Themagufulianz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 4,548
- 1,988
Vipi ametangaza tuuze ndege 1 ili tufidie zile bilioni 60
kuna dada yangu mataga nimemmiss sana. aitwa Jane Lowassa ..dada upo?
Mataga acheni hasira ..... unapenda kweli kuwahi kuleta habari but with no details or very shallow. Usiwe unakimbilia ku-post; unaziba nafasi ya mwenye nia ya kutuletea habari kwa ukamilifu! Hata hizo UPDATES zako zitakuwa very shallow I guess!
Kesho magazeti yatamwaga sera balaa... unapenda kweli kuwahi kuleta habari but with no details or very shallow. Usiwe unakimbilia ku-post; unaziba nafasi ya mwenye nia ya kutuletea habari kwa ukamilifu! Hata hizo UPDATES zako zitakuwa very shallow I guess!
wafanyakazi wa TBC na Cloud wazitapike izi helaTamasha la utalii pana upigaji wa takribani 1.5 B maana tamasha hili halikuwemo ktk bajeti za wizara ila iliamuliwa kila mamlaka chini ya wizara kutoa 250m kufanikisha na fedha hizi matumizi yake CAG hakupata vielelezo, ambapo Clouds walilipwa 600+m na TBC 250+m lakini malipo haya hayakuwa na uthibitisho maana risiti za kielektroniki hazikutolewa
... mataga tangu lini wakapenda issues za CAG ziwe reported in detail?Mataga acheni hasira ..
Kwani mwenye details anazuiwa kuleta... unapenda kweli kuwahi kuleta habari but with no details or very shallow. Usiwe unakimbilia ku-post; unaziba nafasi ya mwenye nia ya kutuletea habari kwa ukamilifu! Hata hizo UPDATES zako zitakuwa very shallow I guess!
Huyu huwa anapost huku anakata gogo.... unapenda kweli kuwahi kuleta habari but with no details or very shallow. Usiwe unakimbilia ku-post; unaziba nafasi ya mwenye nia ya kutuletea habari kwa ukamilifu! Hata hizo UPDATES zako zitakuwa very shallow I guess!
... mods wanaunganisha. Utakuta thread yenye details za kutosha inaunganishwa mwishoni mwa shallow thread hivyo kuwa vigumu kuonekana. Wakati mwingine wengine wanawahi kuanzisha thread kwa makusudi ili kuhakiksha detailed ones hazionekani kwa urahisi.Kwani mwenye details anazuiwa kuleta
Clouds FM rudisheni pesa za wanyonge, kumbe mnashirikiana na mafisadi kutapeli pesa za wanyonge...Zinakuhusu nini?