Huu ndio ujinga ninaouzungumzia, kama huu utakaoifanya serikali itenge muda na rasilimali kujibu hoja za watu waliobeba vichwa kama mifuko ya kuhifadhia meno badala ya kufikiri.
Jibu swali rahisi tu Ni kwa nini mpaka ujaze Consent Form ndio uchomwe hiyo chanjo?

Yaani kuchomwa chanjo mpaka ujicomit mwenyewe kuwa nachoma hii chanjo lakini kitakachotokea asilaumiwe mtu yeyote hii unaielezeaje
 
Nilipoona unawashambulia wapinga chanjo nikaona ww ni mjinga kabisa......
umeshindwa kuacha mjadala ufloo wenyewe bila ........
kuchagua upande!!!?
 
Inasikitisha lakini ndio uhalisia tulio nao. Ujinga umetamalaki, tumeruhusu wajinga kuchukua nafasi za juu za maamuzi nchini na wameambukiza jamii kubwa.
Mwalimu alipoanza kutawala alifanya declaration kuwa ujinga ulikuwa ni moja ya maaduni wa nchi. Kadri muda ulivyoendelea na idadi ya wajinga ikashindwa kupungua ndio wakatokea 'wajanja' miongoni mwa wajinga na kugundua kuwa ili kuendelea kukaa madarakani 'irresponsibly' ni pana haja ya kundeleza ujinga.
Sasa huu mihani wa covid-19 inaelekea ni mmoja wapo kuonyesha athari kubwa za kuukumbatia ujinga. Kibaya zaidi hata walioelimika katikati ya ujinga wameshindwa kabisa kujipambanua na kuonyesha ustadi wao wa kielimu hivyo kupelekea kushindwa kumtofautisha mwenye PhD na darasa la nne. Japo nina mashaka na chanjo lakini mkuu[U] [/U]Yoda ana hoja.
 
Mkuu ulichojifunza darasani ni matusi tu! Naomba nikufundishe.....
Hizo chanjo zingine ulizozitaja hutengenezwa hivi: Virusi wa ugonjwa huchukuliwa na "kupunguzwa" makali yao na hao virusi waliopunguzwa makali uwekwa mwilini mwako kama chanjo, na kwakuwa wamepunguzwa nguvu mwili hupambana nao kirahisi na kujitengenezaea kinga dhidi ya ugonjwa husika! Kwa covid mambo na mbinu ni tofauti....chanjo zile zinaingilia chembe za uhai wa mwili wako yaani mRNA....na kuziamrisha zitengeneze kinga ambayo hadi sasa hawajuhi itadumu muda gani na je chembe chembe za uhai za mwili wako ambazo zimegeuzwa na kuanza kuzalisha kinga zitakomea hapo kwenye covid au zitazalisha kitu kingine,

Hizo chanjo za zamani ukipata chanjo hakuna tena kupata ugonjwa huo (ikitokea ni nadra na inabidi aliyepata ugonjwa baada ya kupata chanjo sampuli ipelekwe kuona ni nini kilienda vibaya) ila kwa covidi tunaambiwa hata kama una chanjo vaa barakoa maana utaambukizwa covid tu japo eti dalili zako za ugonjwa zitakuwa ndogo, hahahahah!

Na mwisho ila sio kwa umuhimu, muda wa kutenegeneza hizi chanjo umekuwa mfupi mnno kiasi cha watu kujiuliza kama majaribio kwa watu yamefanyika au wamepakua tu haraka na ndio maana hata zile mamlaka ambazo hutoa ithibati kuwa sasa chanjo ni salama na inaruhusiwa kutumika bado hawajatoa vibari (vibari vinavyotumika ni vya dharula tu)kwahiyo kila anayechoma anaweka sahihi ya dole gumba kuwa nimekubali kuchomwa chanjo hii bira shuruti na madhara nitakayopata ni mimi mwenyewe na ukoo wangu hivyo hatutaishitaki serikari au mtenegenezaji...ndiyo!

Akili ya Kawaida(common sense): Hivi kwanini anayehoji kuhusu hizi chanjo anakuwa adui wa Ulimwengu? Trump, JPM(R.I.P), facebook, Gwajima na juzi chombo kikubwa cha habari duniani eti kinaandika hivi: kinara wa kupinga chanjo za covidi afa kwa covid-19....sasa mlitaka afe kwa ugonjwa gani, tutaaminije kama hamjamuua!
 
Na kwa kuongezea wanasikia uchungu wao akichanjwa mwingine.[emoji1787][emoji1787] nchi imerogwa hii [emoji2223][emoji2223][emoji2223]
 
Wewe kilaza chanjo ya tetenus/pepopunda watu wanachanjwa mara nyingi tu.
 
wewe ndio mjinga namba moja tutolee sumu zenu zinazoeneza ushoga
 
Habari. Humu ndani nimeona walio na mashaka njuu ya chanjo ya Corona ni wengi kuliko wenye imani nayo. Wale wanaosema mimi sichanjwi ni wengi sana. Naomba kujua kwanini watu wanasema hawatachanjwa?
 
Ni kweli na hili linaonesha kwamba kinachoitwa elimu kwa Tzn hakina maana na hakimsaidii anaejiita msomi yaani asiyesoma na anaejiita msomi wote wako kundi moja.

Pili kitu kingine ni watu walioshika dini za wazungu hata hawaelewi chochote na wamemeza na kuendeshwa na ujinga huo kwa kupofushwa akili za kufikiria.

Nchi ya hivi kamwe haiwezi kuvumbua chochote wala kusonga mbele,na imani iliyoko ni kwamba ugonjwa haupo si unajua wengi hawajaguswa bado .
 
Kwa sababu ni chapa ya mpinga kristu ile 666 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe kilaza chanjo ya tetenus/pepopunda watu wanachanjwa mara nyingi tu.
ndio huchomwa mara 5 na sio mara nyingi kama unasema kwa mtiririko ufuatao: TT1.....haijengi kinga, TT2 baada ya mwezi mmoja kuboost kinga ya TT1 na kukupa kinga kwa mwezi mmoja, TT3 huchomwa baada ya miezi 3,,,nk nk hadi TT5, haya sasa wewe mwenye akili J&J inakupa kinga ipi maana hata baada ya kuchomwa utaendelea kuvaa barakoa!
 
Nasikia kabla ya kuchanja unapewa karatasi usaini....kwamba lolote baya likitokea serikali haitahusika.....
Sasa hilo tu litamfanya hata mjinga kutaka kutafakari.
 
The only way to know if the vaccine works is by testing na sio theories. lets say they tested the vaccines for the past 12 months, but what about for the next 1,2,3,4,10 years?

Every drug and vaccine we take has negative effects, but we use them because they have been experimented and the negatives of not using them are significant compared to the negatives of using. We can't literally say the same with covid vaccines, can we?

Ukiamua kuchanja maana yake unaona madhara ya COVID ni makubwa kuliko athari zisizofahamika au zinazofahamika baada ya kuchanjwa.

They say "Desperate Times Call for Desperate Measures". These vaccines represent a desperate measure created by desperate people, and we on the other hand are still not that desperate.

Sipingi chanjo ila nasema watanzania tulikua na muda wa kutosha kujihakikishia usalama wa chanjo.
 
Always, Don't Argue with Stupid people. They will drag you to their level and Beat you with experience.

That's My principle always.
 
Ukiamua kuchanja maana yake unaona madhara ya COVID ni makubwa kuliko athari zisizofahamika au zinazofahamika baada ya kuchanjwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…