Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Haisaidii ukishanunuliwa unabaki debe tupu tu!Unafiq......
Ila kwa ninavyomjua Lissu mpunga kapokea na bado ataendelea kuwapiga spana kisawasawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haisaidii ukishanunuliwa unabaki debe tupu tu!Unafiq......
Ila kwa ninavyomjua Lissu mpunga kapokea na bado ataendelea kuwapiga spana kisawasawa
Iko wazi mbona? Huwa najichekea tu humu kuona vijana wadogo wadogo wakimpondea TL kwa kejeli kibao, ukweli ni kwamba hakuna kigogo yoyote wa CCM asiyeijua nguvu ya TL. mstaafu Kikwete na late Magufuli wakiongoza kufahamu hilo.Hizi ni dalili muhimu sana toka CCM kuonyesha hofu yao kwa Tundu Lissu. Fikra zao zote wamezielekeza kwenye njia za kumbana Tundu Lissu sasa hivi;kwa sababu ni tishio kubwa kwao.
Na mengine yanadhalilisha mpaka Wazee wenye miaka zaidi ya 70+Wanampoza baada ya kumpiga mlemavu Kwa kumuonea!!?
Ccm chama changu fanyeni complete overhaul Kuna matahira ndani ya chama yanashauri ujinga unaochafua serikali na chama!!
Hiyo ni pole baada ya kupigwa na Polisi wa CcmKatibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi amewaongoza wajumbe wa NEC alioongoza nao ziarani mkoani Mwanza na wanachama wa chama hicho mkoani humo wamemchangia Shilingi Milioni Tano Makamu Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA, Tundu Lissu ili kufanyia matengenezo gari yake.
Kada wa CCM, Mchungaji Peter Msigwa akiwa kwenye mkutano wa chama hicho kwenye uwanja wa Furahisha jijini Mwanza alimuomba Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Nchimbi kuhamasisha wanachama wa CCM kumchangia Lissu ili gari hilo limuwezeshe kufanya shughuli za siasa.
Kwa upande wake, Dkt Emmanuel Nchimbi amesema siasa si uadui hivyo ni vyema kushikana mkono pale panapobidi kwani wanasiasa wote wanaijenga Tanzania.
Alipotafutwa kuzungumzia kitendo hicho kilichofanywa na CCM, Lissu amewashukuru CCM kwa mchango na kwamba atazipokea fedha hizo kama ambayo amekuwa akipokea kutoka kwa makundi tofauti ya watu.
"Nawashukuru, kama nilivyosema...hatukusema tunachangiwa na wanaChadema peke yao, kama nilivyotibiwa, sikutibiwa na wanaChadema peke yao. Kwa hiyo, wakichangia nitazipokea, sina sababu ya kukataa," amesema Lissu.
Mwananchi
Hiyo inaitwa kulitia toto tundu konzi halafu unalipoza kwa pipiHiyo ni pole baada ya kupigwa na Polisi wa Ccm
Alikataa ile hongo ya Abdul sasa Msigwa kamtumia Nchimbi.
Kuna issue Ccm wana itega kwa Lissu. Soon ita kuwa wazi. Usishangae Lissu akaenda kupokelea huo mchango Lumumba
Hiyo inaitwa kulitia toto tundu konzi halafu unalipoza kwa pipi
Kuchukua hela kwa harambee ya CCM ni kujidhalilisha!
Wewe umemchangia ngapi mpaka sasaHatuzitaki lissu asipokee hii politiki ya kinafiki kinachofwata watamuuliza zile walizochangia wananchi zimeenda wapi huo ni mtego.
CCM ndio Chama bora sana duniani, imagine hadi kinaweza kuwachangia upinzani ili gari la Makamu Mwenyekiti litengenezwe au kununua jipya, tshs 5 mil
View: https://youtu.be/MoaBnRpnM8w?si=5Znu8cTQ9IcwYgra
Na ataenda huyo jamaa.Alikataa ile hongo ya Abdul sasa Msigwa kamtumia Nchimbi.
Kuna issue Ccm wana itega kwa Lissu. Soon ita kuwa wazi. Usishangae Lissu akaenda kupokelea huo mchango Lumumba
Tofautisha kuchangiwa na watu individuals kimyakimya na kuchangiwa kwenye mkutano wa CCM kwa kuombewa na msaliti wa chama Msigwa na harambee kuitishwa na katibu mkuu wa CCM. hadi hapo huoni tatizo?..Lissu amesema alipotibiwa alichangiwa na watu wa vyama vyote hata Ccm.
Tofautisha kuchangiwa na watu individuals kimyakimya na kuchangiwa kwenye mkutano wa CCM kwa kuombewa na msaliti wa chama Msigwa na harambee kuitishwa na katibu mkuu wa CCM. hadi hapo huoni tatizo?
Turudi kwenye hoja ya kamatakamata ya Mbeya,Sauti ya watanzania hili wanalionaji?Hii yote ni kuzima aibu ya juzi mbeya!
..kwasababu mchango huo umefanyika kwa UWAZI, na Lissu hakuwalazimisha wamchangie, sioni tatizo kwa upande huo.
..kitu ambacho sikukipenda ni KEJELI wakati wa uchangiaje huo. Lakini Lissu hana uwezo wa kuzuia viongozi wa CCM kumkejeli.
CCM wanajua kucheza na mindset za watu aisee kongole! kipindi cha uchaguzi wanaona 4R Awadh kazitibua lazima juhudi zifanyike kurejesha imaniWanajaribu kuwahadaa mabeberu ili mali binafsi za viongozi wa ccm zisikamatwe na marekani kwa ushenzi walioufanya kina Sugu juzi. Wanataka ionekane yale ni makosa ya polisi na wao ccm hawahusiki hivyo wasionekane wabaya kumbe ndio mashetani wenyewe.