Mzungu kuona vile akatengeza Zwengwe ili ardhi ile iwe yake ndio mpaka leo Ghasia haziishiShida ni wavamizi wawili kujifanya kila mmoja ana hati miliki wakati wote wezi