Yanga iende uwanjani kama taratibu zinavyotaka.tff ni mizigo na tukisema tff ni simba watu hawatuelewi ona sasa hii aibu.Bodi ya Ligi imekuwa bodi ya HOVYO sana, kwanini mchezo uahirishwe? Mbona mchezo wa JKT Queens haukuahirishwa? Yanga hatupo tayari kwa mchezo siku nyingine na tunafahamu mchezo ni leo.FULLSTOP
Timu ipi imeonyesha imani za kishirikina?Huwa Simba wanao huu utaratibu wa kufanya mazoezi wakiwa ugenini kabla ya mechi katika uwanja husika!? Au ndio kutafutiana sababu tu😁
Nachokiona hapa kwa wote, ni kuwa na imani za kishirikina badala a kuamini katika mazoezi, mbinu na matayarisho..!
Unazuia basi la watu wewe traffic,au yanga siku hizi majambazi.Kuhusu ushirikina waliozuia mabasi ndo washirikina.Labda ramli zao ziliona yale ni matunguli na sio mabasi.Kwa mwenye kanuni za ligi arejee vifungu vyao wenyewe ambavyo wanavikiuka hadharani na kuendekeza ushirikina.
Hii ni aibu Ya Mwaka.
"Pingamizi la mchezo lilipaswa kuwasilishwa baada ya mechi"
We kasome Tangazo Vizuri inaonekana huelewi nini kinaendeleaWahusika gani?
Kwamba Simba ilitakiwa iwapigie simu Yanga kuwa tunakuja?
Tubaki na Liverpool yetu watu profesional EPL huwezi kusikia upumbavu kama huu. Leo hawa wanaojifanya wakubwa wamejivua nguo hadharani wameonesha uhalisia wao bado uswahili tu nakuamini ushirikina halafu wanajiita team kubwa.Mtu na akili zake timamu anashabikia simba na Yanga badala ashabikie Liverpool, Mancity, Arsenal, timu zinazojielewa mambele huko
Timu ipi imeonyesha imani za kishirikina?
Waliozuia..!Timu ipi imeonyesha imani za kishirikina?
wanatambulika kisheria au wanatambulika sura zao? Sisi kama yanga hatuna mtu anaitwa baunsa katika katiba na usajili wa TFF. hao watakamatwa kama wahuni tu waliozuia klabu ya simba kuingia uwanjani si kukamatwa kwa mgongo wa YANGA.Ushahidi utaenda kutolewa, videos zipo na hawa watu wanatambulika.
KWAKWELI NI UZWAZWAHUA NASHANGAA SANNA WATU MNAOSHABIKIAGA MPIRA WA TZ, AU AKILI ZENU ZINAKUAGA ZIMERUKA, MNAACHA KUFUATILIA LIGI ZA DUNIANI HUKO MNAFUATILIA UCHAFU
Anatumia MIHEMKO BADALA YA AKILImkuu kwamba wewe una akili
yaani TFF mwenye mpira wake na kanuni zake kasema simba hakuwasiliana na mamlaka ili afanyiwe maandalizi
ila wewe mwenye akili unasema haikuwa na sababu
kwa akili hizi huwezi kuwa hata mtaji wa ccm
Aliekwambia ni wa Yanga ni nani....!?Ule uwa
Ule UWANJA sio wa yanga ni wa taifa,wadhani ungekuwa wa yanga simba wangeenda?
Kila unapoamka asubuhi kwenda kazini huwa unampigia boss simu kumwambia unaenda? Au huwa unaamka unaenda maana ni wajibu wako?simba anazingua unaendaje kwenye uwanja bila taarifa kwa wahusika
Bodi ya Ligi imekuwa bodi ya HOVYO sana, kwanini mchezo uahirishwe? Mbona mchezo wa JKT Queens haukuahirishwa? Yanga hatupo tayari kwa mchezo siku nyingine na tunafahamu mchezo ni leo.FULLSTOP
mawazo yake broAliekwambia ni wa Yanga ni nani....!?
Ungewaambia hao wengine sasa...😂Nilichokiandika sio kwa ajili yako tu, wataelewa members wengine
Tuna nambari za uanachama na jukumu yao kila mechi.wanatambulika kisheria au wanatambulika sura zao? Sisi kama yanga hatuna mtu anaitwa baunsa katika katiba na usajili wa TFF. hao watakamatwa kama wahuni tu waliozuia klabu ya simba kuingia uwanjani si kukamatwa kwa mgongo wa YANGA.