CHADEMA kususia sherehe za Uhuru ni kukosa uzalendo. Hii ni kuthibisha kuwa hamfai kukamata Dola

Hatujaona kiongozi yoyote wa kitaifa wa chama cha Chadema akiungana na watanzania uwanja wa uhuru kusheherekea uhuru wa taifa letu

Mbaya zaidi mmeenda makao makuu ya chama chenu ili kufanya kongamano la katiba mpya kama sherehe za uhuru. Huku ni kukosa mshikamano na umoja. Ni dhahiri hamstahili kupata kukamata dola.
Yaani mwenyekiti yupo gerezani kwa kesi ya kutunga na makamu mwenyekiti yupo ukimbizini nje ya nchi kwa kushambuliwa risasi 36.
Sijui mtoa mada kama una uelewa na neno uzalendo.
Malaika hawana uzalendo wa kuhudhuria kongamano la majini.
 
Hatujaona kiongozi yoyote wa kitaifa wa chama cha Chadema akiungana na watanzania uwanja wa uhuru kusheherekea uhuru wa taifa letu

Mbaya zaidi mmeenda makao makuu ya chama chenu ili kufanya kongamano la katiba mpya kama sherehe za uhuru. Huku ni kukosa mshikamano na umoja. Ni dhahiri hamstahili kupata kukamata dola.
1. Uhuru gani feki huo? Hakuna nchi ya "Tanzania" iliyopata uhuru wà tàrehe 9/12/1961....!!

2. Sisi tulikuwa katika viwanja vyetu tukikumbuka UHURU ORIJINO wa nchi yetu ya Tanganyika tarehe 9/12/1961...

3. Endeleeni nyie na uzalendo wenu feki na wa kijinga. Ila mfahamu kuwa, tumechoka na hatutaki tena UONGO na HADAA zetu za kijinga nyie maCCM...!!
 
Hatujaona kiongozi yoyote wa kitaifa wa chama cha Chadema akiungana na watanzania uwanja wa uhuru kusheherekea uhuru wa taifa letu

Mbaya zaidi mmeenda makao makuu ya chama chenu ili kufanya koutungamano la katiba mpya kama sherehe za uhuru. Huku ni kukosa mshikamano na umoja. Ni dhahiri hamstahili kupata kukamata dola.
Usitupangie Cha kufanya , uhuru GANI wakati mwenyekiti yupo ndani KWa kesi ya michongo ,kuanzia leo utukome sie Chadema
 
Hatushirikiani na majizi ya kura kwa lolote. Tena ilitakiwa hata kwenye misiba na shughuli zenu nyie majizi ya kura ya CCM tuwasusie. Na chaguzi hatushiriki ili mshinde bila kuiba.
ujaona kiongozi yoyote wa kitaifa wa chama cha Chadema akiungana na watanzania uwanja wa uhuru kusheherekea uhuru wa taifa letu

Mbaya zaidi mmeenda makao makuu ya chama chenu ili kufanya kongamano la katiba mpya kama sherehe za uhuru. Huku ni kukosa mshikamano na umoja. Ni dhahiri hamstahili kupata kukamata dola.
 
Hatujaona kiongozi yoyote wa kitaifa wa chama cha Chadema akiungana na watanzania uwanja wa uhuru kusheherekea uhuru wa taifa letu

Mbaya zaidi mmeenda makao makuu ya chama chenu ili kufanya kongamano la katiba mpya kama sherehe za uhuru. Huku ni kukosa mshikamano na umoja. Ni dhahiri hamstahili kupata kukamata dola.
Tuanzie kwenye uchaguzi wa 2020 vipi mbona hujauliza? Katiba mpya kwanza bwashee!!!!!!. Kwanza nahisi mmetumia magarama bila sababu wananchi walikuwa wanaendelea na mishe zao hawajui Kama kuna uhuru.
 
Hatujaona kiongozi yoyote wa kitaifa wa chama cha Chadema akiungana na watanzania uwanja wa uhuru kusheherekea uhuru wa taifa letu

Mbaya zaidi mmeenda makao makuu ya chama chenu ili kufanya kongamano la katiba mpya kama sherehe za uhuru. Huku ni kukosa mshikamano na umoja. Ni dhahiri hamstahili kupata kukamata dola.
CHADEMA wakaahiriki Najisi
 
Hivi bado unawa mind hao wahuni ?
 
Uzalendo ni nini ?
Uzalendo ni pamoja na kujumuika na wenzio kwenye shughuri kama hizi sasa nyie mnasusa halafu mnataka eti mpewe nchi labda mpewe mavi muyaongoze sisi hatuwataji kwanza huku mtaani hakuna hata anayewashabikia kwa sasa
 
Tunasheherekea uhuru, uhuru ni wa watanzania wote haijalishi CCM,CDM ACT nk watanzania wote tunapaswa kuwa kitu kimoja siku hii..

Wakati uhuru unatafutwa hakukuwa na CDM wala CCM wala CUF wala ACT ...wazee walipambana tuwe huru kutoka makucha ya mkoloni....ukolono ni ukoloni tu, na uhuru ni uhuru tu..... hicho kidogo tulichokipata kinatosha na tushukuru Mungu.....kama enzi za ukoloni kuna maeneo huruhusiwi kukanyaga, kuna kazi marufuku kufanya, kila jambo mnapangiwa na mkoloni leo hii tunakwenda kila mahala kuanzia kidimbwi mpaka Hyatt ni mpunga wako tu...Kuna watu hamkuwahi kuuishi ukoloni, walioushi ukoloni na kuwepo sasa hawatamani kabisa hiyo hali..

Siasa za Tanzania ni za kijinga sana, zimejaa wajinga wengi, zimejaa wajuaji wanaowaza kushika nyadhifa kwa njia yeyote, zimejaa warafi wanaowaza matumbo yao.. 90% ya mataifa yote duniani siku hii watu huwa na furaha, watu huwa pamoja kushangilia uhuru wao...
 
Back
Top Bottom