Bwawa la Mwalimu Nyerere kuanza kujazwa maji Desemba 22, 2022
Watu mna machuki kmmmaeeee, dah!!!

Ndiyo maana mnalaanika na kuwa kama manungunungu huku muwachukiao yao yakitimizwa tu na Mungu bila miguvu wala hasira.........mumeo kalemani huyo angeyajaza kwa mvua za kutengeneza kutoka kwa wale wataalamu wa Thailand aliowaleta Lowassa?!!!
Mkuu kuna watu wasio na roho za kushukuru na ku appreciate jambo jema.
Vitabu vitakatifu vimesha sema huwa tayari wamejilaani na kulaanika.
Ukiwafuatilia utakuta kuwa hawana maendeleo katika lolote na wakiona maendeleo yanakuja kwa watu wote, ambayo na wao watafaidika ,wanaendelea kuyazomea.
Watu wenye laana hiyo wapo, kama huyo aliyeposti.
 
Hii hatua ingefikiwa kabla ya muda uliotarajiwa LABDA ndiyo ingekuwa habari ya kupigia mapambio.

Mradi upo nyuma ya muda wa mkataba,kujitokeza mbele ya watu wenye akili timamu kusifia geti kufungwa ni uzwazwa.
 
Nyie kwa roho zenu mbaya mnaishia kuishi mbavu za mbwa.
Hata zikija fursa mtu unaona na kuhangaika na roho mbaya.

Mtia posti bugia chumvi uloweshe ulumi wako mwenyewe.
Una dalili zote za mtu masikini wa roho na kipato.
Ukishazoea kuishi kwa kulamba watu miguu hata ukikojolewa utasema mkojo ni maji tu.
 
Mkuu kuna watu wasio na roho za kushukuru su ku appreciate jambo jema.
Vitabu vitakatifu vimesha sema huwa tayari wamejilaani na kulaanika.
Ukiwafuatilia utakuta kuwa hawana maendeleo katika lolote na wakiona maendeleo yanakuja kwa watu wote, ambayo na wao watafaidika ,wanaendelea kuyazomea.
Watu wenye kaana hiyo wapo, kama huyo aliyeposti.
Ni wa kuwahurumia kwakweli.....,roho zao zinatangatanga tu!
 
Hii hatua ingefikiwa kabla ya muda uliotarajiwa LABDA ndiyo ingekuwa habari ya kupigia mapambio.

Mradi upo nyuma ya muda wa mkataba,kujitokeza mbele ya watu wenye akili timamu kusifia geti kufungwa ni uzwazwa.
Roho nyingjne hii hapa inatangatabga!
 
Mtu timamu wa akili hana tabia ya kusifia sifia katikati ya jamii inayozongwa na matatizo yaliyosababishwa na hao anaowasifia..mtu wa aina hii ni kumhurumia, hasa familia inayomtegemea.
Halafu ukikosa umeme unajambajamba hovyo!
 
Sifa zenu za kijinga ndio zinaleta yote hayo ya kukosa umeme..unasifiaje watu wakati wao ni sababu ya tatizo walilolitengeneza..haki unaifanya kuwa hisani.
Na mchango wako wewe nini katika ujenzi wa Taifa.
Nina uhakika hata kodi ndogo hulipi.
 
Sifa zenu za kijinga ndio zinaleta yote hayo ya kukosa umeme..unasifiaje watu wakati wao ni sababu ya tatizo walilolitengeneza..haki unaifanya kuwa hisani.
Nyie ndio mama amesema ni wa miaka ya 1990 kuendelea.
Mnakula na kujamba mkila msosi kwa mjomba!
Rudini kijijin mkalime, au fanyeni kazi mjue watu wanavyolitetea Taifa hili.
 
Nyie ndio mama amesema ni wa miaka ya 1990 kuendelea.
Mnakula na kujamba mkila msosi kwa mjomba!
Rudini kijijin mkalime, au fanyeni kazi mjue watu wanavyolitetea Taifa hili.
Wewe unatetea mtu au taifa..kwa hiyo aliezaliwa miaka ya 90 asiongee, unatetea watu waliotengeneza tatizo..labda kama kichwani hakuko sawa.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Hata tu kujibu ujinga na upotoshaji wako unaoleta hapa kuna kodi nalipa..
Ninyi ndio hata Magufuli lisema msije na vinyesi vyenu mjini.
Mama Samia kwa kuendeleza kazi mpak alipofikia inabidi tujipongeze.
Msiopenda kupongeza rudini na vinyesi vyenu nyumbani.
 
Ninyi ndio hata Magufuli lisema msije na vinyesi vyenu mjini.
Mama Samia kwa kuendeleza kazi mpak alipofikia inabidi tujipongeze.
Msiopenda kupongeza rudini na vinyesi vyenu nyumbani.
Unaowaita vinyesi si ndo wanakulisha wewe..
 
Back
Top Bottom