Uchaguzi 2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

TAL. Mungu akutangulie na kukulinda. Amina.
 
He was overwhelmed to become president. Has he ever been even a class monitor?
 
Unatembeleaje uwanja unaouponda kila siku? Aende akatembelee na traffic lights.
Akapanda na mabasi ya mwendo kasi, akapita ubungo interchange, tazara flyover, kigamboni, huko kote alikuwa akisonononeka kwa alivyokuwa akimtukana na kumkashifu huku akitoa machozi ya furahaa na kusema moyoni dah ama kweli huyu JPM ni jiwe lilokataliwa na waashi, lakini ndiyo limekuwa jiwe kuu la msingi wa Tanzania
 
Kampeni meneja wa Lisu huyo mrefu mwenye miwani Golugwa alienda na akina Godbless Lema kumzika mbwa wa mbunge wa Chadema Nassari wakiwa na viongozi wa Juu wa CHADEMA lakini hawakwenda kuzika mamia ya wakerewe waliokufa kwa ajali ya meli ya MV Nyerere .Kwao mbwa alikuwa wa muhimu kuzika kuliko wakerewe

Halafu wanategemea kwenda huko Ukerewe kuomba kuomba kura

 
Hii hesabu feki. Tanzania ni kubwa sana, hakukuwa na sababu ya Lissu kurudi kanda ya ziwa mara ya tatu. Anapoteza muda wake na resources, wasukuma hawezi kuacha kumpa kura mtu wao.
Hata Mimi nimeshangaa Kuna sehemu hajawahi fika kabisa why asiende huko jamani.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 

Majibu sio lazima tumpe tunampuuza. Hata kuna wanadaresalama wengi tu hawajawahi kutumia uwanja wa ndege dar. Tumia akili
 
Hamna lolote nyie mliokosa sera
 
Bora yeye kuliko kusomba watu wa kila kona ya Dar na leo tena kuwapeleka Tanganyika perkazi
Hivi Hawa watu wanaosombwa hua wanafungwa kitambaa machoni,miguuni na mikononi kwamba lazima waende? Mi nafikiri Ni kwa mapenzi yao ndo maana wanavalia jezi ya chama na kusubiri usafiri mahali walipokubalina kukutana.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…