kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,846
- 20,319
[emoji1787]hahahaa CCM walivyoikimbilia sasa! Kuna kada mmoja humu kaomba wajengewe na kiwanda kabisa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787]hahahaa CCM walivyoikimbilia sasa! Kuna kada mmoja humu kaomba wajengewe na kiwanda kabisa!
punguza ungeseNdio maana chadema wanatazitaka sana chanjo, nimeanza kuelewa.
Sasa hivi utasiki Aunt Lissu, Aunt Lema, Aunt Msigwa, Aunt Heche , Aunt mdude, Aunt gaidi
Chadema tumewastukia
Wanaanzia Lumumba pale,nasubiri udungwe nawewe nije nijipakulie kiulainiVp na ww umeshadungwa?
Usione aibu ww binuka tu udungweWanaanzia Lumumba pale,nasubiri udungwe nawewe nije nijipakulie kiulaini
Poor you,ujinga ni kujiona mjanja mbele ya hao unaodhania ni wajinga kwa kuonyesha hisia zao kuhusu wazo ambalo hata wewe si ajabu hujalijua vizuri.
I'm not sorry[emoji57]
Mwandishi hajaeleweka anatupasha habari gani MPYA.
Kikubwa hoja hujibiwa kwa hoja hapo ndipo serikali imekwana.
Mtatukana sana,lakini uchu wenu wa pesa ndo unatufanya tujilinde wenyewe na si kuwategemea wasomi uchwara.Wapinga chanjo(anti vaxxers) wana hoja na maswali mengi yanayodhihirisha ujinga, upumbavu na uduni wa fikra katika idadi kubwa ya raia nchini(majority).
Safitatukana sana,lakini uchu wenu wa pesa ndo unatufanya tujilinde wenyewe na si kuwategemea wasomi uchwara.
Kwanini nasema hivyo, Kama una kumbukumbu, kulitokea kashfa ya mccm mmoja kuuza dawa feki za kupunguza makali ya ukimwi...
Huna hoja umejazwa upepoHuu ndio ujinga ninaouzungumzia, kama huu utakaoifanya serikali itenge muda na rasilimali kujibu hoja za watu waliobeba vichwa kama mifuko ya kuhifadhia meno badala ya kufikiri.
Serikali ni vizuri kuruhusu matumizi ya chanjo yawepo nchini na uzuri wenyewe ni hiyari ikiwa mtu atataka kuchanja. Kwa kuwa ugonjwa ungali upo basi tuchukuwe tahadhari, huu si wakati wa kulumbana katika jambo hili kwani tuna mambo mengi ya msingi yanahitaji kuyatafakari.Tangu Serikali iruhusu chanjo ya Corona kuingizwa nchini mjadala mkali umezuka kati ya wapinga chanjo hiyo na wale wanaoikubali, hali hii ni tofauti kabisa na mataifa mengine kama majirani zetu Kenya ua Rwanda. Mpaka sasa wapinga chanjo(anti vaxxers) wakiongozwa na jemedari wao Askofu Gwajima wanaongoza katika mtanange huu na hakuna anayeleweka kwa wakubali chanjo kuanzia January, Kigwangalla mpaka Mbowe n.k...
Serikali ni vizuri kuruhusu matumizi ya chanjo yawepo nchini na uzuri wenyewe ni hiyari ikiwa mtu atataka kuchanja. Kwa kuwa ugonjwa ungali upo basi tuchukuwe tahadhari, huu si wakati wa kulumbana katika jambo hili kwani tuna mambo mengi ya msingi yanahitaji kuyatafakari. Hakika hakuna mwenye kujua uhalisia wa ugonjwa huu, si wenye kuikubali chanjo au wenye kuipinga chanjo, hivyo basi tubaki na misimamo yetu kwenye akili zetu. Ukiona chanjo itakusaidia basi chanjwa na ukiona chanjo haina mpango basi ikaushiye.
Mjinga namba moja ni wewe mtoa mada ngoja nikuulize unajua maana ya chanjo? Na kama unajua maana ya chanjo je unajua chanjo ya corona inayoletwa inauwezo gani?Tangu Serikali iruhusu chanjo ya Corona kuingizwa nchini mjadala mkali umezuka kati ya wapinga chanjo hiyo na wale wanaoikubali, hali hii ni tofauti kabisa na mataifa mengine kama majirani zetu Kenya ua Rwanda...