Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi

Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi

Ndio na ukute huyo dada kuna watu nyuma yake wana mshinikiza afanye yote hayo..

Kuna mambo mengine yamekua kisiasa hapa alafu mijitu inashadadia ujinga tuu..

Awajua hata hao dada poa wanao wachukua huko river wanaweza kuwageuka hivo hivo mtu ukabaki unashangaa
huyu rc mlawiti ambaye namkubali kwa alichokifanya kwa msomi mwenye tamaa akipata lawyer mzuri anaipangua kesi
 
Wanafanya mbinu za kumnasua huyo firauni
na ikifika mahakamani, kwa ushahidi huu nakuhakikishia rc anafungwa.

1. kuna ushahidi wa binti/mtendewa umenyooka kama anavyoongea hapo.

2. kuna ushahidi wa cctv footage

3. kuna ushahidi wa bank statement akijaribu kumhonga mama wa binti, polisi waende bank wakachukue statement ya account ya mama wa binti, anasema alimwekea 3m. ili tuone kama RC atasema aliziweka za mahali au z akitu gani.

4. kuna ushahidi wa vipimo PF3

5. kuna ushahidi wa wanafunzi wenzake binti waliomwona binti anarudi ananuka kinyesi, pia ushahidi wao namwanda alipokuwa anatumia simu zao kuomba aongee na huyo binti.

6. na ushahidi mwingine mwingi.

NAMWANDA AMEISHA. HII TABIA YA WAKUU WA MKOA IKOMESHWE.
 
Jamani hivi vitoto vya sasa ni shida (sitetei ulawiti) lakini wewe bint mdogo kwa nini unashirikiana kingono na watu ambao ni size ya baba zenu kinachowakuta ni stahiki yenu vichwa vigumu hamsikii yaani viko vizuri kwenye ngono balaa vinajifanya vinajuwa staili zote kinachowakuta ni kuparazwa nyuma ...akili zikiwarudia mnaanza nyonyonyoooo ...narudia tena ni hivi hakuna aliye lawitiwa
 
nipe namba yako ya simu na unayotumia kwa miamala ili nikutumie pesa ya soda au bia kwani umendika vyema kabisa
 
Umesikiliza maelezo yake yote? Hata kama alishafanyiwa hayo siku za nyuma jee ni haki aendelee kufanyiwa hivyo sasa? Na jee ni kweli RC amemfanyia kitendo hicho au hapana? Ukweli utajulikana mahakamani hivyo usimhukumu huyo binti kuwa anatumiwa kumhujumu aliyekuwa RC ,tuiachie mahakama kazi hiyo.
Huyu Binti ni kubuhu. Hata vipimo vitashangaa kutokuta Linda hata Moja.
 
Back
Top Bottom