Pre GE2025 CHADEMA yatangaza Maandamano Kupinga Miswada ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa Bungeni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ni haki yao kikatiba.
Kama wewe hutaki kuandamana tuliza kijambio chako maisha yaendelee.
 
nipo hapa hapa jukwaani, mark my words....

hayo maandamano ya Jan.24 yataahirishwa kwasabb ya mvua 🐒
 
Ujinga tu, mhaga anatafuta pesa za wadhamini.

Mataifa ya nje lazima yatie fitna, ili yaendelee kututawala kiuchumi kama hatujajichunga.
 
Wewe Shoga endelea kulamba nywere chafu zq mabwana zako
 
Hakuna maandamo, Mbowe haaminiki tena
 

Mbona povu
 
akili timamu ni nini wewe chawa? mwache mh mbowe afanye kazi yake, yaani unajitokeza kutoka huko kwenye kambi ya chawa wenzio, we mwashambwa ni nani kwanza kwenye nchi hii baba ako na wewe mmelifanyia nini taifa hili yaani mtanzania kushiriki haki ya kikatiba ni kutokua na akili timamu, lakini kushangilia bandari na mbuga zikiuzwa, umeme kukatika kama mkojo wa sungura ndio kua na akili timamu? funza mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…