Chato: Yaliyojiri katika Maadhimisho ya mwaka 1 wa kifo cha Hayati Magufuli. Kasala, tusimamie ukweli na haki. Samia kuendeleza Mema

Alichonifanyiaga magu Kama kungekua na mahakama za kushtaki maiti ningekua wa kwanza kwenda kumshtaki...

N.b Sikukatazi kumpenda magu kwenye utawala wake Kuna walionufaika na Kuna walioumizwa Sana Kama ulinufaika endelea kumpenda kwa sisi aliotuumiza tuache tuendelee kumchukia...IMEISHA IYO
 
Kuhusu tundu lisu yupo hai mpaka sasa na alisema atawataja walio fanya hivyo.

Why mpaka leo hajawataja? Itakuwa anawafahamu bila shaka
 
Hakuna alichobuni Magufuli, Rais anatekeleza ilani ya chama, na ndicho anachofanya Samia, kutekeleza Ilani.
 
Nikojoe nilale ndiyo marehemu atasamehewa dhambi zake?Jieleze ueleweke.Hapana kukurupuka.Ngazi kwa ngazi JF!
Yule kwa imani yake na yangu yuko mbinguni alipakwa mafuta ya charisma na Kardinal pengo
na kutubu dhambi zake.
Huu msamaha ni kwa watu wanaoteseka na chuki yao moyoni kwa Magufuli mpendwa.
Mbona una akili kisoda wewe.
 
Umeshindwa kujenga hoja za kumtetea na kumuombea msamaha marehemu,ume-panic!Hii ni JF,usije kiboyaboya kama juisi ya bamia ukajua utakubaliwa kitu utakacho.Jifunze kujenga hoja.
Angalia nyuzi zangu kijana sina content za kiboya btn
akili yako ndio ya kiboya unanuka mkojo mtoto wa juzi.
 
Yule kwa imani yake na yangu yuko mbinguni alipakwa mafuta ya charisma na Kardinal pengo
na kutubu dhambi zake.
Huu msamaha ni kwa watu wanaoteseka na chuki yao moyoni kwa Magufuli mpendwa.
Mbona una akili kisoda wewe.
Kwa hiyo wote tufanye ujinga ili tusubiri kupakwa mafuta ya charisma na wafuasi watuombee msamaha magengeni?Hallo,upo sawa weye!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…