Uchaguzi 2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kutembelea uwanja wa ndege Chato ni kichekesho. CHADEMA bana, hata hawajielewi.
Watanzania wote wana haki ya kutembelea rasilimali na vitegauchumi vya nchi bila kujali itikadi zao za kisiasa, huo uwanja ni matokeo ya kodi za wananchi akiwemo Lissu
 
Machadema yanatembelea nyota za wajinga wachache wasiojitambua, mwisho tr 28 tu huu ujinga huu, uwanja si ndio unaowatukania watu wa chato kila siku!
Ukishakuwa mpinzani siku zote INA maana umejitambua hutaki tena kupelekwa.hebu Nipe mfano mmoja Wa maana ccm mwenye akili hata mmoja.kuanzia mwenyekiti mpaka mwanachama wa mwisho kama ukinitajia mmoja mi nahama.
 
Hata Mimi nimeshangaa Kuna sehemu hajawahi fika kabisa why asiende huko jamani.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Lissu hajaenda mikoa mitano bara na Pemba pekee
Lindi
Ruvuma
Manyara
Tanga
Simiyu

Kati ya hiyo haina pressure kama mingine mfano tanga na simiyu Ni Ccm hawasikiagi kabisa
Manyara ni ngome ya CDM hivyo hana was I was I
Lindi na Ruvuma ni ngome ya ACT ambapo Ado shaibu na Salum mwalimu walishapaweka sawa
Ukumbuke ratiba ilivurugwa kwa siku saba.
 
Ukishakuwa mpinzani siku zote INA maana umejitambua hutaki tena kupelekwa.hebu Nipe mfano mmoja Wa maana ccm mwenye akili hata mmoja.kuanzia mwenyekiti mpaka mwanachama wa mwisho kama ukinitajia mmoja mi nahama.
Akijibu ni tag
 
Mwenyezi Mungu ambariki sana Mheshimiwa Lissu
 
Aukague na uwanja aone kama unaendana na gharama za ujenzi
 
Chadema acheni porojo,njooni na sera zenu,mambo ya kusema wengine sio tija,nyie tuelezeni mtatufanyia nini watanzania?maana leo anaenda kutembelea kiwanja you are wasting your time ya kampeni,juzi ulikuwa kifungoni why wasting time??????
 
Lissu ametumwa na mabeberu kuukagua uwanja wa Chato

Sent using Jamii Forums mobile app
Unamfananishaje Mh.Lissu na kutumwa?Nani mwenye uwezo huo hapa duniani?Yaani umtume Mwalimu wa Sheria eti kwa kivuli cha ubeberu!

CCM mnamfahamu Mh.Lissu na Utetezi dhidi ya wanao/walioonewa na kunyanyaswa kwa maisha yake yote,siyo kama hawa wasanii.
 
Machadema yanatembelea nyota za wajinga wachache wasiojitambua, mwisho tr 28 tu huu ujinga huu, uwanja si ndio unaowatukania watu wa chato kila siku!
Kuwa mwanachadema lazima kuna nati moja kichwani iwe haipo
 
Haya poleni, ndo umeshajengwa na hamna lolote mnaweza fanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…