Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi

Wewe unaelewa wajibu ukiwa kiongozi? unaelewa matokeo ya kuvunja kiapo cha maadili? mbona unarefusha vitu viko wazi...ni sawa kumshawishi mwanamke kufanya zinaa kwa cheo chako au madaraka uliyo nayo? huyo unayemtetea na rafiki yake RC mwanza ni mazuzu wanapotoa pesa na kushawishi jambo liishe nje ya mahakama na wewe unajua zaidi yake!
 
Alafu anatokea mtu anatetea hizi chick
 
mmhhh mikoani tu
 
mzoefu wa sheria ipi? unaijua kesi ya seleman makumba wewe? hebu tuambie ilisemaje.
 
wewe sio mwanasheria, na inawezekana hata mahakamani hujawahi kanyaga.

ushahidi wa victim ukiwa na walau corroboration hizo alizozifanya kwa kupiga masimu, video footage, kutoa rushwa ipo kwenye bank statement, atachomokea wapi? huyo kuokoka kwake ni samia aamuru asishitakiwe, ila akikanyaga mahakama, amekwisha.
 
Wewe mwanamke wako unampata bila kumshawishi? Inaelekea labda hujawahi kusex.

Halafu kuna maisha binafsi bila kujali cheo cha mtu.
 
By now kwenye ili sakata hakuna asiejua huko serikalini kuanzia kwa raisi hadi wenyeviti wa mtaa.

Bungeni hakuna asiejua

Na kwenye judicial system na polisi hakuna asiejua.

Treatment ya huyo binti ni kielelezo cha β€˜selective justice’ ambayo ukiwa maskini kupata haki chances ni ndogo sana.

Yaani ukikasikiliza hako katoto mpaka huruma, halafu wahusika hawajali kabisa.

Haya mambo yanawezekana nchi za hovyo tu, Tanzania ikiwa miongoni.
 
So long vipimo vya DNA vipo na cctv camera znaonyesha na collaborativeevidence nyingine hii kesi ni mbaya kwa RC mtuhumiwa
 
tatizo ni namna utakalo prove ni ngumu mjomba kwenye kesi vitu vingi inaangaliwa haliangaliwi tendo tu ndo maana na kwambia hamna kesi hapo
Nafikiri tuvuke daraja tutakapolifikia kwani haya yote hapa ni maoni tu. RPC wa Mwanza amesema leo wamepokea vilelezo vya kisayansi na wanavipeleka kwa mwanasheria wa serikali for further action ikimanisha soon kesi itapelekwa mahakamani huko ndiyo itajulikana mbivu na mbichi. Kama RC alikufukua mtaro au binti anatumika kumchafua yatajulikana huko.
 
kama hujaingia CAT, huna legitimacy ya kongea hapa, wewe ni wakili mdogo hata hujui unaongea nini, maana yake hata miaka 4 haujafika. unaongea na watu tuna miaka 14 hapa. ndio maan animekuuliza swali moja tu, kesi ya SELEMANI MAKUMBA VS REPUBLIC ilisemaje? ukiweza hilo pengine nitaendelea kupoteza muda na wewe. relate hiyo kesi na ushahidi wa binti hata ukiondoa corroborations zingine.
 
Huyo binti ni mnafiki tu, ni jambazi namba moja. Alienda mwenyewe kujiuza, kma yu mkweli, hakujuwa anachokwenda kufanyiwa? Au ni mara yake ya kwanza?

Katumika kijinga ajipatie pesa kiulaini.

Hakuna kesi hapo.
FaizaFoxy najua shida hapo sio binti, shida ni kwamba, unaumia kwamba aliyelawiti ni alhaji. pia, kwako wewe kulawitiwa sio kitu kigeni, ni kawaida tu kwasababu nyie wapwani na wazanzibari marinda mlishauza zamani sana. hadi huwa mnatushangaa kwanini tunapinga ulawiti.

kwa kukusaidia ni kwamba, binti ni mwanafunzi tu, sio malaya wa kujiuza ndio maana mtu mwenye heshima kama RC alimchukua akawa mpenzi wake. alishaeleza awali kwamba RC alichukua namba yake walipokuwa kwenye birthday ya rafiki yake ambako RC alienda kutafuta mabinti wa kurubuni. hivyo huyo sio kama wewe, sio malaya kama wewe. alirubuniwa, akarubunika kama wanawake wengine tu.

pia, kitendo cha kukubali kuwa na RC sio ticket ya kulawiti. kwa sheria za Tanzania hata ukichukua malaya barabarani ukamlawiti, unakosa. kulawiti ni kosa, msione ni kitu cha kawaida.
 
Wewe mwanamke wako unampata bila kumshawishi? Inaelekea labda hujawahi kusex.

Halafu kuna maisha binafsi bila kujali cheo cha mtu.
Unaongea km layman..nadhani huelewi una ujuaji wa mtaani ambao umekupa uelewa potofu, jinai unayoifahamu nadhani ni wizi wa kuku na vinavyofanan na hivyo.
 
Nagfahamu umekosa hoja inabidi utukane ndiyo usongo wako utoke.

Huyo binti ni malaya na mzoefu, sikumsikia akiongelea kilainishi, wewe ukiliwa hutumii kilainishi?
 
Duuh, inawezekana bimkubwa naye ndiyo vile kuhusu marinda !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…