CHADEMA wasitisha safari kuelekea Katesh-Hanang kuwafariji wahanga wa mafuriko kutokana na vikwazo walivyowekewa
Bad Timing Mkuu, CHADEMA wameenda siku ambayo Chief Hangaya akiwa huko kuwapa pole wahanga.

SIDHANI KAMA WANGEPATA UGUMU KAMA WANGEENDA SIKU TOFAUTI NA MH. RAIS

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Job true true !! 🤣 😂
 
Siku zote nasema tatizo kubwa la TZ hata si viongozi no uelewa na fikra za watanzania kama mwamzisha thread. Na mbaya zaidi ndio asilimia kubwa ya raia
 
Hivi huu ni muda na wakati wa kufanya politicking na kuleta shutuma ?;

Yaani hii ishakuwa ziara na sio kwamba hata mtu ukiamua kuamia kabisa huko na kuwajalia hali (kama nafasi ipo) its all well an good ? Kama ujio wa Rais unakataza wengine kwenda na basi asiende...; Hii nchi ishaoza to the Core (kama kuna watu wana fikra kama zako)
 
Mkuu wa nchi ni Mtu mzito, kwahyo ni mpaka ziara yake iishe ndio wengine watapata nafasi.

Nb. SINA CHAMA

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Wakienda watu wengine wakati mkuu wa nchi yupo hawezi kuona kiwango Cha maafa?
 
Wakatoe ambavyo wakuu hawatoa bado nani anataka fedheha....yaan jirani alete Michele wa shughuli wewe mwenyeshughuli wakati bado hujavuna mpunga wako.
 
Masela wa matukio wanajua mkuu wa nchi alipanga tarehe hiyo nao wakapanga tarehe hiyo makusudi ili watafute sababu na huruma chadema kwa sasa hakuna mikakati!
Kwa hiyo wao unataka waende ln?Kwani kuna ratiba maalum ya kwenda hanang kuwafariji wahanga?au ulitaka waende mwaka Kesho?Kwani baada ya kufika wanpewa utaratibu WA kufuata kulikuwa na shida gani?
 
Wanafiki tuu, kwenye Kampeni wanatumia helcopter eti kamanda wa anga. Maafisa yametokea hatuoni hiyo helcopter insokoa watu halafu wanapenda kupiga siasa uchwara kwenye maafa?
 
Nyinyi askofu Ina MAANA hamjui kwamba Leo mh. Rais alikuwa yupo huko Hanang?? Ni kwanini hao CHADEMA wapange ziara Leo kama kweli Wana lengo zuri na sio show off... Wasubiri amiri jeshi mkuu aondoke kwanza halafu nao wataingia wakae Hadi mavuno walitaka.. nyinyi askofu tendeni haki na muwe mnafikiria sawasawa sio Kila saa tu lawama

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Nyinyi askofu Ina MAANA hamjui kwamba Leo mh. Rais alikuwa yupo huko Hanang?? Ni kwanini hao CHADEMA wapange ziara Leo kama kweli Wana lengo zuri na sio show off... Wasubiri amiri jeshi mkuu aondoke kwanza halafu nao wataingia wakae Hadi mavuno walitaka.. nyinyi askofu tendeni haki na muwe mnafikiria sawasawa sio Kila saa tu lawama

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo Rais akiwa mahali, Watanzania wa vyama vingine hawatakiwi kuwepo sio!!???

Kweli CCM wamefanikiwa sana kwenye hili la "kuwajingisha" wafuasi wao.
 
Hata mtoto mdogo angeamua kuwazuia chadema...

Maana motive yao ni ya kujiongezea umaarufu kisiasa..

Siasa kwenye majanga haifai...

Tuheshimu uhai.
Kwa hili nadhani opposition wakiri walipotoka kidogo.

Kiukweli kama wangeenda jana sidhani kama wangezuiwa. Mngeahirisha vyoooote mkafika pale ingewezekana hata Makamu wa Mwenyekiti angefika jana kumuwakilisha Mwenyekiti ( pole Mwenyekiti na misiba Mungu akufariji)

Mkuu wa nchi ni SSH so kuna sehemu tuzingatie security na mengineyo sio kila kitu ni show. Ilitangazwa Mkulu anaenda Dec 7 kwanza then ninyi mkaja na tarehe hiyo hiyo hamuoni kama mmekuwa wachokozi zaidi?

Kuna maudhi kero mapungufu mengi kwa watalawa hayaelezeki. Hata kwenye hili mapungufu meeeengi yamejionyesha but msiegemee kuprove ninyi ni bora kuliko wao..

Tunazungumzia janga kuu tuanzie hapo. Aim ilikuwa ni kwenda kuwasaidia wahanga au kushow off? Hii ni both sides inawahusu..

Mwenyekiti ameelewa na ndio maana ametulia.

Opposition, Hawakupashwa kugeuza janga kama hili iwe mtaji. Mwenyekiti angeenda kesho pia kusingekuwa na shida. Kinana alienda kwani yeye yupo ndani ya utawala so msifananishe kiviiiile. What if alienda kuset security na mengineyo.

Tuache hizi petty petty things..

Tulisema kukosolewa ni pande zote so kama chama mkubali mliteleza kidogo. Don’t dwell kwa hii issue maisha yaendelee.. sio kila jambo ni vita
 
Siasa zisiingizwe katika majanga makubwa kama haya....

Yawezekena janga kama hili... Likatumika kama mtaji wa kisiasa! Kuelekea 2024/25...(hasa kwa ukanda huo!... Atakako huyo mkuu wa hicho chama).

.... kutafuta sympathy ya wananchi kuwa chadema wanaonewa ... Kumbe wamekiuka itifaki kwa makusudi kabisa!!!
 
Back
Top Bottom