Changamoto ya kutuma Maombi ya Ajira Jeshi la Polisi

namba ya NIDA ni sahihi lakini tunakutana na Error hii
 
Wajumbe Mbona Inaleta hii Error..
Ninamuaplia Mtu Tangu Asubuhi napata huu Ujumbe..
 
Wakuu seemu ya kuattach barua ya maombi ni wapi kwa tunao ombea form four

Pia ukienda kwenye sehemu ya CV imeandika kuwa wanaopaswa kuambatanisha Cv ni kwa degree na fani
Form 4 and 6 are exempted...

Je ni sawa usipoweka CV kwa form 4?
 
find job
select form 4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…