Job true true !! 🤣 😂Bad Timing Mkuu, CHADEMA wameenda siku ambayo Chief Hangaya akiwa huko kuwapa pole wahanga.
SIDHANI KAMA WANGEPATA UGUMU KAMA WANGEENDA SIKU TOFAUTI NA MH. RAIS
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Manyumbu ya CHADEMA hayawezi kuelewa hilo maana akili zao zilishawekwa mfukoni mwa Mbowe.Mkuu wa nchi ni Mtu mzito, kwahyo ni mpaka ziara yake iishe ndio wengine watapata nafasi.
Nb. SINA CHAMA
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
chawa wadogo huwa wanawasha kwenye uchafu mwingi kuliko wakubwa je wewe nichawa mdogo au mkubwa?Shwaini
umesahau kuandika namba ya simu mkuu. wakitaka kukutumia posho yako ya leo watumie namba gani?Manyumbu ya CHADEMA hayawezi kuelewa hilo maana akili zao zilishawekwa mfukoni mwa Mbowe.
Wakienda watu wengine wakati mkuu wa nchi yupo hawezi kuona kiwango Cha maafa?Mkuu wa nchi ni Mtu mzito, kwahyo ni mpaka ziara yake iishe ndio wengine watapata nafasi.
Nb. SINA CHAMA
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
wewe ni mpumbavu kuwahi kutokea mbona raisi kaenda leo?Chadema kwa nini waende leo wakati maafa yametokea muda mrefu?
Chadema ni wapumbavu
ni uchwara kama lile dikiteta? sasa mbona mnawazuia kama hamuwaogopi hahahahYaani hawa uchwara wameacha katiba mpya sasa wamerukia majanga ya Hanang, ha ha ha😎
Kwa hiyo wao unataka waende ln?Kwani kuna ratiba maalum ya kwenda hanang kuwafariji wahanga?au ulitaka waende mwaka Kesho?Kwani baada ya kufika wanpewa utaratibu WA kufuata kulikuwa na shida gani?Masela wa matukio wanajua mkuu wa nchi alipanga tarehe hiyo nao wakapanga tarehe hiyo makusudi ili watafute sababu na huruma chadema kwa sasa hakuna mikakati!
Chadema kwa nini waende leo wakati maafa yametokea muda mrefu?
Chadema ni wapumb
We na mume wako mmeenda lini?Chadema kwa nini waende leo wakati maafa yametokea muda mrefu?
Chadema ni wapumbavu
Kwnn mhe Rais aende baada ya kusikia chadema wanaenda Hanang??? Si angesubiria tu??? Au kwenu ccm maafa yametokea jana??? Acheni upumbavu wenye ushetwani ndani ykeChadema kwa nini waende leo wakati maafa yametokea muda mrefu?
Chadema ni wapumbavu
Kwa hiyo Rais akiwa mahali, Watanzania wa vyama vingine hawatakiwi kuwepo sio!!???Nyinyi askofu Ina MAANA hamjui kwamba Leo mh. Rais alikuwa yupo huko Hanang?? Ni kwanini hao CHADEMA wapange ziara Leo kama kweli Wana lengo zuri na sio show off... Wasubiri amiri jeshi mkuu aondoke kwanza halafu nao wataingia wakae Hadi mavuno walitaka.. nyinyi askofu tendeni haki na muwe mnafikiria sawasawa sio Kila saa tu lawama
Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Kwa hili nadhani opposition wakiri walipotoka kidogo.Hata mtoto mdogo angeamua kuwazuia chadema...
Maana motive yao ni ya kujiongezea umaarufu kisiasa..
Siasa kwenye majanga haifai...
Tuheshimu uhai.