Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba

Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba

Bodi ya Ligi imekuwa bodi ya HOVYO sana, kwanini mchezo uahirishwe? Mbona mchezo wa JKT Queens haukuahirishwa? Yanga hatupo tayari kwa mchezo siku nyingine na tunafahamu mchezo ni leo.FULLSTOP
Yanga iende uwanjani kama taratibu zinavyotaka.tff ni mizigo na tukisema tff ni simba watu hawatuelewi ona sasa hii aibu.
 
Huwa Simba wanao huu utaratibu wa kufanya mazoezi wakiwa ugenini kabla ya mechi katika uwanja husika!? Au ndio kutafutiana sababu tu😁
Nachokiona hapa kwa wote, ni kuwa na imani za kishirikina badala a kuamini katika mazoezi, mbinu na matayarisho..!
Timu ipi imeonyesha imani za kishirikina?
 
Kuna ile walisogeza masaa mbele sababu serikali ilikuwa kwenye uzinduzi wa kitabu cha Mwinyi. Leo serikali ipo Arusha kwenye siku ya wanawake. Watu wanaoshabikia Simba na Yanga kupita kiasi huwa na upumbavu mwingi kichwani.
 
Kwa mwenye kanuni za ligi arejee vifungu vyao wenyewe ambavyo wanavikiuka hadharani na kuendekeza ushirikina.
Hii ni aibu Ya Mwaka.

"Pingamizi la mchezo lilipaswa kuwasilishwa baada ya mechi"
Unazuia basi la watu wewe traffic,au yanga siku hizi majambazi.Kuhusu ushirikina waliozuia mabasi ndo washirikina.Labda ramli zao ziliona yale ni matunguli na sio mabasi.
 
Mtu na akili zake timamu anashabikia simba na Yanga badala ashabikie Liverpool, Mancity, Arsenal, timu zinazojielewa mambele huko
Tubaki na Liverpool yetu watu profesional EPL huwezi kusikia upumbavu kama huu. Leo hawa wanaojifanya wakubwa wamejivua nguo hadharani wameonesha uhalisia wao bado uswahili tu nakuamini ushirikina halafu wanajiita team kubwa.
 
Ushahidi utaenda kutolewa, videos zipo na hawa watu wanatambulika.
wanatambulika kisheria au wanatambulika sura zao? Sisi kama yanga hatuna mtu anaitwa baunsa katika katiba na usajili wa TFF. hao watakamatwa kama wahuni tu waliozuia klabu ya simba kuingia uwanjani si kukamatwa kwa mgongo wa YANGA.
 
mkuu kwamba wewe una akili

yaani TFF mwenye mpira wake na kanuni zake kasema simba hakuwasiliana na mamlaka ili afanyiwe maandalizi

ila wewe mwenye akili unasema haikuwa na sababu

kwa akili hizi huwezi kuwa hata mtaji wa ccm
Anatumia MIHEMKO BADALA YA AKILI
 
Kumbe panauma ee... Muwe na kumbukumbu kwani nanyi mligomeaga hivyo...
Bodi ya Ligi imekuwa bodi ya HOVYO sana, kwanini mchezo uahirishwe? Mbona mchezo wa JKT Queens haukuahirishwa? Yanga hatupo tayari kwa mchezo siku nyingine na tunafahamu mchezo ni leo.FULLSTOP
 
wanatambulika kisheria au wanatambulika sura zao? Sisi kama yanga hatuna mtu anaitwa baunsa katika katiba na usajili wa TFF. hao watakamatwa kama wahuni tu waliozuia klabu ya simba kuingia uwanjani si kukamatwa kwa mgongo wa YANGA.
Tuna nambari za uanachama na jukumu yao kila mechi.
 
Back
Top Bottom