Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba

Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba

Azam media, nawashauri tu najuwa hii ni biashara kwenu pia na mtapoteza kitu lakini ushauri wa bure piga chini league hii ni kweli athari zipo ila athari kubwa kwa mpira kuliko Azam. Hakuna media yoyote wanachoweza kuwapa hawa hata robo ya mnachotoa. piga chini hawa TFF na league yao. Duniani kote broadcasters wana kauli nzito kwenye mechi na hata muda wanaamua wao sababu biashara. Hii leo TFF wameleta uswahili, team za Simba na Yanga uswahili kupitiliza. waachieni league yao tutarudi kule kusikiliza mpira TBC. Azam toeni kauli haraka hii haikubaliki.
 
Hio pesa si Bora ungeitumia hata kwa sadaka kesho kanisani kama wewe ni mkristu...YANI utoke mkoani uje dar kwa ajili ya Simba vs yanga? Kwani hakuna tv majumbani kwenu?
Mkuu we ni km mimi, naipenda sana simba hata ikifungwa naumia sana... nina laki yangu eti nisafiri nikaangalie simba wanavyocheza what the https://jamii.app/JFUserGuide kwa kitu gani special wanacho... bora hyo laki nitombee na kula mbuzi choma kwa Moromboo.. kitu gani extraordinary wako nacho kwenye tv sikioni!!!
 
Yanga walivyosusa kucheza mwaka 2021 walikuwa na sababu gani ya msingi?
Yanga anapambana sana pamoja na figisu zote ila bado anachukua makombe, TFF inahangaika sana na Yanga, hata hiyo mechi ya 2021 bado utaona TFF ndo walikuwa wakihangaika.
 
Wanatia hasira hawa watu maana sheria ziko kila kosa lina adhabu yake labda TFF waje hapa na vipengele waseme kosa hili adhabu yake mechi kusogezwa mbele vinginevyo hawa washikwe watiwe ndani watoke baada ya Eid viongozi wote waliohusika. Inatia aibu mpira wa nchi hii hawajali gharama za watu kwao sio muhimu hata kama mtu alitumia alfu moja kujiandaa ni yake.
Umesoma barua ya bodi ya ligi?Unadhani wanaweza kutunga kanuni halafu wasitunge kanuni zinazowapa mamlaka ya kuahirisha mechi wakiona inafaa?
 
Msiumize kichwa sana hapo bodi ya ligi wamesema hivyo ili kujiweka pembeni kimtindo na ili kutowachukiza wakubwa walio nyuma ya yanga...ila kiuhalisia ni hoja ya kijinga kuwahi kutokea tangu Dunia kuumbwa..kwamba Mimi nikupigie simu kua nakuja uwanjani kufanya mazoezi [emoji23] only in Africa..
Unaendaje ugenini bila taarifa
 
Yanga anapambana sana pamoja na figisu zote ila bado anachukua makombe, TFF inahangaika sana na Yanga, hata hiyo mechi ya 2021 bado utaona TFF ndo walikuwa wakihangaika.
Figisu gani wakati wao ndio wamepeleka mabaunsa kuwazuia Simba wasifanye mazoezi kwa mujibu wa kanuni?Wamezoea figisu ndio maana wanashindwa kimataifa.
 
Figisu gani wakati wao ndio wamepeleka mabaunsa kuwazuia Simba wasifanye mazoezi kwa mujibu wa kanuni?Wamezoea figisu ndio maana wanashindwa kimataifa.
Mtani mtani mtani.....mabaunsa na uwanja wa mkapa wapi na wapi?

Umesoma repoti ya bodi lakini?
 
Umesoma barua ya bodi ya ligi?Unadhani wanaweza kutunga kanuni halafu wasitunge kanuni zinazowapa mamlaka ya kuahirisha mechi wakiona inafaa?
Waandike hapa hiyo kanuni ya 34 imeandikwa nini, sio kunukuu kifungu tu waandike hapa hiyo kanuni inasema nini? tumalize mjadala
 
Watoe taarifa ya nini wakati inajulikana ni matakwa ya kikanuni kufanya mazoezi muda sawa na muda wa mechi siku 1 kabla??
Ule uwanja unaendeshwa kwa taratibu zake. Unapotaka kuutumia utakavyo, madhara yake ndo haya.

Ila sio mbaya....mmekimbia leo, mtakuja mje
 
Yanga anapambana sana pamoja na figisu zote ila bado anachukua makombe, TFF inahangaika sana na Yanga, hata hiyo mechi ya 2021 bado utaona TFF ndo walikuwa wakihangaika.
Hamna kitu umeeleza bado ni blah blah, unaulizwa sababu zilitokea, unaanz akulala tff inahangaika na yanga, seriously? It that all?
 
Huwa Simba wanao huu utaratibu wa kufanya mazoezi wakiwa ugenini kabla ya mechi katika uwanja husika!? Au ndio kutafutiana sababu tu😁
Nachokiona hapa kwa wote, ni kuwa na imani za kishirikina badala a kuamini katika mazoezi, mbinu na matayarisho..!
Acha ushamba, sio Simba tu ni takwa la kikanuni kwa timu zote na ndivyo inavyokuaga kwa kila mechi.
 
Figisu gani wakati wao ndio wamepeleka mabaunsa kuwazuia Simba wasifanye mazoezi kwa mujibu wa kanuni?Wamezoea figisu ndio maana wanashindwa kimataifa.
Kwa hiyo yanga ndo kawazuia msiingie uwanjani, ule uwanja ni wake ana mamlaka nao? Hata taarifa sehemu husika hamkuzifikisha mlishajadiliana kufanya huu upumbavu na viongozi wa TFF kitendo cha aibu sana mmeshindwa kujiweka hata katika nafasi za washabiki wa soka, kiufupi mmezingua parefu. Mnashusha hadhi ya ligi yetu kindezi kbs
 
Back
Top Bottom