Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kanuni gani za kufuata we binti!? Usiku mlikuwa mnaenda weka nini kwa mkapa!??
Yani basi tu...Usenge mtupu tff
😂😂😂Mimi leo ningetukana kila aliyehusika kwenye upumbavu huu kwa maana ya Yanga, Simba na TFF ila nimefunga Ramadhan. Ila kuanzia leo nimedharau kila kitu kwenye league hii na weza kusema league ya kishenzi kabisa na hafai hata kuwa top 100. Nasema shenzi wakubwa na kila aliyekatika hili awe Yanga awe Simba au TFF hawa wote ni kuwashika na kuwafungulia mashtaka kuleta taharauki na hasara kwa wananchi. Mbwa nyie na league yenu ya kishenzi kumaninaaaa zenuuuuuu tena wote na hasa TFF.
Aliyewapa kazi ndio chanzo kikuu cha hayo yote...Mabaunsa ndio chanzo cha yote haya
Zile point 3 na magoli 3 uliyokuwa ukisema Yanga itapewa zimeishia wapi??Usenge mtupu tff
Wana aikili hiyo hao vyurahuo ni uhuni ....Yanga ikibidi ijitoe kwenye ligi ya kihuni
Ingekuwa n timu zingine ungekuta washalambwa faini kitamboKanuni ya Busara nilijua tu lazima itumike kwa Simba na Yanga
Sio kwa timu zingine
Aaaah Mwasibu CPA uchwara SUNZU BOBAN OKW umeanza tena?Ubaya Ubwela
Hiki kiburi kisiwe kwa Simba tu, bali timu yeyote inayofanyiwa mambo ya kihuni.. Yanga na mashabiki wake wamekuwa na mambo ya kisenge sana.
Mnakumbuka RC wa Mwanza? Tukaingiza timu, mwisho wa siku inaonekana kama kitu cha kawaida tu.
Kwani wahusika hawasomi kanuni,je hawajui utaratibumkuu unaenda fanya mazoezi ya mwisho bila kuwasiliana na wahusika
timu hii inaendeshwa kiajabu ajabu
Hao Viongozi wa Bodi ya Ligi wakiwahishwa Milembe Hospital watapina!Wakuu,
Nipo hapa mpakani kati ya Uganda na Tanzania mtukula,Taarifa nyeti hatuna,ni kwamba mechi imeahirishwa au itachezwa?
Mlioko Jijini Kinondoni basi mtuambie yanayojiri huko,hasa wale waliokaribu na uwanja wa Mkapa,shamla shamla vipi,mageti yamefunguliwa,watu wanaingia,au watu wamesusa?
bado hatujajua tujuzeni Huko Daslam
Kanuni na uwanjani hakuna marefa!Ngoja tuone Yanga wanachua hatua gani maana kila kitu kinaongozwa na kanuni.
kanuni na utaratibu unakutaka utumie uwanja angalau siku tatu kabla sasa ww utaamua lini utumieKwani wahusika hawasomi kanuni,je hawajui utaratibu
Sababu zilizo orodheshwa zote ni za kipuuzi. Na moja kwa moja haihitaji akili nyingi kugundua ya kuwa hii Bodi ya ligi ni 🚮Wakuu,
Nipo hapa mpakani kati ya Uganda na Tanzania mtukula,Taarifa nyeti hatuna,ni kwamba mechi imeahirishwa au itachezwa?
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha leo Machi 8, 2025, ilipitia shauri la klabu ya Simba kuzuiliwa kuingia kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili ya kufanya mazoezi ya mwisho kuelekea mchezo namba 184 wa Ligi Kuu ya NBC (Young Africans SC vs Simba SC) uliopangwa kufanyika kwenye uwanja huo leo kuanzia saa 1:15 usiku.
Soma Pia: Simba SC yatangaza haitacheza mechi dhidi ya Yanga, Wakidai vitendo visivyo vya kiungwana dhidi yao
Katika shauri hilo, klabu ya Simba iliandika barua kwa Bodi ya Ligi kueleza kususu tukio tajwa hapo juu, huku pia ikieleza nia yao ya kuto shiriki mchezo huo kwa sababu wamezuiliwa kutumia haki yao ya kikanuni kama ilivyoainishwa kwenye Kanuni ya 17:45 ya Ligi Kuu kuhusu Taratibu za Mchezo.
View attachment 3263880
Hao mabaunsa wana nguvu kuliko vyombo vyetu vya dola?Hapana, root cause ni uongozi wa Yanga. Wale mabaunsa hawajiweki pale.