Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba

Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba

Mambo ya hovyo sana...... Ni aibu sana
 
Kanuni ya 17: 45 imewekwa kwa sababu za kiufundi.
Timu kujaribu kuizoea pitch, mwanga wa taa nk.
Taratibu hizo siyo ushirikina, kama unamzuia mpinzani wako asifike uwanjani wewe ndiye mshirikina.
Ukiacha hii siku ni lini Simba wameitumia hiyo kanuni kabla!? Lakini pia usijitoe ufahamu walimpa taarifa nani kuhusu hilo jambo!? Maana kuna taratibu za kufata ili jambo hilo litekeleze, ikiwemo kumpa taarifa MWENYEJI WAKO😁
 
Safi kabisa Simba kataa uhuni,na timu zingine zikatae uhuni wa Yanga kaa kusaidiana na wana siasa
 
Acha ushamba, sio Simba tu ni takwa la kikanuni kwa timu zote na ndivyo inavyokuaga kwa kila mechi.
Baada ya takwa la kisheria basi unakurupuka tu kisa sheria inakutaka ama kuruhusu hilo jambo!? Rejea taarifa ya TFF na uache uzwazwa wa maji ya bendera
 
Ukiacha hii siku ni lini Simba wameitukia hiyo kanuni kabla!? Lakini pia usijitoe ufahamu walimpa taarifa nani kuhusu hilo jambo!? Maana kuna taratibu za kufata ili jambo hilo litekeleze, ikiwemo kumpa taarifa MWENYEJI WAKO😁
Wewe unapoenda kuroga unampa taarifa unaeenda kumroga? Sasa wameshtukiwa wanaenda kuwanga wanajifanya wanachomoa betri halafu Bodi ya Ligi inakaa upande wao shenzi kabisa

Bodi ya Ligi ilibidi itoe tamko muda huu ilibidi iache timu ziingie uwanjani timu ambayo haikwenda uwanjani ilibidi ipigwe rungu km kanuni zinavyosema shenzitaipu Bodi ya Ligi imekurupuka inatoa maamuzi ya kisenge senge
 
Waganga gani?

Unayo hiyo video inayoonesha hao waganga?

Kwasababu waandishi wa habari wote walikuwa pale eneo la tukio wakirekodi kila kitu kilichofanyika.

Mtandaoni ndio kuna hayo maneno sijui Simba walikuja na mabasi mawili, nawewe saizi unasema waganga na kuku.

Lakini hakuna uthibitisho wowote wa video inayoonesha hayo unayoyataja.

Kwamba journalists wote waliokuwepo jana wanaipenda sana Simba? Hakuna journalist hata mmoja ambaye anaipenda Yanga ambaye angetuoneshea hayo mambo ambayo mnasema yakikuwepo?
Pale Yanga wenye akili ni wawili tuu, na hili limethibitishwa kwa tukio hili la Simba kuzuiwa kufanya mazoezi kwenye uwanja ambao Yanga ni mwenyeji.

Ukiwauliza wana Yanga waweke ushahidi wa video zinazoonyesha hao kuku na mbuzi wakiwa kwenye basi hilo walilokuwa nalo Simba, wanaishia kupiga bla bla bla tuu!

Hakuna hata muandishi habari mmoja au hata msamaria mwema mmoja aliyeweza kurekodi hao mbuzi na kuku waliokuwa kwenye bus la Simba!
 
Wewe unapoenda kuroga unampa taarifa unaeenda kumroga? Sasa wameshtukiwa wanaenda kuwanga wanajifanya wanachomoa betri halafu Bodi ya Ligi inakaa upande wao shenzi kabisa

Bodi ya Ligi ilibidi itoe tamko muda huu ilibidi iache timu ziingie uwanjani timu ambayo haikwenda uwanjani ilibidi ipigwe rungu km kanuni zinavyosema shenzitaipu Bodi ya Ligi imekurupuka inatoa maamuzi ya kisenge senge
Mimi naenda kuroga wapi...!? Hem kuwa makini na mifano yako we nyuma mwiko..! ☺️
 
Bado naendelea kuwaambia kuwa Klabu ya Simba inaongozwa na Wasomi na siyo Majuha kama Klabu ya Tigo Pesa Ok?
 
Wanajanvi.

Leo ni siku ya wanwake duniani, matamko mengi yametolewa na viongozi mbalimbali. Yapo yaliyoandikwa na kutangazwa na mengine yamepotelea pasipo julikana.

Hofu ya watawala siku ya leo ilikuwa je CHADEMA na Lisu watajadili kipi na jamii itakipokeaje kwa leo. Hasa ikizingatiwa mkuu wa nchi angezungumza.

Inawezekana CCM Wakafikiria ili ujumbe wa Chadema usifike kwa wanancchi na kujadiliwa ipasavyo wafanyeje?? Wakaona waahirishe mechi ili kuhamisha tension kwa umma.

Wakaona waahirishe mechi ili watu wapate vya kujadili na ujumbe wa CHADEMA usisikike. Kweli wamefanikiwa kwa kiasi kidogo japo siyo sana. Dr. Sllaa ameongea leo hakuna haija trend kivile.

Ni hivi, watawala wa ccm wanawajua watz, wanajua pia kwamba wengi ni machizi moira ( sicilia namba ya vipindi vya michezo na magazeti utagundua hilo) stories kwenye vijiwe na maongezi ya kawaida.

Kipindi cha JPM CHADEMA walitangaza maandamano ya UKUTA, Kulikuwa na mechi ya Simba na yanga. Siku ya maandamano ndo ilikuwa siku ya mechi, mball na JWTS kuamriwa wafanye usafi lakini mechi iliahirishwa kubadili upepo.

Mechi ile iliahirishwa ikachezwa siku nyingine na siku ya mechi mh. Mbowe na Mwigulu walikaa jukwaa moja na walionekana kupeaba tano wakati mechi inaendelea.

Ulishawahi kujiuliza wanaoingia uwanjani na jezi na mabango ni kina nani ?

Ukwei mchungu ila ndo hivyo dola inaogopa chadema kuliko inavyojitapa.
Tukutane mechi ya marudiano,
 
Back
Top Bottom