Word!Ni kazi yao kuhakikisha hiyo Project inaisha na kazi ya kuzalisha umeme inaanza haraka maana tayari kuna kodi zetu zipo hapo.
Ashukuriwe pia aliemua kuchukua maamuzi magumu kulijenga hilo bwawa hapo.
Umeongea kihadhi ya JF kabisa, safi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Word!Ni kazi yao kuhakikisha hiyo Project inaisha na kazi ya kuzalisha umeme inaanza haraka maana tayari kuna kodi zetu zipo hapo.
Ashukuriwe pia aliemua kuchukua maamuzi magumu kulijenga hilo bwawa hapo.
Mkuu kuna watu wasio na roho za kushukuru na ku appreciate jambo jema.Watu mna machuki kmmmaeeee, dah!!!
Ndiyo maana mnalaanika na kuwa kama manungunungu huku muwachukiao yao yakitimizwa tu na Mungu bila miguvu wala hasira.........mumeo kalemani huyo angeyajaza kwa mvua za kutengeneza kutoka kwa wale wataalamu wa Thailand aliowaleta Lowassa?!!!
Duh!Lakini hata hilo bwawa tumeambiwa kuna misimu inahitajika ya kulijaza ili lifanye kazi. Yawezekana misimu kukamilika ni 2027.
Ukishazoea kuishi kwa kulamba watu miguu hata ukikojolewa utasema mkojo ni maji tu.Nyie kwa roho zenu mbaya mnaishia kuishi mbavu za mbwa.
Hata zikija fursa mtu unaona na kuhangaika na roho mbaya.
Mtia posti bugia chumvi uloweshe ulumi wako mwenyewe.
Una dalili zote za mtu masikini wa roho na kipato.
Ni wa kuwahurumia kwakweli.....,roho zao zinatangatanga tu!Mkuu kuna watu wasio na roho za kushukuru su ku appreciate jambo jema.
Vitabu vitakatifu vimesha sema huwa tayari wamejilaani na kulaanika.
Ukiwafuatilia utakuta kuwa hawana maendeleo katika lolote na wakiona maendeleo yanakuja kwa watu wote, ambayo na wao watafaidika ,wanaendelea kuyazomea.
Watu wenye kaana hiyo wapo, kama huyo aliyeposti.
Roho nyingjne hii hapa inatangatabga!Hii hatua ingefikiwa kabla ya muda uliotarajiwa LABDA ndiyo ingekuwa habari ya kupigia mapambio.
Mradi upo nyuma ya muda wa mkataba,kujitokeza mbele ya watu wenye akili timamu kusifia geti kufungwa ni uzwazwa.
Utakuwa mentally masikini sana wewe.Ukishazoea kuishi kwa kulamba watu miguu hata ukikojolewa utasema mkojo ni maji tu.
Pole mkuu, una umasikini wa roho.Ukishazoea kuishi kwa kulamba watu miguu hata ukikojolewa utasema mkojo ni maji tu.
Halafu ukikosa umeme unajambajamba hovyo!Mtu timamu wa akili hana tabia ya kusifia sifia katikati ya jamii inayozongwa na matatizo yaliyosababishwa na hao anaowasifia..mtu wa aina hii ni kumhurumia, hasa familia inayomtegemea.
Sifa zenu za kijinga ndio zinaleta yote hayo ya kukosa umeme..unasifiaje watu wakati wao ni sababu ya tatizo walilolitengeneza..haki unaifanya kuwa hisani.Halafu ukikosa umeme unajambajamba hovyo!
Na mchango wako wewe nini katika ujenzi wa Taifa.Sifa zenu za kijinga ndio zinaleta yote hayo ya kukosa umeme..unasifiaje watu wakati wao ni sababu ya tatizo walilolitengeneza..haki unaifanya kuwa hisani.
Nyie ndio mama amesema ni wa miaka ya 1990 kuendelea.Sifa zenu za kijinga ndio zinaleta yote hayo ya kukosa umeme..unasifiaje watu wakati wao ni sababu ya tatizo walilolitengeneza..haki unaifanya kuwa hisani.
Hata tu kujibu ujinga na upotoshaji wako unaoleta hapa kuna kodi nalipa..Na mchango wako wewe nini katika ujenzi wa Taifa.
Nina uhakika hata kodi ndogo hulipi.
Wewe unatetea mtu au taifa..kwa hiyo aliezaliwa miaka ya 90 asiongee, unatetea watu waliotengeneza tatizo..labda kama kichwani hakuko sawa.Nyie ndio mama amesema ni wa miaka ya 1990 kuendelea.
Mnakula na kujamba mkila msosi kwa mjomba!
Rudini kijijin mkalime, au fanyeni kazi mjue watu wanavyolitetea Taifa hili.
Ninyi ndio hata Magufuli lisema msije na vinyesi vyenu mjini.Hata tu kujibu ujinga na upotoshaji wako unaoleta hapa kuna kodi nalipa..
Unaowaita vinyesi si ndo wanakulisha wewe..Ninyi ndio hata Magufuli lisema msije na vinyesi vyenu mjini.
Mama Samia kwa kuendeleza kazi mpak alipofikia inabidi tujipongeze.
Msiopenda kupongeza rudini na vinyesi vyenu nyumbani.