Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba

Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba

Aliyetafuta sababu ni aliyezuia mabasi,mbona ukweli unaonekana lakini watu wanaukataa.Vipi kama simba vwangejitutumua jana na damu ikamwagika

Aliyetafuta sababu ni aliyezuia mabasi,mbona ukweli unaonekana lakini watu wanaukataa.Vipi kama simba vwangejitutumua jana na damu ikamwagika.
Point ni KUTAFUTIANA SABABU... haijalishi nani anamtafutia mwenzie😁
 
Nimemaliza kusoma barua nikaishia kucheka sana na kujiuliza maswali fikirishi kua yanga ni nani nchi hii? Viongozi Gani wa kisiasa na kitimu wako nyuma ya hili la kua na uwezo wa kuzuia watu wasitumie uwanja ..tena uwanja wa serikali..yanga ni nani nchi hii...ama kweli leo ndio nimejua maana halisi ya ubaya ubwela. By the way msicheze na Tajiri Mo dewji. Watu wamewekeza pesa zao kwenye timu, Simba timu kubwa inawakilisha nchi halafu muwafanyie UHUNI NA DHARAU kwa kutowaheshimu.
Ningekuwa na madaraka ningewaua na kuwapoteza wote wanaitwa makomando o walioshiriki tukio la jana.
 
[emoji23][emoji23] ndio mana mkuu narudia kusema

Wajinga wa aina yake na wengineo ndio mtaji mkubwa wa chama tawala nchini.
mkuu kwamba wewe una akili

yaani TFF mwenye mpira wake na kanuni zake kasema simba hakuwasiliana na mamlaka ili afanyiwe maandalizi

ila wewe mwenye akili unasema haikuwa na sababu

kwa akili hizi huwezi kuwa hata mtaji wa ccm
 
Ubaya Ubwela

Hiki kiburi kisiwe kwa Simba tu, bali timu yeyote inayofanyiwa mambo ya kihuni.. Yanga na mashabiki wake wamekuwa na mambo ya kisenge sana.

Mnakumbuka RC wa Mwanza? Tukaingiza timu, mwisho wa siku inaonekana kama kitu cha kawaida tu.
Acha matusi wewe kenge
 
Bodi ya ligi na TFF nitawaona wanyonge sana wakikubali kuingia kwenye 18 za makolo. Hakuna kanuni inayoitanya simba wagomee hii mechi.
 
Kwenda kujisaidia ni haki sio haki!? Nakumbuka tulipokuwa shuleni ilikuwa lazima uombe ruhusa ya kwenda kunya... zipo taratibu pia za kuitumia na kuipata hiyo hiyo ambayo ni YAKO!
Tayari umehamisha magoli. Ulizungumzia taratibu za kupata haki au uliuliza mbona Simba wakati mwingine huwa hawahitaji hiyo pitch feeling?! Kuwa consistent tafadhali
 
Huo ndio ukweli 101%

Kuna muda ni upumbavu kushabikia mpira wa Tanzania maana unakuwa karibu na kuwa mpumbavu au mpumbavu kabisa

CAPO DELGADO tia neno kwa mpira wa Bongo
Yani haka ni kampango tu kamefumwa....Simba walijua nini kitaenda kutokea pale, na Watu Yanga kwa nini wawazuie!? 😁
 
Ubaya Ubwela

Hiki kiburi kisiwe kwa Simba tu, bali timu yeyote inayofanyiwa mambo ya kihuni.. Yanga na mashabiki wake wamekuwa na mambo ya kisenge sana.

Mnakumbuka RC wa Mwanza? Tukaingiza timu, mwisho wa siku inaonekana kama kitu cha kawaida tu.
Kweli hawa uto ni wapuuzi sana.Kuna yule baunsa wa uto alimpiga shabiki aliekuwa anahojiwa baada ya mechi ya uto ambayo walipata matokeo mabaya.Uto ni kama timu ya mtaani.
 
simba anazingua unaendaje kwenye uwanja bila taarifa kwa wahusika
Kanuni haisemi inabidi kutoa taarifa maana kwanza ni utaratibu wa kawaida kutumia uwanja siku moja kabla ya mechi, inakuwaje wanachukulia kama vile wameshtulizwa?

Haya timu haijatoa taarifa, inakuwaje wakae nje zaidi ya masaa mawili bila muafaka kufikiwa ili timu iingie ifanye mazoezi iondoke?

Adhabu za kuvunja kanuni ni ndogo sana ndiyo maana kila siku Yanga haiogopi kuzivunja.
 
Mkuu tukitaka kumaliza haya mambo hatutakiwi kuegemea upande. Taarifa pia inasema Simba haikuwasiliana na Maofisa wa mchezo, timu mwenyewe wala mamlaka ya uwanja ili maandalizi ya kikanuni yafanyike. Hicho kipengele umekiruka kwa kuwa Simba ni timu yako. Hivi sivyo tunavyosolve matatizo.
Mkuu kwahio unataka kuniambia kua timu ya yanga kama wao walifanya mazoezi kwa nafasi na kwa raha zao, walikua hawajui kisheria na kikanuni wakimaliza nani anatakiwa kuja uwanjani kufanya mazoezi kama kanuni zinavyoeleza Hadi wajulishwe na kupigiwa simu ..kwamba yanga they are so special to be called on phone & to be told that Simba are coming to the football ground to do warm up exercises as per rules of football indicated?! Are they this dumb? Na kwaio bodi ya ligi ndio iliwatuma so called makomandoo( wahuni) kuziba geti sababu hawajapigiwa simu kwamba Simba inakuja?
 
Mabaunsa ndio chanzo cha yote haya
Kuna baadhi ya watu nawasikia wanasema mabaunsa wa Yanga hawatambuliki kwenye mfumo.

Lakini kila nikiangalia hii logo mi nawaona.

Tena wapo serious kwelikweli na gloves wamevaa.

1741432808131.jpeg
 
Tuliolipia vifurushi vya azam max itakuaje..?

Vipi tuliobet gg 😅😅😅

Why...?😫😫😫, game ipigwe bana mechi ichezwe bana
 
Back
Top Bottom