Chozi la Jenerali Mabeyo akisimulia siku za mwisho za Hayati Magufuli linaashiria nini?

Chozi la Jenerali Mabeyo akisimulia siku za mwisho za Hayati Magufuli linaashiria nini?

Mabeyo hakuwa na sifa ya kuwa CDF alibebwa na ukabila. Magu alikuwa mkabila hasa, mpk leo sijui ingegawanyika mara ngapi.
Mabeyo amepishwa kuwa major general 2014 akapewa na ukuu wa military intelligence siku hiyo hiyo akaapishwa mwakibolwa kuwa major general enzi hizo TZ na Rwanda kunafukuto unapewa ukuu wa MI ujue sio mchezo.
Hakuna cheo alichoruka mabeyo alikuja kuwa luten general (chief of staff).
Mzazi wako angetumia kondom ty
 
Tuambie wewe nani alipaswa kuwa Mkuu wa Majeshi? Maana Mabeyo wakati JPM anaingia tayari alikuwa ni moja ya makamanda wa ngazi ya juu kabisa jeshini wala si kwa kubebwa na Magufuli!
Mabeyo ameapishwa kuwa major general na kuwa mkuu wa intelligence jeshini 2014 Tanzania ikiwa na chokochoko na Rwanda.
Labda kama alibebwa na kikwete
 
Saa nane mchana watu watatu wakapokea simu kutoka hospitali: Kamanda CDF, Kamanda IGP na Kamanda DGS wa Usalama. Wakafika haraka wakamkuta kapumzika lakini kakata kauli.

Wakwanza wakamuita Profesa Masero kumwongezea nguvu Profesa Janabi. Kabla ya hapo, asubuhi yake, walikuwa wameshatuma madereva kuwaleta Paroko wa Oysterbay na Kadinari Pengo kumuombea sala ya wagonjwa baada ya Mzee kusema "siwezi kupona." Saa kumi na mbili unusu jioni Mzee akafariki mbele ya watu watatu: CDF, IGP, DGS.

Wakaanza kusoma katiba inasemaje kuhusu utaratibu wa nani anatangaza kwa jamii. VP Samia alikuwa Tanga, PM Majaliwa alikuwa Dodoma, wakawatumia ujumbe. Wakakumbuka hatuwezi kutangaza, familia haijaambiwa. Mkewe alikuwa Ikulu Dar es Salaam. Wakatuma mtu kumpa taarifa mkewe Ikulu Dar es Salaam na ndege ya kukodi kupeleka taarifa kwa mamaake mgonjwa Chato.

===================================

Mfumo dume ni mzito sana Afrika, lakini hivi mwanamke na watoto, unakubalije mmeo, babaako, afie mbele ya wanajeshi nyinyi siku nzima hampo, hamjali, hamjui na hamjijui ??????

View: https://youtu.be/9Hyg_T0yb-8
 
Una uhakika gani alikuwa na COVID-19?

Wewe ni sehemu ya waliojipenyeza kutumia mwanya wa dhania ya COVID-19 kumwua ipo siku utajuta hili halitasahaulika na kuchwa lipotee bure bila wahusika ..................
Kama kuna watu waliweza kujipenyeza na kumuua, pamoja na ule ulinzi wote basi hao watu wana akili sana.
 
Saa nane mchana watu watatu wakapokea simu kutoka hospitali: Kamanda CDF, Kamanda IGP na Kamanda DGS wa Usalama. Wakafika haraka wakamkuta kapumzika lakini kakata kauli.

Wakwanza wakamuita Profesa Masero kumwongezea nguvu Profesa Janabi. Kabla ya hapo, asubuhi yake, walikuwa wameshatuma madereva kuwaleta Paroko wa Oysterbay na Kadinari Pengo kumuombea sala ya wagonjwa baada ya Mzee kusema "siwezi kupona." Saa kumi na mbili unusu jioni Mzee akafariki mbele ya watu watatu: CDF, IGP, DGS.

Wakaanza kusoma katiba inasemaje kuhusu utaratibu wa nani anatangaza kwa jamii. VP Samia alikuwa Tanga, PM Majaliwa alikuwa Dodoma, wakawatumia ujumbe. Wakakumbuka hatuwezi kutangaza, familia haijaambiwa. Mkewe alikuwa Ikulu Dar es Salaam. Wakatuma mtu kumpa taarifa mkewe Ikulu Dar es Salaam na ndege ya kukodi kupeleka taarifa kwa mamaake mgonjwa Chato.

===================================

Mfumo dume ni mzito sana Afrika, lakini hivi mwanamke na watoto, unakubalije mmeo, babaako, afie mbele ya wanajeshi nyinyi siku nzima hampo, hamjali, hamjui na hamjijui ??????

View: https://youtu.be/9Hyg_T0yb-8

Sidhani hili linahusisha mfumo dume. Nadhani hata ikitokea kwa rais mwanamke huenda itakuwa hivi hivi tu. Ukishakuwa rais unakuwa si property ya familia. Hata sasa bila shaka kuna maamuzi mume wa rais hawezi yafanya juu ya mkewe bali yatafanywa na vyombo vya ulinzi
 
Wakati S100 huko Tanga akisema ^tumafua-mafua tu twa kawaida mtu kuchunguzwa,^ inasemekana JPM alishaondoka kitambo sana.

Ilikuwa tu namna ya kupima upepo na kutuliza rabsha za wananchi zilizokuwa zimeshapanda tayari.

Hata ile kauli ya ^Yuko ofisini anachapa kazi. Mnataka Rais akazurure Kariakoo au Magomeni?^ ilitamkwa baada ya umauti.
 
Nimetoka kuangalia interview ya mstaafu mabeyo nimeona jinsi alivyolihandle swala la kifo cha magufuli kibusara na utulivu wa hali ya juu

Inaoneka kuna mengi sana yaliendelea chini baada ya kifo cha rais magufuli ila ni busara zaidi mabeyo zilitumika na tamaa aliwekaa mbali

.katiba ni makaratasi tu angemua kuto kufuata hakuna wa kumuulizA

Maana baaada ya kifo cha magufuli kutokana na maneno yake ni vyombo vya usalama tu ndo vilijua magufuli kafariki hata mama samia alikuwa hajui maana alikuwa tanga

So ni watu wachache sana walijua watu ulinzi tu

mabeyo ni true stateman wa taifa hili anahitaji sanamu lake au hata uwanja unaojenga mama samia huko arusha upe jina mabeyo au hata daraja la busisi kuenzi mchango wake ......bila yeye bila busara zake tungeongea mengine kama nchi zingine za kiafrica zenye tamaa za madaraka

Mama samia popote ulipo kila ukimuona mabeyo uwe una sema asante asante asante .......

Angekuwa mtu mwenye tamaaa ya madaraka tu usingekuwa raisi

Mabeyo is best of best alilinda katiba aliweka tamaaa nyuma
 
Mabeyo anasingizia eti two thoughts ndio zilichelewesha kumuaoisha Rais wakati huo huo anasema kikatiba inatakiwa within 24hrs,hivi anajaribu kumfanya nani ni mtoto hapa wa eti huo ndio ulikuwa mjadala? 🤣🤣🤣🤣

Huyu huyu alitoa Kauli ya utata baada ya Mazishi kule Chato.Aache kujikanganya kama sio mzungumzaji mzuri.

Kwanza sio sawa kabisa kuwafahamisha PM na KMK taarifa za kifo Cha Rais kabla ya VP Kwa kisingizio Cha eti VP Yuko ziarani Tanga.

Hapo Kuna maswali mengi kuliko majibu ya ule uvumi.

Kiufupi Mimi ndio ningekuwa Samia ningewafyeka wote waliopindisha utaratibu.
Wewe pimbi kazi ya mabeyo haikuwa kutoa taarifa.
Katibu mkuu kiongozi yupo na kapewa taarifa yeye.
 
View: https://m.youtube.com/watch?v=9Hyg_T0yb-8

Katika dunia hii mtu wa mwisho ambae unaweza kuona chozi lake hadharani ni senior army officer na army general ndio kabisa awezi kuonyesha weakness hiyo hadharani.

Sasa cha kushangaza Mabeyo pamoja na kujitahidi kutabasamu ila chozi lilimshinda nguvu kwa sekundę kadhaa ameonekana akibubijikwa machozi ya hudhuni mbele ya camera. Kumbuka ata alipofiwa na mtoto wake rubani, general akutoa chozi alipofika eneo la tukio.

Je anajutia kutosikiliza maamuzi ya watu waliomshauri wapindue męża ya katiba huyo mama hiyo nafasi sio size yake na kinachoendelea leo Tanzania.

Bado watanzania tunasubiri ukweli mchungu sana ....nani ña nani walichota pesa BoT? Nani alitaka kusigina katiba awe yeye rais wa mpito ? Ikawaje ? Ukisema hapo utakuwa msema kweli na historia itakukumbuka daima.....ingawa hata sasa si haba
 
View: https://m.youtube.com/watch?v=9Hyg_T0yb-8

Katika dunia hii mtu wa mwisho ambae unaweza kuona chozi lake hadharani ni senior army officer na army general ndio kabisa awezi kuonyesha weakness hiyo hadharani.

Sasa cha kushangaza Mabeyo pamoja na kujitahidi kutabasamu ila chozi lilimshinda nguvu kwa sekundę kadhaa ameonekana akibubijikwa machozi ya hudhuni mbele ya camera. Kumbuka ata alipofiwa na mtoto wake rubani, general akutoa chozi alipofika eneo la tukio.

Je anajutia kutosikiliza maamuzi ya watu waliomshauri wapindue męża ya katiba huyo mama hiyo nafasi sio size yake na kinachoendelea leo Tanzania.

Well explained!
Imeondosha makandokando mengi mno ya uongo yaliyokuwa yakisemwa mitaani.
 
Kafa jioni, PM kapigiwa simu aje Dar

Kuna mtu akatumwa aende Chato apeleke taarifa kwa mama wa JPM

Huku wakawa wanasoma katiba nani awe Rais?

Huku wakiimarisha ulinzi sehemu muhimu za nchi.

Maoni yangu, naungana na wale wote wanaosema JPM alifariki siku kadhaa nyuma kabla ya 17 March 2021.
 
Back
Top Bottom