CHADEMA yajiondoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Waziri Jafo awashangaa kususia uchaguzi

CHADEMA yajiondoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Waziri Jafo awashangaa kususia uchaguzi

Tuliwaambia kuwa mnapoteza muda kujiandikisha, tukawaambia hakutakuwa na uchaguzi, mkakataa. CHADEMA mmechelewa sana.

Tunasubiri team wasaliti kama nao watasusia.

Uchaguzi hakuna bali CCM wamejipa uenyeviti kwa njia haramu na za kishetani kabsa
 
Kuna Waziri mmoja anaitwa "JAFO", bila aibu wala kupepesa macho leo anasema eti kususia uchaguzi ni kuwanyima raia haki yao.

Hivi inaingia akilini kweli "CCM" wamejipitisha nchi nzima bila kupingwa, wamewakata wagombea wa upinzani wote, na kama mgombea akipitishwa bila kupingwa maana yake hakutakua na uchaguzi wowote wa mitaa.

Swali kwa Jafo,

Hao wapinzani wanawanyima haki gani raia??? Au ni serikali kwa mabavu ndio wamewanyima haki raia ya kuchagua wagombea wanaowafaa na kuwachagulia viongozi kwa nguvu???

Wasifanye watanzania wapumbavu. Ama kweli tanzania hatuna mawaziri wala serikali. Aibu hii dunia nzima.

#CCM subirini wananchi wenye hasira kali #2020.
Jafo Ni kijana ipo siku atajutia haya anayoyafanya sasa na namuomba Mungu ampe umri mrefu ili ije siku atakayo jutia haya akiwa mzee
 
Hongereni sana kwa usingizi mnono wa pono, mkiamka mtatukuta tunakula bata.
 
Upinzani hatujui kusoma na kuandika na wala giografia ya mitaa yetu hatuifahamu. Mjini ni wabangaizaji hatuna ajira ya kueleweka.

Lakini mnatuogopa
 
Hakuna uchaguzi bali CCM wamejipachika kwa njia haramu na za kishetani huu ni ushauri toka kwa Naibu Rais Daud Bashite kwa mtukufu magufuli
Nyie mlishindwa nini kutumia njia haramu?
 
Upinzani hatujui kusoma na kuandika na wala giografia ya mitaa yetu hatuifahamu. Mjini ni wabangaizaji hatuna ajira ya kueleweka.

Lakini mnatuogopa

Endeleeni kujifariji. Safi sana Hapa Kazi tu
 
Jafo ataingia kwenye historia chafu kuwahi kushuhudiwa Tanganyika. Angejiuzulu mapema au aufute huu uchaguzi tuanze upya kabisa.

Sitaki kumshinikiza ajiuzulu, bali namwombea Mungu amwepushe na zigo lililo mbele yake.
 
ikitokea machafuko lazima afikishwe The Hague
 
Nilikwambia hamuwezi kuchelewesha maendeleo ya Tanzania, tunawavuta sasa kwa kamba.
1573165385705.jpeg

Hamtashinda
 
Aibu ni hapo unapojitambua kua haukubaliki....watu ...wengi wana uelewa the only solution sasa ni kutumia mabavu..
 
Back
Top Bottom