Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba

Sisi kama Yanga tunasema hata waseme mwakan tutacheza na kumfunga mtani hawez kutukimbia labda ahame ligi
 
😂😂😂
Dahh..!!

TFF ya Msomali.
 
Mabaunsa ndio chanzo cha yote haya
Aliyewapa kazi ndio chanzo kikuu cha hayo yote...

Hivi tangu lini mabaunsa wakawa na uwezo wa kuzuia uchawi?

Mchawi huzuwiwa na maombi ya upako na sio mabaunsa watafuna mirungi.
 
Hawa mods wametumia kigezo gani kuifanya comment yangu kuwa ndiyo post ya breaking new ya TFF kughailisha mechi? nagomea jamani kama simba walivyogoma.
 
Nimepeleka juisi zangu lita 100 ili kuuza, nimepata hasara kubwa imebidi nigawe bure na ninywe lita zote zitakazobaki
 
Ubaya Ubwela

Hiki kiburi kisiwe kwa Simba tu, bali timu yeyote inayofanyiwa mambo ya kihuni.. Yanga na mashabiki wake wamekuwa na mambo ya kisenge sana.

Mnakumbuka RC wa Mwanza? Tukaingiza timu, mwisho wa siku inaonekana kama kitu cha kawaida tu.
Aaaah Mwasibu CPA uchwara SUNZU BOBAN OKW umeanza tena?
 
Hao Viongozi wa Bodi ya Ligi wakiwahishwa Milembe Hospital watapina!
 
Kwani wahusika hawasomi kanuni,je hawajui utaratibu
kanuni na utaratibu unakutaka utumie uwanja angalau siku tatu kabla sasa ww utaamua lini utumie

kama ni hivyo lazima utoe taarifa siku unapo taka tumia wajiandae kukupokea maana huwez nambie siku 3 wahusika wakae wanakusubiri
 
Sababu zilizo orodheshwa zote ni za kipuuzi. Na moja kwa moja haihitaji akili nyingi kugundua ya kuwa hii Bodi ya ligi ni 🚮
 
Nimesoma tamko la bodi ya ligi kuhairisha mechi ya Yanga na Simba, lakini kuna kitu kinatatiza sana.

Nini msukumo wa bodi ya ligi kuhairisha mechi ikiwa maandalizi yote muhimu yameshafanyika?
Kama lengo la bodi ya ligi kufanyia uchunguzi wa kina madai rasmi ya Simba ili kutoa uamuzi wa haki, basi bodi ya ligi ijipange huko mbeleni kufanya hivyo zaidi na zaidi maana huo ni mtego imeuvaa na kila klabu inaweza kuutumia kuwatega siku za usoni.

Kama bodi ya ligi wamefanya hivyo kuogopa mkwara mzito wa Simba walioupiga wa kutokuleta timu uwanjani, basi mikwara kama hiyo itaendelea kuchimbwa sana na hizi timu za Simba na Yanga.
 
Bodi ya Ligi, Steve Mnguto na Almasi Kasongo wote bogus kabisa 🗑 🚮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…