Chalamila: Akija Rais Samia mje na mabango hata ya matusi. Wananchi Washangilia kufukuzwa kwake

Chalamila: Akija Rais Samia mje na mabango hata ya matusi. Wananchi Washangilia kufukuzwa kwake

Hii video ina trend sana huko kwenye magrupu ya FB, WhatsApp, Instagram nk....

Sina hakika kama hawa kinamama ni wa CHADEMA, ACT Wzalendo, wa CCM au ni "KINAMAMA TU" in general...

View attachment 1815518
Wanafuta mkumbo tu kwani kawakosea nini

Kumbe upo, zamani ilikuwa na akili Sana. Humu jukwaani tulikutegemea. Lakini kwa sasa huko ccm unaendeleaje?
 
Chakushangaza hata hao nyumbu hawafaidi chochote zaidi wanaendelea kupata taabu tu kama mwanzo!
Majambazi mmejitahidi kumtetea jambazi mwenzenu afu mama akawapandishia tinted, akawajibu jambazi hili lazima liende jela, jambazi kuu limeshakufa
 
Mtanzania ni mtu wa ajabu sana, akipita sehemu akakuta watu wanaomboleza naye anaanza kuomboleza bila kujua nani kafariki, akikuta watu wanashangilia naye anashangilia hata kama hajui kwanini wenzie wanashangilia.
Sasa najiuliza hao kinamama wanashangilia nini ilihali hata Chalamila hana mwezi mmoja ofisini.
 
Waheshimuni sana akina mama ,kwann uwatenge kimatabaka ,hao ni akinamama
 
Kila.la.kheri
Starehe ya cheo kupishana
Ukikipata kuheshimiana
Kupendana Siri ya maulana
Uende kwa Amani ya maulana
HUKO uhendaiooooooo
 
Alikuwa anahamasisha kunywa pombe ..... hafai kabisa ... 🤷‍♂️
 
Kama Taifa tumefika sehemu mbaya, tunashangilia vifo, watu kutumbuliwa, wakipata magonjwa, matatizo.

Utu, ubinadamu,ujirani, kusameheana vimepotea kwenye jamii. Kilichobaki ni chuki, wivu, kuombea wengine matatizo, matusi, dhihaka, kejeli, kutafuta umaarufu mitandaoni kwa gharama yoyote ile.

Mitandao tungeweza kuitumia vizuri, kukosoa kwa staha (constructive criticism) networking, business deal, advertising our product, kuwakutanishi wateja na wauzaji, kushirikiana.
Jiulize, tumefikaje hapa?...
Ukipata jibu, usilaumu watanzania.
 
Ebu ngoja kwanza....

IMG-20210611-WA0008.jpg
 
Majambazi mmejitahidi kumtetea jambazi mwenzenu afu mama akawapandishia tinted, akawajibu jambazi hili lazima liende jela, jambazi kuu limeshakufa
Mtaendelea kushangilia kinyumbu tu 2025 tena mnapigwa chini kwa kuwa hamjitambui.
 
Mtanzania ni mtu wa ajabu sana, akipita sehemu akakuta watu wanaomboleza naye anaanza kuomboleza bila kujua nani kafariki, akikuta watu wanashangilia naye anashangilia hata kama hajui kwanini wenzie wanashangilia.
Sasa najiuliza hao kinamama wanashangilia nini ilihali hata Chalamila hana mwezi mmoja ofisini.
Wana stress za maisha si bure. Sijuhi aliwakosea nini hao akina mama mpaka washangilie hivyo.
 
Back
Top Bottom