Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba

Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba

Hapa imetumika busara za kuleana na sio kanuni.
Kwenye maelezo ya paragraph ya tatu inaonesha kosa ni la wao Simba kutotoa taarifa kwa yeyote yule kuhusu kuhusu kuutumia uwanja siku ya Ijumaa
IMG_20250308_140803.jpg
 
Ubaya Ubwela

Hiki kiburi kisiwe kwa Simba tu, bali timu yeyote inayofanyiwa mambo ya kihuni.. Yanga na mashabiki wake wamekuwa na mambo ya kisenge sana.

Mnakumbuka RC wa Mwanza? Tukaingiza timu, mwisho wa siku inaonekana kama kitu cha kawaida tu.
Sahihi kabisa
 
Peleka mashoga zako singida mcheze
Hii mechi haitakiwi kuahirishwa bali isichezwe kabisa na adhabu kali itolewe kwa waliozuia taratibu za kawaida kabisa za mchezo ili kukomesha huu uhuni.

Siku nyingine timu ikijiona haiko tayari kucheza mechi husika itajiamulia tu kufanya uhuni kama huu ikijua italipa faini na mechi kuahirishwa.
 
Huwa Simba wanao huu utaratibu wa kufanya mazoezi wakiwa ugenini kabla ya mechi katika uwanja husika!? Au ndio kutafutiana sababu tu😁
Nachokiona hapa kwa wote, ni kuwa na imani za kishirikina badala a kuamini katika mazoezi, mbinu na matayarisho..!
Upate muda wa kutafakari tena matumizi ya haki.

Ulishawahi kukuta mtu anawajibishwa kwa kutoitumia haki yake? Au kutotumia haki yako inaondoa uhalali wa kuitumia hiyo haki next time?
 
mkuu unaenda fanya mazoezi ya mwisho bila kuwasiliana na wahusika

timu hii inaendeshwa kiajabu ajabu
Simba wataadhibiwa kwa huo upuuzi,Yanga nao wataadhibiwa kwa kuanzisha vurugu ingawa wameshapata adhabu ya hasara kwa upuuzi wao mkubwa zaidi
 
Helaa zetu za tiketi,nauli zetu tuliotoka mikoani,tumelala magesti,hotel tumetumia gharama kubwa kirahisi mnahairisha mechi,watanzania tuinuke sio mashabiki wala wapenzi watanzamaji,tuangalie mpira kwenye tv inatosha hakuna kwenda uwanjani
 
Ubaya Ubwela

Hiki kiburi kisiwe kwa Simba tu, bali timu yeyote inayofanyiwa mambo ya kihuni.. Yanga na mashabiki wake wamekuwa na mambo ya kisenge sana.

Mnakumbuka RC wa Mwanza? Tukaingiza timu, mwisho wa siku inaonekana kama kitu cha kawaida tu.
Mkuu tukitaka kumaliza haya mambo hatutakiwi kuegemea upande. Taarifa pia inasema Simba haikuwasiliana na Maofisa wa mchezo, timu mwenyeji wala mamlaka ya uwanja ili maandalizi ya kikanuni yafanyike. Hicho kipengele umekiruka kwa kuwa Simba ni timu yako. Hivi sivyo tunavyosolve matatizo.
 
Back
Top Bottom