Uchaguzi 2020 'Charisma' ya Tundu Lissu itazidi kumpa shida sana Magufuli na CCM kwa ujumla

Nacomment kwenye uzi huu baada ya kumuangalia Lissu kwenye kipindi cha dk 45 leo ITV. Honestly nakubaliana na wewe asilimia 100. Lissu sio mtu wa kawaida Aisee!! Huyu mtu ni hatare!
 
Tundu Lissu, mwepesi mno kwa Magufuli. Charisma alikuwa nayo lowasa.
 
Sihitaji kitu toka kwa mtu. Sina njaa.
 
Ingekuwa tunaamini sana hicho unachokiita siri, Africa ingekuwa bado inatawaliwa na wazungu.

Kilichotufanya Africa ikapata uhuru ni uhodari wa viongozi wazuri wenye Charisma kama kina Nyerere.

Kwahiyo sielewi kwanini una downplay nguvu ya Charisma.
Fuatilia vizuri kuhusu ukoloni na sababu ni kwanini ulilazimika kufa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…