Hao ni wa chama chao mkuu wanaingiaje kwenye serikali?.
Hilo nalo ni swali fikirishi la kujiuliza,ingawa huenda ujazaji wa zamani mapungufu yalikuwa yanafunikwa,kwa sasa wamekaza.Mbona miaka ya uko nyuma haijawai tokea wakaenguliwa kama awamu hii ya 5, kulikoni awamu hii wapinzani wote wakosee kujaza fomu?
Kwani hajawahi pata dharura ukatafuta wakili?,huenda ccm walishtukia mapema kuwa mwaka huu kosa dogo litakufanya uenguliwe wakawatumia mawakili.Wanasheria 2,500? Uza ubongo huo unakaa nao kwa hasara. Huyo Bashiru anatembea na ripoti ya wamiliki wa mali za chama na alisema watapelekwa mahakamani, hao wanasheria walikuwa bado masomoni? Hata kama ni wa ccm, sasa hivi kuna tofauti ya ccm na serikali?
Siku ile Rais anawapisha wakurugenzi alisema 'mkurugenzi nakulipa mshahara, nakupa gari, nakupa nyumba na posho alafu ole wako umtangaze mpinzani kashinda'Hilo nalo ni swali fikirishi la kujiuliza,ingawa huenda ujazaji wa zamani mapungufu yalikuwa yanafunikwa,kwa sasa wamekaza.
Hayo ni maneno tu mkuu,uchaguzi unaongozwa kwa sheria na kanuni huru,wewe nenda kapige kura.Siku ile Rais anawapisha wakurugenzi alisema 'mkurugenzi nakulipa mshahara, nakupa gari, nakupa nyumba na posho alafu ole wako umtangaze mpinzani kashinda'
Samson unanishawishi nini mim nijiandikishe na kupoteza muda wngu kwenda kupiga kura wakati mshindi anafahamika?
Kauli ya Raisi ni sheria, Raisi ndio mwajiri mkuu, haujui kauli ya Raisi imemfanya DPP hawasamehe makosa watuhumiwa wa Uhujumu Uchumi endapo wakikubali kutoa mzigo?Hayo ni maneno tu mkuu,uchaguzi unaongozwa kwa sheria na kanuni huru,wewe nenda kapige kura.
Lema mzee wa makavu live liveJaffo hajabaleheView attachment 1256961
Jiwe is a ruthless killer sijui kama ataachia madaraka maana anapenda kutukuzwa kuliko MunguEti jiwe anapendwa sana, sasa kama anapendwa uhuni wote huu ni wa nini?