Uchaguzi 2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

Beyond Polics ,huyo Tundu ana chuki,na hata kama akishinda ndio mtamjua.Japo aliwahi kusema hatalipiza kisasi lakini kila siku iendayo kwa Mungu anaonyesha njia bila kumungunya maneno.Bahati mbaya anaongeza mafuta.
 
Kama Mkuu anatokea Eneo hatari Hivi
Lissu ulifikiri CHATO ni pa kispotispot ??Nilikuonya tangu asubuhi kuwa makini unavyoingiw CHATO Umeona sasa yaliyokukuta ???

Yaani umepopolewa na mawe ya kutosha shenzitype yaani ulikuwa unatafuta kick CHATO.
Hili tukio limemuongezea kura Lissu.
Mwenyewe nimewadharau sana.

Haijawahi kutokea
Msoga
Butiama
Lupaso
Kisarawe
Kote wapinzani walienda Leo hofu gani mpopoe mawe badala ya hoja.

Nimethibitisha CCM ni dude Kubwa lkn dhaifu mno
 
Hakina fujo zozote bali nilichiona ni watu wa huko hawatak kumsikiliza lissu

Mkutano Kafanya na kapata watu wengi tu chato ila Sasa alipotaka kusogea kwenye kijiji cha Magufuli ndio hao “interehamwe” wakaanza kurusha mawe
Kimsingi hii aibu ndio goli Lisu alikua analitafuta ... Magufuli na mdogo wake Kalemani wamefanya mambo ya kitoto kabisa
Lisu anaondoka hapo na ajenda ya kuongea wiki moja mbele
Kama kina Kalemani walikua na nguvu na wanampendwa wangekua na uwezo wa kumzuia toka kahama ; na Geita Lakini hilo limeonyesha udhaifu kuwa hata kwenye mkoa wa Geita wanakubalika Ndani ya kijiji chake tu na wala sio Wilaya nzima ya chato na hilo ni tatizo la kupenda kupita bila kupingwa Kwa Hila
 
Magufuli mwaka atakufa kabisa kwa kihoro hamna namna kura ataiba au majumuisho ya kama kile kibabu na makamba wasahau tu
 
Lissu ulifikiri CHATO ni pa kispotispot ??Nilikuonya tangu asubuhi kuwa makini unavyoingiw CHATO Umeona sasa yaliyokukuta ???

Yaani umepopolewa na mawe ya kutosha shenzitype yaani ulikuwa unatafuta kick CHATO.
Kwahiyo unaona ni sifa msafara wa mgombea kupopolewa mawe? Je, na wao wangejibu mashambulizi kitu gani kingetokea? Akili za namna hii ni majanga kwa taifa.
 
Ndio maana yalipewa jina mafao ya uzeeni. Ukiwa kijana unaweza jituma vyovyote vile ukaishi. Ukifika fainali uzeeni unapewa chako kinakufaa.
Kwenye mafao hakuna neno ya uzeeni acha udanganyifu
 
Yeye si alisema anaenda kumdharirisha Magufuli Nyumbani kwake na mimi nikasema akifanya hivyo CHATO hatatoka salama na imekuwa hivyo.
 
Nimethibitisha CCM ni dude Kubwa lkn dhaifu mno[emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji818][emoji818][emoji617][emoji617][emoji777][emoji777][emoji777]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lissu ulifikiri CHATO ni pa kispotispot ??Nilikuonya tangu asubuhi kuwa makini unavyoingiw CHATO Umeona sasa yaliyokukuta ???

Yaani umepopolewa na mawe ya kutosha shenzitype yaani ulikuwa unatafuta kick CHATO.

Hadi uchaguzi wa serikali za mitaaa
Mwaka jana Mwenyekiti wa kijiiji chato na asilimia kubwa ya wenyeviti chato walikua Chadema na mara zote Mbunge amekua anapita kwa hila kama kuteka ; kupora fomu na kuziba barabara ili kumzuia kurudisha fomu ; hajawahi kupigiwa kura
Kimsingi mbinu alizokiwa anatumia chatto ndio Kaleta nchi nzima kama Rais na kuimaliza ccm kwenye mioyo ya watu
 
Maskini magufuli kakataliwa flat tena anadharauriwa na wananchi wanathamini viuono vya wasanii kuliko maneno ya magufuli kashushwa hadhi hadi anapiga magoti huku akikenuwa
 
Wangejaribu wakaona jombaa watu walikuwa wamejipanga.
 
Nafikri Lissu imepata jibu chato siyo Singida.
Nikweli amepata jibu
je hizi ndio siasa tunazozitaka kiongozi?
Kuna maisha zaidi ya hizi siasa
JE na chadema nao waamue sasa kwenye zile stronghold zao, kama Arusha, Dar, Mbeya, Iringa, nao waruhusu watu wao kushambulia mikutano ya CCM tutafika??
Kwani ni lazima watu waende kwenye mikutano, humpendi mgombea usiende kwenye mikutano
Hii ni dalili ya CCM, kutokuwa na busara kabisa, Magufuli na ccm yake wamekwenda, Mbeya, ARusha, Bukoba hadi kigoma kwenye ngome za upinzania lakini hawakufanyiwa fujo, JE NAO WAAMRISHE KUANZIA SASA VIJANA WAO WASHAMBULIE MIKUTANO YA CCM??
 
Lissu ulifikiri CHATO ni pa kispotispot ??Nilikuonya tangu asubuhi kuwa makini unavyoingiw CHATO Umeona sasa yaliyokukuta ???

Yaani umepopolewa na mawe ya kutosha shenzitype yaani ulikuwa unatafuta kick CHATO.
Kumbe kunawavuta bangi humu
 
Toa maujinga yako leo aibu yenu mngekuwa na watu hayo yangewapata CHATO hawatakagi ujinga.
 
Magufuli ni sawa na shetani maslahi ya nchi anakula yeye wapwa zake shemeji zake na mabazazi wengine
 
Yeye si alisema anaenda kumdharirisha Magufuli Nyumbani kwake na mimi nikasema akifanya hivyo CHATO hatatoka salama na imekuwa hivyo.
Mnalipwa ujira duni sana kwa kazi ya kibwege sana , Elfu 50 itakusaidia nini hadi utumike kurusha mawe ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…