wankuru nyankuru
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 495
- 775
Naenda kuwashitaki chadema wameninyima haki ya kupiga kula
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waache hivyo hivyoDuh.....ila serekali ikubali imeteleza
Wanatuharibia nchi hawajui watatumbukia wao na sisi nawashangaa maaskofu wakatoliki kukaa kimyaWaache hivyo hivyo
Siyo kawaida fomu asilimia kubwa kukosewa,tena zilizokosewa ni za upinzani CCM hawakosei eti...Kosa kubwa mtakuwa mnajitoa mpaka lini fuateni utaratibu kama mlikosea form kubalini lakini jiandaeni mwaka mwingine.
uzushi utakusaidia nini ? ushahidi unaonyesha kwamba 30% ya wagombea wa ccm hawajui kusoma wala kuandika , nani aliwajazia fomu ?Msipowatambua inamaana mtaishije huko makwenu?..
Ila mlikuwa kimya hadi nimesoma hamkusaidiana kujaza fomu vizuri.. kama kawaida munasubiri.. ndio munakurupuka..
Fisiemu wanakuja, bila aibu.
Mihuri ipo hata leo hii hata kabla ya uchaguzi kufanyika , mihuri ni mali ya umma , kutumia mhuri haimaanishi kumtambua Shetani .inawezekana vipi usimtambue mtu unayehitaji muhuli wake kila mara?
Nani atakusikia bank kwamba humtambui mwenyekiti wako?
Hela ya uchaguzi wanakosa, kupiga hela hakuna tena, anakula jiwe na mwanawe.Kinachonishangaza ni kuwa ccm wamesikitika uamuzi wa Chadema kujitoa,,, ina maana ccm hamfurahii ushindi huu wa kishindo mmeoupata?
Haya maamuzi sahihi ila yamechelewa sana,sijui hata mlipopanga kushiriki mlikuwa mnafikiria nini.
Huwezi kufanya siasa na mtu asiyetayari kushindwa.
Sasa Kazi ndio imeanza rasmi
Mihuri ipo hata leo hii hata kabla ya uchaguzi kufanyika , mihuri ni mali ya umma , kutumia mhuri haimaanishi kumtambua Shetani .
Nadhani hii ni sehemu nzuri sana ya kuanzia harakati za ukombozi.inawezekana vipi usimtambue mtu unayehitaji muhuli wake kila mara?
Nani atakusikia bank kwamba humtambui mwenyekiti wako?
Eeenh, Erythro, kweli mmeshikwa babaya safari hii kiasi kwamba nguvu zinaisha.Mihuri ipo hata leo hii hata kabla ya uchaguzi kufanyika , mihuri ni mali ya umma , kutumia mhuri haimaanishi kumtambua Shetani .