zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 11,432
- 24,596
huwezi enda sehemu bila taarifa, hata maofisini kumuona boss wanakuuliza una miadi nae amaNa kanuni haijatoa muongozo kuwa lazima watoe taarifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huwezi enda sehemu bila taarifa, hata maofisini kumuona boss wanakuuliza una miadi nae amaNa kanuni haijatoa muongozo kuwa lazima watoe taarifa
Imewauma sana yanga mechi kuahirishwa.Yaani wachawi wa pangani wamekula pesa ya bure.Ali Kamwe kupitia X anasemaView attachment 3263610
Mkuu we ni km mimi, naipenda sana simba hata ikifungwa naumia sana... nina laki yangu eti nisafiri nikaangalie simba wanavyocheza what the https://jamii.app/JFUserGuide kwa kitu gani special wanacho... bora hyo laki nitombee na kula mbuzi choma kwa Moromboo.. kitu gani extraordinary wako nacho kwenye tv sikioni!!!Hio pesa si Bora ungeitumia hata kwa sadaka kesho kanisani kama wewe ni mkristu...YANI utoke mkoani uje dar kwa ajili ya Simba vs yanga? Kwani hakuna tv majumbani kwenu?
Yanga anapambana sana pamoja na figisu zote ila bado anachukua makombe, TFF inahangaika sana na Yanga, hata hiyo mechi ya 2021 bado utaona TFF ndo walikuwa wakihangaika.Yanga walivyosusa kucheza mwaka 2021 walikuwa na sababu gani ya msingi?
Umesoma barua ya bodi ya ligi?Unadhani wanaweza kutunga kanuni halafu wasitunge kanuni zinazowapa mamlaka ya kuahirisha mechi wakiona inafaa?Wanatia hasira hawa watu maana sheria ziko kila kosa lina adhabu yake labda TFF waje hapa na vipengele waseme kosa hili adhabu yake mechi kusogezwa mbele vinginevyo hawa washikwe watiwe ndani watoke baada ya Eid viongozi wote waliohusika. Inatia aibu mpira wa nchi hii hawajali gharama za watu kwao sio muhimu hata kama mtu alitumia alfu moja kujiandaa ni yake.
Unaendaje ugenini bila taarifaMsiumize kichwa sana hapo bodi ya ligi wamesema hivyo ili kujiweka pembeni kimtindo na ili kutowachukiza wakubwa walio nyuma ya yanga...ila kiuhalisia ni hoja ya kijinga kuwahi kutokea tangu Dunia kuumbwa..kwamba Mimi nikupigie simu kua nakuja uwanjani kufanya mazoezi [emoji23] only in Africa..
Mechi ingechezwa ni sawa, game kuahirishwa ni sawa na kupaka mkongo halafu demu aingie mitini 😅😅Kwani mechi ingechezwa nani angezilipa hizo gharama za lodge?
Figisu gani wakati wao ndio wamepeleka mabaunsa kuwazuia Simba wasifanye mazoezi kwa mujibu wa kanuni?Wamezoea figisu ndio maana wanashindwa kimataifa.Yanga anapambana sana pamoja na figisu zote ila bado anachukua makombe, TFF inahangaika sana na Yanga, hata hiyo mechi ya 2021 bado utaona TFF ndo walikuwa wakihangaika.
Dalili ya uoga mtaniNo Reform poor election.
Tutaelewana tu
Mtani mtani mtani.....mabaunsa na uwanja wa mkapa wapi na wapi?Figisu gani wakati wao ndio wamepeleka mabaunsa kuwazuia Simba wasifanye mazoezi kwa mujibu wa kanuni?Wamezoea figisu ndio maana wanashindwa kimataifa.
Waandike hapa hiyo kanuni ya 34 imeandikwa nini, sio kunukuu kifungu tu waandike hapa hiyo kanuni inasema nini? tumalize mjadalaUmesoma barua ya bodi ya ligi?Unadhani wanaweza kutunga kanuni halafu wasitunge kanuni zinazowapa mamlaka ya kuahirisha mechi wakiona inafaa?
Ule uwanja unaendeshwa kwa taratibu zake. Unapotaka kuutumia utakavyo, madhara yake ndo haya.Watoe taarifa ya nini wakati inajulikana ni matakwa ya kikanuni kufanya mazoezi muda sawa na muda wa mechi siku 1 kabla??
Makomandoo wa Utopolo watalipaHasara ya nauli, gharama za Lodge, nani atazilipa..?
Simba walaumiwe kwa hili
Hamna kitu umeeleza bado ni blah blah, unaulizwa sababu zilitokea, unaanz akulala tff inahangaika na yanga, seriously? It that all?Yanga anapambana sana pamoja na figisu zote ila bado anachukua makombe, TFF inahangaika sana na Yanga, hata hiyo mechi ya 2021 bado utaona TFF ndo walikuwa wakihangaika.
Ni huzuni kwakweliDemu wetu kasusa kuja ghetto ngoja tukapige nyet0 tu
Acha ushamba, sio Simba tu ni takwa la kikanuni kwa timu zote na ndivyo inavyokuaga kwa kila mechi.Huwa Simba wanao huu utaratibu wa kufanya mazoezi wakiwa ugenini kabla ya mechi katika uwanja husika!? Au ndio kutafutiana sababu tu😁
Nachokiona hapa kwa wote, ni kuwa na imani za kishirikina badala a kuamini katika mazoezi, mbinu na matayarisho..!
Kwa hiyo yanga ndo kawazuia msiingie uwanjani, ule uwanja ni wake ana mamlaka nao? Hata taarifa sehemu husika hamkuzifikisha mlishajadiliana kufanya huu upumbavu na viongozi wa TFF kitendo cha aibu sana mmeshindwa kujiweka hata katika nafasi za washabiki wa soka, kiufupi mmezingua parefu. Mnashusha hadhi ya ligi yetu kindezi kbsFigisu gani wakati wao ndio wamepeleka mabaunsa kuwazuia Simba wasifanye mazoezi kwa mujibu wa kanuni?Wamezoea figisu ndio maana wanashindwa kimataifa.