Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ohooooo !!!Na labda kukuibia Siri ili ukasirike zaidi Lissu atafungia kampeni Kanda ya Ziwa kwa siku 3 za mwisho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ohooooo !!!Na labda kukuibia Siri ili ukasirike zaidi Lissu atafungia kampeni Kanda ya Ziwa kwa siku 3 za mwisho
Hapo kwenye kurusha mawe King Msukuma hakosi, yeye na Ole Sabaya akili ni ileile!Tunajua mmeandaa vikosi Haramu vya kupiga watu na kurushia mawe msafara wa mgombea.Kwanini muandae vikundi Haramu? Mbona siasa imewashinda? Si mtoe Hoja kutetea huo Uwanja wenu na faida anayopata mwanaChato?
Watanzania wote wana haki ya kutembelea rasilimali na vitegauchumi vya nchi bila kujali itikadi zao za kisiasa, huo uwanja ni matokeo ya kodi za wananchi akiwemo Lissu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kutembelea uwanja wa ndege Chato ni kichekesho. CHADEMA bana, hata hawajielewi.
Ukishakuwa mpinzani siku zote INA maana umejitambua hutaki tena kupelekwa.hebu Nipe mfano mmoja Wa maana ccm mwenye akili hata mmoja.kuanzia mwenyekiti mpaka mwanachama wa mwisho kama ukinitajia mmoja mi nahama.Machadema yanatembelea nyota za wajinga wachache wasiojitambua, mwisho tr 28 tu huu ujinga huu, uwanja si ndio unaowatukania watu wa chato kila siku!
Kwani akienda huko unapoteza nini mkuu muache aende as long it does not hurt you in either wayHii hesabu feki. Tanzania ni kubwa sana, hakukuwa na sababu ya Lissu kurudi kanda ya ziwa mara ya tatu. Anapoteza muda wake na resources, wasukuma hawezi kuacha kumpa kura mtu wao.
Forget about tribe stick on the point.We ni mjita bwana hatunaga msukuma kama weewe hatukutambui
Lissu hajaenda mikoa mitano bara na Pemba pekeeHata Mimi nimeshangaa Kuna sehemu hajawahi fika kabisa why asiende huko jamani.
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Akijibu ni tagUkishakuwa mpinzani siku zote INA maana umejitambua hutaki tena kupelekwa.hebu Nipe mfano mmoja Wa maana ccm mwenye akili hata mmoja.kuanzia mwenyekiti mpaka mwanachama wa mwisho kama ukinitajia mmoja mi nahama.
Mwenyezi Mungu ambariki sana Mheshimiwa LissuMgombea wa Urais anayetarajiwa kupata ushindi mkubwa Tundu Lissu leo ataitetemesha Chato na viunga vyake katika kampeni zake zilizoivuta Dunia.
Taarifa kutoka ndani ya Team yake ya Kampeni kabla ya kuhutubia mkutano wa Hadhara atautembelea Uwanja wa ndege wa Chato uliozua gumzo nchini kote kutokana na Ujenzi wake.
Tundu Lissu amepata uungwaji mkono mkubwa kutoka Makundi yote ya Jamii hususan Wafanyakazi ambao wanalaani kupitishwa kwa sheria Haramu ya kupora Mafao yao. CCM na serikali yake walipitisha sheria ya kuzuia Mafao ya Wafanyakazi hata Kama ameacha kazi akiwa na miaka 30 haruhusiwi kupewa haki yake ya mafao mpaka afikishe miaka 60.Sheria hii Haramu imelaaniwa na kila mfanyakazi na Tundu Lissu ameapa kuifutilia mbali Mara tu baada ya kuapishwa.
Ingawa Chato ni nyumbani kwa mgombea Urais wa CCM Lakini kwa muda mrefu CHADEMA imekuwa na uungwaji mkono mkubwa na inao wafuasi wa kutosha.Mmoja wa makamanda mashuhuri wanaotokea Chato ni mwanamama Husna Amri ambaye anajulikana nchi nzima kwa ujasiri wake.
Tunatarajia kuwaletea kila kitakachojiri katika mapokezi na Mkutano wa Kampeni hapa Chato.
Huu uzi mbona unatembea hivi leo?
Aukague na uwanja aone kama unaendana na gharama za ujenziNahisi watamzuia kutembelea huo uwanja.Na kwakuwa huko ni nyumbani kwa mgombea yule,nina wasiwasi pia anaweza fanyiwa hujuma katika kampeni zake huko lengo kuhakikisha hapati watu au ashindwe kuhutubia.
Ni imani yangu Lissu haendi kufurahia uwanja,bali anaenda kufanya tathimini physically ya huo uwanja kwa kuingilia kilichojengwa (kupata picha ya kilichojengwa) na ulazima wake pamoja na umuhimu wa kujenga uwanja katika eneo hilo.
Ushauri:Tundu Lissu vaa helmet muda wote ukiwa huko Chato na kuwaambia wananchi kila mtu awe mlinzi kwa kumtupia macho alie jirani yake katika mikutano na misafari atayofanya huko Chato.
Lolote linaweza kutokea leo hii, hivyo ni bora kuchukua tahadhari zote zinazowezekana kuchukuliwa.
49B duuuh uyu jamaa fisadi hatari tangu nchi ipate Uhuru.Aukague na uwanja aone kama unaendana na gharama za ujenzi
Hata miye aiseeuwanja wa ndege wa chato unalindwa na kufichwa kama uke vile wa mke wa mfalume. angalau zaira ya lissu itapelekea tuoache picha za huo uwanja maana sujawahi kuuona.
Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
Chadema acheni porojo,njooni na sera zenu,mambo ya kusema wengine sio tija,nyie tuelezeni mtatufanyia nini watanzania?maana leo anaenda kutembelea kiwanja you are wasting your time ya kampeni,juzi ulikuwa kifungoni why wasting time??????Mgombea wa Urais anayetarajiwa kupata ushindi mkubwa Tundu Lissu leo ataitetemesha Chato na viunga vyake katika kampeni zake zilizoivuta Dunia.
Taarifa kutoka ndani ya Team yake ya Kampeni kabla ya kuhutubia mkutano wa Hadhara atautembelea Uwanja wa ndege wa Chato uliozua gumzo nchini kote kutokana na Ujenzi wake.
Tundu Lissu amepata uungwaji mkono mkubwa kutoka Makundi yote ya Jamii hususan Wafanyakazi ambao wanalaani kupitishwa kwa sheria Haramu ya kupora Mafao yao. CCM na serikali yake walipitisha sheria ya kuzuia Mafao ya Wafanyakazi hata Kama ameacha kazi akiwa na miaka 30 haruhusiwi kupewa haki yake ya mafao mpaka afikishe miaka 60.Sheria hii Haramu imelaaniwa na kila mfanyakazi na Tundu Lissu ameapa kuifutilia mbali Mara tu baada ya kuapishwa.
Ingawa Chato ni nyumbani kwa mgombea Urais wa CCM Lakini kwa muda mrefu CHADEMA imekuwa na uungwaji mkono mkubwa na inao wafuasi wa kutosha.Mmoja wa makamanda mashuhuri wanaotokea Chato ni mwanamama Husna Amri ambaye anajulikana nchi nzima kwa ujasiri wake.
Tunatarajia kuwaletea kila kitakachojiri katika mapokezi na Mkutano wa Kampeni hapa Chato.
Unamfananishaje Mh.Lissu na kutumwa?Nani mwenye uwezo huo hapa duniani?Yaani umtume Mwalimu wa Sheria eti kwa kivuli cha ubeberu!
Hata miye aiseeuwanja wa ndege wa chato unalindwa na kufichwa kama uke vile wa mke wa mfalume. angalau zaira ya lissu itapelekea tuoache picha za huo uwanja maana sujawahi kuuona.
Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
Kuwa mwanachadema lazima kuna nati moja kichwani iwe haipoMachadema yanatembelea nyota za wajinga wachache wasiojitambua, mwisho tr 28 tu huu ujinga huu, uwanja si ndio unaowatukania watu wa chato kila siku!
Haya poleni, ndo umeshajengwa na hamna lolote mnaweza fanya.Inategemea unadefine vipi Ukaguzi.
Kuponda kitu siyo lazima ukione. Unaweza kumponda hata concept ya mtu .... Idea ya kujenga uwanja pale Chato ndiyo inayopondwa kabla ya ujenzi na baada ya ujenzi!! Utaelewa siku wana Chato watakapoaanza kuanika mpunga wao hapo.