Hoja ni kwamba, usalama na effectiveness yake imethibitishwa na Watalaamu! Gwajima yeye ana utaalamu wowote?! Ana timu ya wataalamu waliomwelekeza huo msimamo wake?
I doubt kama una cha kunifafanulia hapa...
Hivi huoni aibu?!
NIna uhakika umeelewa kilichomaanishwa hapo juu ni nini hasa, lakini bila aibu unataka kujaribu kupotosha...
Yaani una-highlight "
vaccine-derived version of the poliovirus " lakini kwa makusudi unaacha neno RARE!!!!
Kila anayetumia akili yake sawasawa anafahamu majority if not all of the medical solutions zinaacha side effects!!
Na kama kweli hujui ulichoandika mwenyewe, wanachosema WHO ni uwezekano wa kupata a rare vaccines derived version of the poliovirus baada ya kuwa umepata chanjo....
Lakini kama ilivyo side effects zingine, such rare derived version of poliovirus zinatokea kwenye maeneo yenye watu wenye kinga dhaifu!!!
Na kama ungetumia dakika moja tu ya ziada kufahamu hiyo Vaccine-Derived Polio Virus ni nini hasa; ungekutana na haya maelezo kutoka
CDC.
Kisha wanaendelea...
Kumbe basi, hiyo polio yenyewe unayoisema ina uwezekano mkubnwa wa kutokea kwenye jamii zenye watu aina yenu!! Watu wanaojaribu kupingana na science bila kutumia sayansi!
Now tell me: Kama wewe ndie mwenye mamlaka kwenye nchi, unaweza kuzuia chanjo ya polio kwa sababu inasababisha "A
rare vaccine-derived version of the poliovirus"?
Hayo maelezo yako hayana mashiko kutokana na ushahidi niliokuwekea hapo juu!!
Hicho kitabu sijakisoma... Je, unaweza kuweka scientific evidence iliyotajwa kwenye hicho kitabu na ku-conclude kwamba HIV imesababishwa na Chanjo ya Polio?
Hata hivyo, nimesoma review ya hicho kitabu kupitia
US Library of Medicine, na wanapozungumzia polio wanasema:-
Kwanza, kumbe ni hypothesis, na sio findings! Sitaki kuamini kwamba hujui what's hypothesis!
Na hypothesis yenyewe ni kwamba, so long as polio vaccines ilitumia cultures of monkey kidney cells, basi
inawezekana figo za nyani zilipata maambukizi! Na kwavile inawezekana figo zilipata maambukizi ya SIV, na kwavile inafahamika HIV imetokea kwa nyani, basi
inawezekana hao nyani walikuwa na hayo maambukizi yaliyosababisha HIV kutokana na chanjo ya polio!
Narudia... hiyo ni HYPOTHESIS!!!
Hypothesis must be concluded with scientific or research findings! Kwa wasiofahamu what's hypothesis in research ni kwamba!
The question is: Is the hypothesis supported with scientific findings?! Intro inaendelea...
Kumbe, hiyo idea, iliyozua hypothesis imetupwa kapuni na WANASAYANSI! Imetupwa kapuni kwa sababu haina scientific evidence, lakini wewe unataka kuileta hapa as scientific argument!!!
Hiyo review hapo juu imeandikwa na Professor Sebastian Lucas, Department of Histopathology! Vipi kuhusu Edward Hoper alieandika hicho kitabu unachojaribu kutolea conclusion?
Kumbe ni Mwandishi wa Habari!!!!
Maelezo yako hayana maana yoyote kwa sababu unajadili sayansi kwa kutumia arugments ambazo hazina scientific evidence!!
Ndo tatizo lenu hili...
Kama hadi hapo bado hujajua ni yupi kati yetu mwenye uzembe wa akili, then I must sincerly say "Una safari ndefu sana"!!