Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba

TFF Nao wajitasmini katika kupanga muda wa mchezo hasa timu hizi mbili iwe mchana na si usiku, hii itaendelea kusababisha migogoro ya kutafuta
 
Bodi ya Ligi imekuwa bodi ya HOVYO sana, kwanini mchezo uahirishwe? Mbona mchezo wa JKT Queens haukuahirishwa? Yanga hatupo tayari kwa mchezo siku nyingine na tunafahamu mchezo ni leo.FULLSTOP
Bodi ya ligi Leo imejivua nguo imeonyeshe namna ambavyo wanaendesha ligi kienyeji,,na wameingia kwenye mtego mbaya sana ambao utakuja kuwagharimu,,iyo mechi watayopanga ichezwe siku nyingine Simba atacheza peke yake uwanjani maana ata yanga atopeleka timu uwanjani mpaka waseme ni kanuni ipi imefanya waahirishe mechi!
 
Kwenda kujisaidia ni haki sio haki!? Nakumbuka tulipokuwa shuleni ilikuwa lazima uombe ruhusa ya kwenda kunya... zipo taratibu pia za kuitumia na kuipata hiyo hiyo ambayo ni YAKO!
Haikua lazima kuomba ruhusa shuleni ndo maana kulikua na brake time ambayo ipo kisheria, ukitaka kwenda toilet kinyume na sheria yani muda wa darasani ndo lazima uombe ruhusa
 
Ila kuwa mshabiki wa Yanga ni kujidhalilisha sana.

Can't imagine wao wanashindwa kuliona hili.

Huyu jamaa anaendelea kuhamisha watu waende uwanjani afu ye kachimba home miguu kwenye meza.

Na aina ya watu wao walivyokuwa wajinga si ajabu wakaenda kweli.
 
 
KWA HILI YANGA WAMESHAJIJUA (KM AKILI WANAZO)KUWA UTAWALA WAO NI WA HOVYO SANA. HONGERA SIMBA KWA WEREDI MKUBWA KTK MAMBO YAO.
 
Simba waachie ligi yao,
Ligi imejaa uhuni na usanii.

He for she!
 
Tunaposema Yanga inaongozwa na watu wahuni huwa tunamaanisha. Mhuni hana muda wa kutumia akili
 
mkuu kwamba wewe una akili

yaani TFF mwenye mpira wake na kanuni zake kasema simba hakuwasiliana na mamlaka ili afanyiwe maandalizi

ila wewe mwenye akili unasema haikuwa na sababu

kwa akili hizi huwezi kuwa hata mtaji wa ccm
Wajinga wa aina yako na wengineo ndio mtaji mkubwa wa chama tawala nchini. Ukiweza angalau kujenga hoja kwa uwezo Mdogo ulionao basi nicheki. Ila kwa Sasa pambana na baadhi ya wajinga na wapumbavu wenzio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…