Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi

kumpenda mtu narudia si kosa kuhusu umri usirete hadithi za panzi na kunguru miaka 21 binti hapo kashachelewa kuzaa pili huwezi kumchagulia mtu aoe au aolewe na nani kama mwenyewe kamridhia hayo ni maumbile hayapingiki,pili kama aliona jamaa mtumzima kwa nini asimkatae? ndio maana nikasema ni malaya na mamke pia sabab woote wamemlidhia miezi zaidi ya 6 kweli mtu upo nae kimapenzi? tatu mtazame anayoongea utajua kuwa ana ndoto ya kuwa supersta watu wa mjue kifupi hafai, nne mimi na wewe hatuna ushahidi kama kalawitiwa ama la na kama kalawitiwa mpasuko alionao ni mpya au wa zamani? yote tutayajua courtini, ila kwa uzoefu wangu hii kesi hata jamaa ainiweka mimi huyu bint hasindi sana sana tutakuja kumfungulia kesi ya madai baadae yamchafua atulipe mamilioni na kuwafilisi kabisa na kuhakikishia hii kesi hashindi huyu binti ni mkubwa sana sheria ya tanzania binti ruhusa kuolewa kuanzia miaka 15 kama yupo tu nyumbani hasomi sasa huyu anasoma chuo elewa na sheria ya chuo kikuu lazima utimize miaka 18
Wewe unaelewa wajibu ukiwa kiongozi? unaelewa matokeo ya kuvunja kiapo cha maadili? mbona unarefusha vitu viko wazi...ni sawa kumshawishi mwanamke kufanya zinaa kwa cheo chako au madaraka uliyo nayo? huyo unayemtetea na rafiki yake RC mwanza ni mazuzu wanapotoa pesa na kushawishi jambo liishe nje ya mahakama na wewe unajua zaidi yake!
 
mimi nimesoma miaka hiyo mabibo hostel ndio zinajengwa pale mabinti wa chuo asilimia kubwa wa mikoani walikuwa wanajiuza pale na ikifika likizo walikuwa wengi hawarudi makwao ndo saa kazi kujiuza usiku kila mtu analijua hilo ndio hao ambao sasa hivi waliofanikiwa kumaliza wamechukua nydhifa mbalimbali maofisini kifupi wanafunzi wa kike wa chuo ndio malaya wakubwa
Alafu anatokea mtu anatetea hizi chick
 
mimi nimesoma miaka hiyo mabibo hostel ndio zinajengwa pale mabinti wa chuo asilimia kubwa wa mikoani walikuwa wanajiuza pale na ikifika likizo walikuwa wengi hawarudi makwao ndo saa kazi kujiuza usiku kila mtu analijua hilo ndio hao ambao sasa hivi waliofanikiwa kumaliza wamechukua nydhifa mbalimbali maofisini kifupi wanafunzi wa kike wa chuo ndio malaya wakubwa
mmhhh mikoani tu
 
kwa sisi wazoefu wa sheria hamna kesi hapo na kama unabisha utaniambia,huyu binti ni muongo pili ni vigumu kulithibitisha tukio hili hata kisayansi tatu kashafikisha miaka 18 ndo hamna kesi kabisaa,unaweza kuta huyu bint alim blackmail huyu jamaa labda alimuahidi atamnunulia gari na hakufanya hivyo ndio maana kaamua kumkomoa tuwe makini na wanawake tunaojihusisha nao tuchunguze wanatoka familia zipe ? we mtu mamake labda alishawahi kujiuza unatarajia nini sasa? kwanini wasishirikiane na mwanawe kukupa kesi? changudoa ni changudoa tu hawanaga mshipa wa aibu

bro usiwe rahisi kushawishika kwanza kiongozi ni mtu kama wewe pili kimaadili unamaanisha dini je dini yake inaruhusu zinaa? sababu kikanuni za serikali huwezi kuthibitisha hili kuwa anachukua changudoa si umemsikia binti anasema wamekutana kwenye birthday tatu wala hakuna kanuni ya serikali inayokukataza wewe mwanaume au mwanamke kumpenda mtu unayekutana nae as long as si mtoto wala si chizi, nne umemsikia binti mwenyewe kasema hili sio tukio lake la kwanza kumfikisha mtu polisi kwa kosa kama hilo yeye na mamake hili ndilo nililolisema tokea mwanzo hawa wamepanga na mamake baada ya kuona maombi yao waliyotaka watimiziwe na RC hayajatimia tano kuna possibility kubwa mama nae alikuwa changudoa sababu hii ni mila ya wahaya sita kwa nini hakwenda kushtaki mara ya kwanza alipoombwa aingiliwe kimwili? kwanini mama alibariki mahusihano ya mwanawe nje ya ndoa? kwanini binti kama msafi sana akubali kufanya mapenzi na mtu nje ya ndoa kama hakuwa malaya nini hapo??
mzoefu wa sheria ipi? unaijua kesi ya seleman makumba wewe? hebu tuambie ilisemaje.
 
kwa sisi wazoefu wa sheria hamna kesi hapo na kama unabisha utaniambia,huyu binti ni muongo pili ni vigumu kulithibitisha tukio hili hata kisayansi tatu kashafikisha miaka 18 ndo hamna kesi kabisaa,unaweza kuta huyu bint alim blackmail huyu jamaa labda alimuahidi atamnunulia gari na hakufanya hivyo ndio maana kaamua kumkomoa tuwe makini na wanawake tunaojihusisha nao tuchunguze wanatoka familia zipe ? we mtu mamake labda alishawahi kujiuza unatarajia nini sasa? kwanini wasishirikiane na mwanawe kukupa kesi? changudoa ni changudoa tu hawanaga mshipa wa aibu
wewe sio mwanasheria, na inawezekana hata mahakamani hujawahi kanyaga.

ushahidi wa victim ukiwa na walau corroboration hizo alizozifanya kwa kupiga masimu, video footage, kutoa rushwa ipo kwenye bank statement, atachomokea wapi? huyo kuokoka kwake ni samia aamuru asishitakiwe, ila akikanyaga mahakama, amekwisha.
 
Wewe unaelewa wajibu ukiwa kiongozi? unaelewa matokeo ya kuvunja kiapo cha maadili? mbona unarefusha vitu viko wazi...ni sawa kumshawishi mwanamke kufanya zinaa kwa cheo chako au madaraka uliyo nayo? huyo unayemtetea na rafiki yake RC mwanza ni mazuzu wanapotoa pesa na kushawishi jambo liishe nje ya mahakama na wewe unajua zaidi yake!
Wewe mwanamke wako unampata bila kumshawishi? Inaelekea labda hujawahi kusex.

Halafu kuna maisha binafsi bila kujali cheo cha mtu.
 
By now kwenye ili sakata hakuna asiejua huko serikalini kuanzia kwa raisi hadi wenyeviti wa mtaa.

Bungeni hakuna asiejua

Na kwenye judicial system na polisi hakuna asiejua.

Treatment ya huyo binti ni kielelezo cha ‘selective justice’ ambayo ukiwa maskini kupata haki chances ni ndogo sana.

Yaani ukikasikiliza hako katoto mpaka huruma, halafu wahusika hawajali kabisa.

Haya mambo yanawezekana nchi za hovyo tu, Tanzania ikiwa miongoni.
 
kwa sisi wazoefu wa sheria hamna kesi hapo na kama unabisha utaniambia,huyu binti ni muongo pili ni vigumu kulithibitisha tukio hili hata kisayansi tatu kashafikisha miaka 18 ndo hamna kesi kabisaa,unaweza kuta huyu bint alim blackmail huyu jamaa labda alimuahidi atamnunulia gari na hakufanya hivyo ndio maana kaamua kumkomoa tuwe makini na wanawake tunaojihusisha nao tuchunguze wanatoka familia zipe ? we mtu mamake labda alishawahi kujiuza unatarajia nini sasa? kwanini wasishirikiane na mwanawe kukupa kesi? changudoa ni changudoa tu hawanaga mshipa wa aibu

bro usiwe rahisi kushawishika kwanza kiongozi ni mtu kama wewe pili kimaadili unamaanisha dini je dini yake inaruhusu zinaa? sababu kikanuni za serikali huwezi kuthibitisha hili kuwa anachukua changudoa si umemsikia binti anasema wamekutana kwenye birthday tatu wala hakuna kanuni ya serikali inayokukataza wewe mwanaume au mwanamke kumpenda mtu unayekutana nae as long as si mtoto wala si chizi, nne umemsikia binti mwenyewe kasema hili sio tukio lake la kwanza kumfikisha mtu polisi kwa kosa kama hilo yeye na mamake hili ndilo nililolisema tokea mwanzo hawa wamepanga na mamake baada ya kuona maombi yao waliyotaka watimiziwe na RC hayajatimia tano kuna possibility kubwa mama nae alikuwa changudoa sababu hii ni mila ya wahaya sita kwa nini hakwenda kushtaki mara ya kwanza alipoombwa aingiliwe kimwili? kwanini mama alibariki mahusihano ya mwanawe nje ya ndoa? kwanini binti kama msafi sana akubali kufanya mapenzi na mtu nje ya ndoa kama hakuwa malaya nini hapo??
So long vipimo vya DNA vipo na cctv camera znaonyesha na collaborativeevidence nyingine hii kesi ni mbaya kwa RC mtuhumiwa
 
tatizo ni namna utakalo prove ni ngumu mjomba kwenye kesi vitu vingi inaangaliwa haliangaliwi tendo tu ndo maana na kwambia hamna kesi hapo
Nafikiri tuvuke daraja tutakapolifikia kwani haya yote hapa ni maoni tu. RPC wa Mwanza amesema leo wamepokea vilelezo vya kisayansi na wanavipeleka kwa mwanasheria wa serikali for further action ikimanisha soon kesi itapelekwa mahakamani huko ndiyo itajulikana mbivu na mbichi. Kama RC alikufukua mtaro au binti anatumika kumchafua yatajulikana huko.
 
Kukusaidia tu mimi mahakama ya rufaa pekee ndiyo sijawahi kufika lakini mpaka hatua ya kuomba leave kwenda court of appeal nimewahi kufanya kesi.

Nimekujibu ingia goaggle tafuta malaya wa kutoa tigo utapata wadada wanajitangaza kuuza tigo na namna za simu wameweka uliishasikia wamefungwa? Kuna video katija mitandao za watu tena maarufu wakiliwa tigo umeishasikia wamefungwa? Jela watu wanalawitiwa na wengine kwa nguvu uliishasikia mtu kafungwa?

Uchunguzi wa kimaabara ukiwa impartial utathibitisha huyo malaya ni mzoefu wa kuliwa tigo na kama kufungwa anatakiwa afungwe yeye kwa kuruhusu kuliwa tigo
kama hujaingia CAT, huna legitimacy ya kongea hapa, wewe ni wakili mdogo hata hujui unaongea nini, maana yake hata miaka 4 haujafika. unaongea na watu tuna miaka 14 hapa. ndio maan animekuuliza swali moja tu, kesi ya SELEMANI MAKUMBA VS REPUBLIC ilisemaje? ukiweza hilo pengine nitaendelea kupoteza muda na wewe. relate hiyo kesi na ushahidi wa binti hata ukiondoa corroborations zingine.
 
Huyo binti ni mnafiki tu, ni jambazi namba moja. Alienda mwenyewe kujiuza, kma yu mkweli, hakujuwa anachokwenda kufanyiwa? Au ni mara yake ya kwanza?

Katumika kijinga ajipatie pesa kiulaini.

Hakuna kesi hapo.
FaizaFoxy najua shida hapo sio binti, shida ni kwamba, unaumia kwamba aliyelawiti ni alhaji. pia, kwako wewe kulawitiwa sio kitu kigeni, ni kawaida tu kwasababu nyie wapwani na wazanzibari marinda mlishauza zamani sana. hadi huwa mnatushangaa kwanini tunapinga ulawiti.

kwa kukusaidia ni kwamba, binti ni mwanafunzi tu, sio malaya wa kujiuza ndio maana mtu mwenye heshima kama RC alimchukua akawa mpenzi wake. alishaeleza awali kwamba RC alichukua namba yake walipokuwa kwenye birthday ya rafiki yake ambako RC alienda kutafuta mabinti wa kurubuni. hivyo huyo sio kama wewe, sio malaya kama wewe. alirubuniwa, akarubunika kama wanawake wengine tu.

pia, kitendo cha kukubali kuwa na RC sio ticket ya kulawiti. kwa sheria za Tanzania hata ukichukua malaya barabarani ukamlawiti, unakosa. kulawiti ni kosa, msione ni kitu cha kawaida.
 
Wewe mwanamke wako unampata bila kumshawishi? Inaelekea labda hujawahi kusex.

Halafu kuna maisha binafsi bila kujali cheo cha mtu.
Unaongea km layman..nadhani huelewi una ujuaji wa mtaani ambao umekupa uelewa potofu, jinai unayoifahamu nadhani ni wizi wa kuku na vinavyofanan na hivyo.
 
FaizaFoxy najua shida hapo sio binti, shida ni kwamba, unaumia kwamba aliyelawiti ni alhaji. pia, kwako wewe kulawitiwa sio kitu kigeni, ni kawaida tu kwasababu nyie wapwani na wazanzibari marinda mlishauza zamani sana. hadi huwa mnatushangaa kwanini tunapinga ulawiti.

kwa kukusaidia ni kwamba, binti ni mwanafunzi tu, sio malaya wa kujiuza ndio maana mtu mwenye heshima kama RC alimchukua akawa mpenzi wake. alishaeleza awali kwamba RC alichukua namba yake walipokuwa kwenye birthday ya rafiki yake ambako RC alienda kutafuta mabinti wa kurubuni. hivyo huyo sio kama wewe, sio malaya kama wewe. alirubuniwa, akarubunika kama wanawake wengine tu.

pia, kitendo cha kukubali kuwa na RC sio ticket ya kulawiti. kwa sheria za Tanzania hata ukichukua malaya barabarani ukamlawiti, unakosa. kulawiti ni kosa, msione ni kitu cha kawaida.
Nagfahamu umekosa hoja inabidi utukane ndiyo usongo wako utoke.

Huyo binti ni malaya na mzoefu, sikumsikia akiongelea kilainishi, wewe ukiliwa hutumii kilainishi?
 
FaizaFoxy najua shida hapo sio binti, shida ni kwamba, unaumia kwamba aliyelawiti ni alhaji. pia, kwako wewe kulawitiwa sio kitu kigeni, ni kawaida tu kwasababu nyie wapwani na wazanzibari marinda mlishauza zamani sana. hadi huwa mnatushangaa kwanini tunapinga ulawiti.

kwa kukusaidia ni kwamba, binti ni mwanafunzi tu, sio malaya wa kujiuza ndio maana mtu mwenye heshima kama RC alimchukua akawa mpenzi wake. alishaeleza awali kwamba RC alichukua namba yake walipokuwa kwenye birthday ya rafiki yake ambako RC alienda kutafuta mabinti wa kurubuni. hivyo huyo sio kama wewe, sio malaya kama wewe. alirubuniwa, akarubunika kama wanawake wengine tu.

pia, kitendo cha kukubali kuwa na RC sio ticket ya kulawiti. kwa sheria za Tanzania hata ukichukua malaya barabarani ukamlawiti, unakosa. kulawiti ni kosa, msione ni kitu cha kawaida.
Duuh, inawezekana bimkubwa naye ndiyo vile kuhusu marinda !!!
 
Back
Top Bottom