Uchaguzi 2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

Du! Kwa hiyo Chato wapo kwenye mateka hawaruhusiwi kuonana na watu?
 
Danganya wapumbavu. Tanzania ya Leo siyo ya Jana. Mwanangu ni mfanyakazi hajaongezewa mshahara miaka 5 na pia mmeamua kuiba Mafao yake unataka tusitafute mtu atakayerudisha heshima ya mfanyakazi?
Endelea kuishi mpaka uwe kizee kama kuna siku utaona maisha ni rahisi,tembea nchi yoyote duniani uwezavyo kama utakuta kuna nchi watu wanaishi kirahisi

Nyanoko
 
Usimfokee hivyo mwenzio!
 
Chato ni strong hold ya chadema walikuwa na wenyeviti wa serikali za mitaa zaidi ya ccm kwa taarifa yako
 
Lissu ulifikiri CHATO ni pa kispotispot ??Nilikuonya tangu asubuhi kuwa makini unavyoingiw CHATO Umeona sasa yaliyokukuta ???

Yaani umepopolewa na mawe ya kutosha shenzitype yaani ulikuwa unatafuta kick CHATO.
 
Mbona hii habari ya Mkutano wa Lissu Chato ,haiweleweki si pro Lissu Wala Ant Lissu wote mmefeli,ketokea Nini,mkutaano ulikuwaje ...vii nyomi?
 
Lissu ulifikiri CHATO ni pa kispotispot ??Nilikuonya tangu asubuhi kuwa makini unavyoingiw CHATO Umeona sasa yaliyokukuta ???

Yaani umepopolewa na mawe ya kutosha shenzitype yaani ulikuwa unatafuta kick CHATO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…