Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
wewe jamaa ndo ulipewa kusimamia bendi ya muziki ya CCM?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanafuta mkumbo tu kwani kawakosea niniHii video ina trend sana huko kwenye magrupu ya FB, WhatsApp, Instagram nk....
Sina hakika kama hawa kinamama ni wa CHADEMA, ACT Wzalendo, wa CCM au ni "KINAMAMA TU" in general...
View attachment 1815518
Wanafuta mkumbo tu kwani kawakosea niniHii video ina trend sana huko kwenye magrupu ya FB, WhatsApp, Instagram nk....
Sina hakika kama hawa kinamama ni wa CHADEMA, ACT Wzalendo, wa CCM au ni "KINAMAMA TU" in general...
View attachment 1815518
Majambazi mmejitahidi kumtetea jambazi mwenzenu afu mama akawapandishia tinted, akawajibu jambazi hili lazima liende jela, jambazi kuu limeshakufaChakushangaza hata hao nyumbu hawafaidi chochote zaidi wanaendelea kupata taabu tu kama mwanzo!
Hata Mimi ningeshangaa Kama ingekuwa Mwanza...Uongo hao ni wanachadema wa Mbeya walishangilia alipohamishwa. Mwanza hatuna ujinga huo!
Jiulize, tumefikaje hapa?...Kama Taifa tumefika sehemu mbaya, tunashangilia vifo, watu kutumbuliwa, wakipata magonjwa, matatizo.
Utu, ubinadamu,ujirani, kusameheana vimepotea kwenye jamii. Kilichobaki ni chuki, wivu, kuombea wengine matatizo, matusi, dhihaka, kejeli, kutafuta umaarufu mitandaoni kwa gharama yoyote ile.
Mitandao tungeweza kuitumia vizuri, kukosoa kwa staha (constructive criticism) networking, business deal, advertising our product, kuwakutanishi wateja na wauzaji, kushirikiana.
Hao hawazidi 10 ndiyo wengi? Ndiyo maana wakati wa uchaguzi huwa mnasema mmeibiwa kura kwa akili hizi za kinyumbu!Kama ni CHADEMA, duuh basi ni wengi hatari sana hawa. CCM Hanna chenu huko!
Mtaendelea kushangilia kinyumbu tu 2025 tena mnapigwa chini kwa kuwa hamjitambui.Majambazi mmejitahidi kumtetea jambazi mwenzenu afu mama akawapandishia tinted, akawajibu jambazi hili lazima liende jela, jambazi kuu limeshakufa
Kumbee! Ndio mana ana mishavu kama paka la baa!! 😂Alikuwa anahamasisha kunywa pombe ..... hafai kabisa ... 🤷♂️
Hutaki tunywe pombe? Kodi mtapata wapi.Alikuwa anahamasisha kunywa pombe ..... hafai kabisa ... 🤷♂️
Wana stress za maisha si bure. Sijuhi aliwakosea nini hao akina mama mpaka washangilie hivyo.Mtanzania ni mtu wa ajabu sana, akipita sehemu akakuta watu wanaomboleza naye anaanza kuomboleza bila kujua nani kafariki, akikuta watu wanashangilia naye anashangilia hata kama hajui kwanini wenzie wanashangilia.
Sasa najiuliza hao kinamama wanashangilia nini ilihali hata Chalamila hana mwezi mmoja ofisini.
Pombe jumatatu, apo hamna kitu ni uzembe kazini.Hutaki tunywe pombe? Kodi mtapata wapi.