General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Sasa kama walisusia Ccm si waloendelea na wakapitisha?
kwani CCM walikwamaje tena?
Hawajakwama mkuu,
Bado wanakula Nchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kama walisusia Ccm si waloendelea na wakapitisha?
kwani CCM walikwamaje tena?
Wa ubunge pia watajitoa. Tu beti!!!
😁😁😁😁TLP hii ya Mrema? Acha utani.
Mnalia lia toka 1995....
Watanzania tumewakataa upinzani huu wa kinafiki...
Na wabunge wasusie hivyo hivyo hapo sasa ccm itakuwa imetoka madarakani
Afadhali, INAKUBALIKA KAMA HUJAJIPANGA, UNA-RETREAT KISHA UNA-REGROUP.....
Hapa nimewapongeza chadema. Sasa mjipange vizuri, mkija hovyo 2020 WATANZANIA watawafyekelea mbali kwenye boks la kura.
Hizo ni hisia zako. Yeye ndio rais WAKO na wa Tanzania kwa mujibu wa katiba. Hivyo alishinda uchaguzi. Hutaki acha.Jiwe hawezi ushindani wa box la kura, hata alipokuwa mbunge alikuwa hashindi kwa uchaguzi. Ushahidi ni sasa kwenye uchaguzi huu, kwani wananchi wamewapa hizo kura?
Chadema ni chama cha watu wanaojitambua hamna kingine figisu kawafanyieni misukule.Mmmh, upepo ulionekana kabisa poleni chadema
Napendekeza uchaguzi wa 2020 ufutwe tu JPM aendelee hadi atakapochoka au sisi tutakapochoka
Sioni mtu wa kuvaa viatu vya Mbowe kwenye nafasi ya uenyekiti ndani ya CDM.
Namna pekee ya CDM kuweza kurudisha nguvu ya upinzani kama waliyokuwa nayo awali ni kuungana na ACT wazalendo na kumkabidhi Zitto uenyekiti Mbowe kaishiwa maarifa ya kupambana na changamoto zinazowakabili upinzani.
Unaposusa ujisaidii bali unawasaidia wenzako maana sidhani kama wanifaika wanajali sana nyuma ya pazia kama wanavyosema kwenye media.
Kwenye siasa nchi za wenzetu watu wanaposusia uchaguzi ni kwa sababu wameazimia kuingia kukiwasha mtaani.
CDM Wakifanya ivyo kuingia mtaani hawata pata support ya watanzania ya kutosha na virungu juu ambavyo kama vile watakuwa wanastahili if you ask me.
Kilichobaki kwao ni kupambana kwa namna zingine za kisheria na kutoa pressure, something which their strategist are not good at maana mbinu wanayoijua ni maandamano tu nothing else ambayo kwa sasa ni ngumu kuipata.
Lakini kususa susa kila kitu ni ishara ya kuwa Mbowe na safu yake wameishiwa na aina faida kwa movement yao.
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ametangaza chama chake kutoshiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 24, 2019 kwa madai wakishiriki wanahalalisha ubatili
Maamuzi hayo yanakuja ikiwa ni baada ya Wabunge wa CHADEMA kukutana leo alasiri Novemba 7, 2019 katika Kikao cha Kamati Kuu ya dharura ya chama kilichofanyika mkoani Dodoma
Jana, Mkurugenzi wa Mawasiliano, Itikadi, Uenezi na Mambo ya Nje wa CHADEMA, John Mrema alisema Kamati hiyo itakutana leo kutoa msimamo wao wa mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
----
WAZIRI JAFO AWASHANGAA
Baada ya Chadema kutangaza kutoshiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa, Waziri wa Tamisemi, Seleman Jafo amesema uamuzi huo unawanyima fursa wagombea wa chama hicho waliopitishwa, waliokata rufaa kupinga kuenguliwa.
Pia soma
Uchaguzi S/Mitaa 2019: Wagombea wa Upinzani asilimia kubwa wameenguliwa kugombea, CCM wengi wapitishwa
Huyo anayeandika "Amekizi vigezo" ni mtumishi anayelipwa na serikali?!www.jamiiforums.com
Basi kwa akili za Mbogamboga leo V8 zinachezea kodi zetu usiku kucha kuwatafuta akina MREMA wajifanye kushiriki uchaguzi,na yjle mvaa kofia jekundu kama mumiani,ana njaa sana yule,na hawa ndiyo wasaliti wa demockrasia.
Hakuna jingine zaidi ya kuwa chadema ilikuwa inatafuta sababu za kutafuta mlango wa kutokea unafikiri bila ya kutumia hiyo trick pesa ya kulipia mawakala ungepatikana wapi ilihali chama hakina hata kumi!Hamuwezi siasa za ushindani, na huo upuuzi kupandikiza jiwe ndani vya ccm. Na kwakuwa ccm ilikuwa imechoka kushindana imeona ni sawa huu uhayawani uendelee.