Uchaguzi 2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

Unatembeleaje uwanja unaouponda kila siku? Aende akatembelee na traffic lights.
Kama una akili sawasawa. Ungeelewa kwamba hajawahi kuponda uwanja kwa maana ya ubora anachosema . Yeye ni mchakato wake kuanzia tenda na gharama zake .pia unazungumzia uhalali wa kujenga huko chato kijijini kwa MAGUFULI. Hizi degree za kudesa zinawaacha uchi kichwani nyie
 
Uwanja sio wa wana chato pekee hata uwanja wa DSM unatumika na mtanzania yoyote na wengine kutoka nje ya nchi
Huko hao wote watafuata Nini?Hats dsm wanaofika no wachache na wakati mwingine wanalazimika katika mazingira Fulani tu.
 
Wana Chato Kama mnazipenda nyumba zenu kaeni majumbani mwenu yasiwakute ya kimara
Usiwatishe wakati bado Siku 16 jamaa aondoke ofisini na kurudi huko kwao kama mwanakijiji mwenzao.
Hawezi kuishi eneo jingine nchi hii maana hakuna serikali ya kijiji au mtaa itamkubali
 
Usiwatishe wakati bado Siku 16 jamaa aondoke ofisini na kurudi huko kwao kama mwanakijiji mwenzao.
Hawezi kuishi eneo jingine nchi hii maana hakuna serikali ya kijiji au mtaa itamkubali
Thus tumewataadharisha tu wasifanye makosa
 
Hii hesabu feki. Tanzania ni kubwa sana, hakukuwa na sababu ya Lissu kurudi kanda ya ziwa mara ya tatu. Anapoteza muda wake na resources, wasukuma hawezi kuacha kumpa kura mtu wao.
..tume ndio inapanga wagombea wakampeni mkoa na wilaya gani.

..kwa hiyo ukimuona Magufuli yuko Dsm ujue tume ndio imempangia ratiba hiyo.

..kwa hiyo Tundu Lissu wiki hii amepangiwa kufanya kampeni maeneo ya kanda ya ziwa.

..kwa siku ya leo Lissu amepangiwa kuwa Mbogwe, Bukombe, na Chato. kesho amepangiwa kuwa ukerewe, na rorya.

..Vivyo hivyo kwa wagombea wenza, wao nao ratiba za kampeni zao inapangwa na tume.

..link ya ratiba ya uchaguzi hii hapa:
https://www.nec.go.tz/uploads/documents/sw/1601631440-RATIBA YA KAMPENI TOLEO LA TANO.pdf
 
Haya ni matukio ya kufanywa na "saccos" ili kuongeza joto la uchaguzi na kuonyesha kwamba wanaonewa ili wapate kura za huruma, maana wanajuwa wameisha shindwa, iliyobaki ni kuharibu tukose wote
 
Acha ubaguzi,Mtanzania hajawahi kuwa Mkenya,vilevike Msukuma hajawahi,kuwa Mhehe.
Nakwambia leo Chato lazima tumpopoe na mawe tunamsubiri kwa hamu.

Kama kweli anajiamini akatize Chato aone!
 
[emoji120]Big up.

Wafuasi wake wasichoelewa, kama kweli ataenda Chato, nia si kufanya kampeni, bali kusababisha vurugu, ili Serikali ilaumiwe. Hicho ndicho alichokifanya Kahama kukaribisha wafuasi wake hotelini usiku akijua Polisi ingeingilia kati na kubeba lawama.

Kwa kila hali, adhima ya Lissu ni nchi kuingia kwenye machafuko. Lakini hajui kuwa wafuasi wake ni wa mitandao ya kijamii lakini kkuhalisia hakuna atakayeingia barabarani kuitikia upuuzi wake.
 
Nakwambia leo Chato lazima tumpopoe na mawe tunamsubiri kwa hamu.

Kama kweli anajiamini akatize Chato aone!
Ndio maana watanzania tumewakataa kwani mmeishiwa Sera,mmechagua kutumia nguvu,mliokuwa wachache.
 
Mungu ambariki na kumlinda Mja wake Tundu Antiphas Lissu. Amuepushe na mabaya na wabaya wote kwa Jina la Yesu
 
MaSemitrela yameanza kuzoa watu kuanzia Bagamoyo alfajiri ya leo mvua imewapiga wameshindwa hata kujibanza kwa ugeni walokuwa nao
He he he, mkuu leta picha tuwaone wanavyo hangaika hao wasio tumia ubongo waliopewa bure na Mungu.
Bora angeishusha kabisa mvua ya radi, upepo na mawe kabisa
 
Nakwambia leo Chato lazima tumpopoe na mawe tunamsubiri kwa hamu.

Kama kweli anajiamini akatize Chato aone!
Kama Umetumwa utanyea debe JEKUNDU huko ULINZI wa leo ni MABAKAMABAKA
 
Yule ni muhutu sio msukuma,kata ya Chato ilikuwa wilaya ya Biharamulo mkoa wa kagera akaisogeza Geita,
Maamuzi ya Chato kuwa mkoa wa Geita ilikuwa awamu ya ngapi?

Hii nchi inaongozwa na mtu yeyoto kama tu atajua waafrika tumetoka wapi,yeyoto ambaye atapinga waziwazi kurudi utumwani(kwa wakoloni/Mabeberu).

Tanzania ni nchi ya kipekee sana ,hi nchi haina ubaguzi leo kuna kaka Bashe na Mzee Zungu, hapo muda kidogo uliopita alikuwepo Muajemi safi kabisa tumeishi nae poa kabisa.

Afu inakuja Kenge kama wewe kuleta habari za kijanga eti Magufuli Muhutu,sasa kwa mfano Magu akiwa Muhutu utamfanya nini?
 
Hii hesabu feki. Tanzania ni kubwa sana, hakukuwa na sababu ya Lissu kurudi kanda ya ziwa mara ya tatu. Anapoteza muda wake na resources, wasukuma hawezi kuacha kumpa kura mtu wao.
Tukisema ana ukabila mnabisha sasa mtasema yote
 
He he he, mkuu leta picha tuwaone wanavyo hangaika hao wasio tumia ubongo waliopewa bure na Mungu.
Bora angeishusha kabisa mvua ya radi, upepo na mawe kabisa
Hao wataangamia kwa kukosa maarifa,nayo hiyo kwao ni laana kwa maovu yao.
 
Kwani wafuasi wake wakimfuata hotelini kunakuwa na vurugu gani??? Kwani akifanya kampeni chatt kunakuwa na vurugu gani??? Nyie Ccm Mbona mnakuwa kama mna funza vichwani???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…