CHADEMA wasitisha safari kuelekea Katesh-Hanang kuwafariji wahanga wa mafuriko kutokana na vikwazo walivyowekewa
View attachment 2835679

Kama tulivyotarajia tangu awali , Serikali ya Tanzania imekizuia Chama cha Demokrasia na Maendeleo , kuwafariji watu wa Hanang , ambako viongozi wake wamekatazwa hata kutembelea Wagonjwa hospitalini .

Hapa ndipo siasa za kishamba za ccm zilipofikia .

View attachment 2835710
Yale maridhiano yenu ya kitapeli bado yapo ?...

Mlionywa sana kuhusu unafiki na uhuni wa Ccm ila mlishupaza shingo, matokeo yake ndio haya..

..subirieni chaguzi za 2024 na 2025 ndio mtaona rangi halisi za Ccm.

Ile michezo michafu ya Ccm waliowatendea CUF ya Maalim Seif (Rip) ikiwemo utapeli/dhulma uliovishwa vazi la maridhiano huko Zanzibar kwa miaka zaidi ya 20 ndio imehamishiwa kwa Chadema ya Mbowe.

JokaKuu brazaj Kalamu zitto junior Mag3 Retired
Nguruvi3
 
CHADEMA NI WAPUMBAVU NA MALOFA, HAWANA AKILI, WAJINGA NA WASIOTUMIA MAWAZO.

Maafa yametokea siku zaidi ya 5 huko leo wanasikia Rais anaenda na wao wanajifanya kwenda.
Duh povu unalia na kulia

Ova
 
rais samia yupo dubai ,mbowe na genge lake wanaranda mtaani ,wamesikia karudi na wao ndio wanataka kwenda hanang bora wamezuiliwa tu
 
Yale maridhiano yenu ya kitapeli bado yapo ?...

Mlionywa sana kuhusu unafiki na uhuni wa Ccm ila mlishupaza shingo, matokeo yake ndio haya..

..subirieni chaguzi za 2024 na 2025 ndio mtaona rangi halisi za Ccm.

Ile michezo michafu ya Ccm waliowatendea CUF ya Maalim Seif (Rip) ikiwemo utapeli/dhulma uliovishwa vazi la maridhiano huko Zanzibar kwa miaka zaidi ya 20 ndio imehamishiwa kwa Chadema ya Mbowe.

JokaKuu brazaj Kalamu zitto junior Mag3 Retired
Nguruvi3
Yale maridhiano fake anayajua Mbowe, na ndio maana anapata tabu kueleza wafuasi wake na kueleweka kwani utapeli ule uko wazi mno.
 
Chadema wangesubiri samia amalize ziara yalke ndo wao waende au wao wangewahi kabla ya samia procal hairusu
 
Hata mtoto mdogo angeamua kuwazuia chadema...

Maana motive yao ni ya kujiongezea umaarufu kisiasa..

Siasa kwenye majanga haifai...

Tuheshimu uhai.
Kivipi walikuwa wanajiongezea umaarufu?
 
CCM ya sasa ni alama ya shetani hapa Duniani. Kuna siku siku CCM itakuja kujimilikisha mpaka makaburi. Wao kila kitu wanaona ni chao pekee yao.
 
Hata mtoto mdogo angeamua kuwazuia chadema...

Maana motive yao ni ya kujiongezea umaarufu kisiasa..

Siasa kwenye majanga haifai...

Tuheshimu uhai.
Katazame jezi za chama gani zimevaliwa huko, ndio ujue nani anaendekeza siasa za kishamba. Semeni tu mmeona wivu maana mnajua cdm ndio wenye hamasa ya watu, hivyo mtakosa nafasi ya kufanya propaganda kuwa ccm ndio chama pekee kiliwatembelea wahanga wa hilo janga.

Mmejazana kuanzia mwenyekiti wenu kusaka kiki za kisiasa, lakini cdm wawili tu mnatoa vilio vya hatari. Kulazimisha kukubalika ni kazi ngumu sana.
 
Gaidi Mbowe alitaka kujumuika na Tapeli Lema sio?
 
Back
Top Bottom