antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Usipotoshe, alisema hiyo rushwa alipelekewa na AbdulHAYO WAMWAMBIE LISSU AWAPELEKEE USHAHIDI MAANA YEYE NDIYO ANASEMA KUNA RUSHWA NDANI YA CHAMA WAMUITE WAMUHOJI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usipotoshe, alisema hiyo rushwa alipelekewa na AbdulHAYO WAMWAMBIE LISSU AWAPELEKEE USHAHIDI MAANA YEYE NDIYO ANASEMA KUNA RUSHWA NDANI YA CHAMA WAMUITE WAMUHOJI
Inasemekana hiyo barua ya Mrema ni FEKIWakuu
CHADEMA wamemjibu Makamu Mwenyekiti wa chama chao, Tundu Lissu
=====
Hivi karibuni kumeibuka tena wimbi la hoja mbalimbali ambazo zilishawahi kuibuka siku za nyuma na ambazo zimesababisha wanachama, wapenzi wa Chadema na Wananchi kwa ujumla kutaka ufafanuzi rasmi wa Chama;
1. Chadema haijawahi kuletewa hoja ya kugawana madaraka kutoka Chama chochote au kutoka kwa Serikali wala hoja ya kupewa Majimbo ya Uchaguzi au kugawana nafasi za madaraka katika muundo wa Serikali.
Aidha, ieleweke kuwa kwa mujibu wa Katiba iliyopo sasa nafasi ya Makamu wa Rais hugombewa na haitolewi mezani, vilevile nafasi ya Waziri Mkuu hutokana na Chama chenye wabunge wengi Bungeni.
2. Chadema katika vikao vyake vyote rasmi haijawahi kujadili, kutoa au kupokea mapendekezo yeyote ya kitu kinachoitwa "Serikali ya nusu mkate". Jambo hili kama linavyopotoshwa halijawahi kuwa Sera ya Chadema.
3. Chadema haijawahi kupokea wala kujadili au kubeba au kuwa na agenda na Serikali katika vikao vyote vya Chama au vile vya maridhiano kuhusu hoja hizo tajwa hapo juu.
4. Ikumbukwe kuwa vikao vyote vya maridhiano vilifanyika mwaka 2022 na vikahitimishwa 3 Januari 2023 ambapo Rais Samia Suluhu Hassan alizungumza na Taifa kupitia Vyama vya Siasa na Wadau mbalimbali kuondoa katazo haramu la shughuli za kisiasa ikiwemo mikutano ya hadhara na maandamano. Tarehe 30 na 31 May 2023 palifanyika vikao vya mwisho ambapo tulishindwana. Baada ya hapo hakuna kikao chochote cha siri au hadharani kimefanyika baina ya CCM na Chadema.
5. Kwa kipindi chote cha mwaka 2023 na 2024 hadi sasa, Chama kimekuwa kwenye program mbalimbali zenye lengo la kukiuhisha Chama kufuatia miaka 7 ya Chama kupitishwa kwenye "Bonde la Uvuli wa Mauti" na hivyo kuathiri kwa kiasi kikubwa mtandao na Uongozi wa Chama katika ngazi mbalimbali kuanzia kwenye Vitongoji, Mitaa na Vijiji. Shughuli zilizofanyika ni pamoja na ziara mbalimbali maeneo kadhaa ya nchi kwa ajili ya mikutano ya hadhara, maandamano, mafunzo, usajili wa wanachama kidigitali, chaguzi kuanzia ngazi za vitongoji, Mitaa, Vijiji, Kata, Majimbo, Wilaya, Mikoa hadi Kanda. Chaguzi hizi za ndani zitahitimishwa na Uchaguzi Mkuu ndani ya Chama.
Pia, Soma:
+ Benson Kigaila: Yeyote akisema hatukujiandaa na uchaguzi anafanya kazi ya CCM
Ni mtanzania mwenye kutaka maendeleo ya pande zoteWewe mwanachama wa uvccm unahusika vipi na mambo ya CHADEMA?
Nani wanakulana?Wanakulana WENYEWE KWA WENYEWE.
CHAWA yeyote hawezi kuwa na sifa hiyoNi mtanzania mwenye kutaka maendeleo ya pande zote
Usilamizishe usiyoyajua na huna uwezo wa kuyajua .POLECHAWA yeyote hawezi kuwa na sifa hiyo
Kwakwel siwez eleza kiundani lakin sasa kama ni wewe tu unalalmikiwa na ni wewe tu unagombana na watu kila siku, wao wakionekana ndio wenye makosa na wewe uko sahihi always, hii inaleta walakini kidogo mkuu!. Au wewe unaonaje?Sheida yake ni nini? Ni kukalia kiti tu au kuna mengine zaidi?
Na vipi huyo mwingine, wengine humuita mwenye Saccos yake?Chama hakijapasuka aliyepasuka ni yule aliyejifanya TID.
Hawa uwezo wa kuongoza nchi hawana. Warndelee kujifunza kwanza.🤣🤣🤣🤣🤣Wakuu
CHADEMA wamemjibu Makamu Mwenyekiti wa chama chao, Tundu Lissu
=====
Hivi karibuni kumeibuka tena wimbi la hoja mbalimbali ambazo zilishawahi kuibuka siku za nyuma na ambazo zimesababisha wanachama, wapenzi wa Chadema na Wananchi kwa ujumla kutaka ufafanuzi rasmi wa Chama;
1. Chadema haijawahi kuletewa hoja ya kugawana madaraka kutoka Chama chochote au kutoka kwa Serikali wala hoja ya kupewa Majimbo ya Uchaguzi au kugawana nafasi za madaraka katika muundo wa Serikali.
Aidha, ieleweke kuwa kwa mujibu wa Katiba iliyopo sasa nafasi ya Makamu wa Rais hugombewa na haitolewi mezani, vilevile nafasi ya Waziri Mkuu hutokana na Chama chenye wabunge wengi Bungeni.
2. Chadema katika vikao vyake vyote rasmi haijawahi kujadili, kutoa au kupokea mapendekezo yeyote ya kitu kinachoitwa "Serikali ya nusu mkate". Jambo hili kama linavyopotoshwa halijawahi kuwa Sera ya Chadema.
3. Chadema haijawahi kupokea wala kujadili au kubeba au kuwa na agenda na Serikali katika vikao vyote vya Chama au vile vya maridhiano kuhusu hoja hizo tajwa hapo juu.
4. Ikumbukwe kuwa vikao vyote vya maridhiano vilifanyika mwaka 2022 na vikahitimishwa 3 Januari 2023 ambapo Rais Samia Suluhu Hassan alizungumza na Taifa kupitia Vyama vya Siasa na Wadau mbalimbali kuondoa katazo haramu la shughuli za kisiasa ikiwemo mikutano ya hadhara na maandamano. Tarehe 30 na 31 May 2023 palifanyika vikao vya mwisho ambapo tulishindwana. Baada ya hapo hakuna kikao chochote cha siri au hadharani kimefanyika baina ya CCM na Chadema.
5. Kwa kipindi chote cha mwaka 2023 na 2024 hadi sasa, Chama kimekuwa kwenye program mbalimbali zenye lengo la kukiuhisha Chama kufuatia miaka 7 ya Chama kupitishwa kwenye "Bonde la Uvuli wa Mauti" na hivyo kuathiri kwa kiasi kikubwa mtandao na Uongozi wa Chama katika ngazi mbalimbali kuanzia kwenye Vitongoji, Mitaa na Vijiji. Shughuli zilizofanyika ni pamoja na ziara mbalimbali maeneo kadhaa ya nchi kwa ajili ya mikutano ya hadhara, maandamano, mafunzo, usajili wa wanachama kidigitali, chaguzi kuanzia ngazi za vitongoji, Mitaa, Vijiji, Kata, Majimbo, Wilaya, Mikoa hadi Kanda. Chaguzi hizi za ndani zitahitimishwa na Uchaguzi Mkuu ndani ya Chama.
Pia, Soma:
+ Benson Kigaila: Yeyote akisema hatukujiandaa na uchaguzi anafanya kazi ya CCM
Uongozi wa CHADEMA hapo Makao Makuu ya chama na hata Mwenyekiti wa chama; kitu mlicho fanikiwa kukiigiza toka CCM ni njia zao za udanganyifu na hadaa; lakini hamkujifunza kwa ukamilifu zaidi miundo na mbinu kama walizo nazo CCM kuendelea kuwa madarakani kama walivyo jipanga huko mitaani/vitongojini.5. Kwa kipindi chote cha mwaka 2023 na 2024 hadi sasa, Chama kimekuwa kwenye program mbalimbali zenye lengo la kukiuhisha Chama kufuatia miaka 7 ya Chama kupitishwa kwenye "Bonde la Uvuli wa Mauti" na hivyo kuathiri kwa kiasi kikubwa mtandao na Uongozi wa Chama katika ngazi mbalimbali kuanzia kwenye Vitongoji, Mitaa na Vijiji. Shughuli zilizofanyika ni pamoja na ziara mbalimbali maeneo kadhaa ya nchi kwa ajili ya mikutano ya hadhara, maandamano, mafunzo, usajili wa wanachama kidigitali, chaguzi kuanzia ngazi za vitongoji, Mitaa, Vijiji, Kata, Majimbo, Wilaya, Mikoa hadi Kanda. Chaguzi hizi za ndani zitahitimishwa na Uchaguzi Mkuu ndani ya Chama.
Ila wewe jamaa jitangaze tu kuwa comedian 😄😄😄😄Alikunywa BIA 19 za Bilionea Sugu🐼
Kachelewa sana kujibu hoja. Watu wameshaamini yaliyotolewa kinywani mwa kiongozi namba 2.1. Chadema haijawahi kuletewa hoja ya kugawana madaraka kutoka Chama chochote au kutoka kwa Serikali wala hoja ya kupewa Majimbo ya Uchaguzi au kugawana nafasi za madaraka katika muundo wa Serikali.
Bora mabehewa yayumbe na treni isimame kuliko kumuachia usukani mropokaji Lissu, atapindua treni moja kwa moja na itakuwa ndio mwisho wa safar.Inavyoonekana Kuna mvurugano ndani ya Chadema. Kiini cha kuwepo kwa mvurugano huu huko Chadema kwa maoni yangu ni kutokana na namna Mwenyekiti wa Chama chao hicho Freeman Mbowe kukosa misimamo inayoeleweka kuhusiana na Siasa za nchi hii kwa sasa. Siyo siri hata kidogo, Mbowe akiwa Kama Kiongozi wa Chama Chao hicho, amekuwa ni mtu ambaye Hana msimamo unaoeleweka hali hii imesababisha mkwamo na kuyumba kwa Wanachama wa chama hicho.
Mbowe amekuwa ni mtu asiyeaminika tena kwa sasa ndani ya Chama Chao hicho, watu wengi kwanza wanamchukulia kama ni Mamluki wa Chama tawala ambaye amejipachika kwenye Vyama vya upinzani kwa 'kazi maalumu ya kuvuruga vyama vya upinzani' ili kukinufaisha chama tawala.
'Engine' ya treni ikiharibika mabehewa yote ya treni nayo huyumba na kusimama!