Duc in altum
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 1,781
- 3,591
Mabeyo amepishwa kuwa major general 2014 akapewa na ukuu wa military intelligence siku hiyo hiyo akaapishwa mwakibolwa kuwa major general enzi hizo TZ na Rwanda kunafukuto unapewa ukuu wa MI ujue sio mchezo.Mabeyo hakuwa na sifa ya kuwa CDF alibebwa na ukabila. Magu alikuwa mkabila hasa, mpk leo sijui ingegawanyika mara ngapi.
Huna akiliWatanzania kujifanya wajuaji kwenye mambo msiyo yajua ,sasa hapa unachambua matukio kwa mawazo na maono yako utadhan kweli wakati hizo ni hisia zako tu
Mabeyo ameapishwa kuwa major general na kuwa mkuu wa intelligence jeshini 2014 Tanzania ikiwa na chokochoko na Rwanda.Tuambie wewe nani alipaswa kuwa Mkuu wa Majeshi? Maana Mabeyo wakati JPM anaingia tayari alikuwa ni moja ya makamanda wa ngazi ya juu kabisa jeshini wala si kwa kubebwa na Magufuli!
Kama kuna watu waliweza kujipenyeza na kumuua, pamoja na ule ulinzi wote basi hao watu wana akili sana.Una uhakika gani alikuwa na COVID-19?
Wewe ni sehemu ya waliojipenyeza kutumia mwanya wa dhania ya COVID-19 kumwua ipo siku utajuta hili halitasahaulika na kuchwa lipotee bure bila wahusika ..................
Toa neno watu wema, usichanganye watu wema na mtu muovu.Kumpoteza Magufuli kwa ghafla namna ile iliumiza na bado inaumiza watu wema wengi wanaoitakia mema Nchi hii. 🙏🙏 !
Sidhani hili linahusisha mfumo dume. Nadhani hata ikitokea kwa rais mwanamke huenda itakuwa hivi hivi tu. Ukishakuwa rais unakuwa si property ya familia. Hata sasa bila shaka kuna maamuzi mume wa rais hawezi yafanya juu ya mkewe bali yatafanywa na vyombo vya ulinziSaa nane mchana watu watatu wakapokea simu kutoka hospitali: Kamanda CDF, Kamanda IGP na Kamanda DGS wa Usalama. Wakafika haraka wakamkuta kapumzika lakini kakata kauli.
Wakwanza wakamuita Profesa Masero kumwongezea nguvu Profesa Janabi. Kabla ya hapo, asubuhi yake, walikuwa wameshatuma madereva kuwaleta Paroko wa Oysterbay na Kadinari Pengo kumuombea sala ya wagonjwa baada ya Mzee kusema "siwezi kupona." Saa kumi na mbili unusu jioni Mzee akafariki mbele ya watu watatu: CDF, IGP, DGS.
Wakaanza kusoma katiba inasemaje kuhusu utaratibu wa nani anatangaza kwa jamii. VP Samia alikuwa Tanga, PM Majaliwa alikuwa Dodoma, wakawatumia ujumbe. Wakakumbuka hatuwezi kutangaza, familia haijaambiwa. Mkewe alikuwa Ikulu Dar es Salaam. Wakatuma mtu kumpa taarifa mkewe Ikulu Dar es Salaam na ndege ya kukodi kupeleka taarifa kwa mamaake mgonjwa Chato.
===================================
Mfumo dume ni mzito sana Afrika, lakini hivi mwanamke na watoto, unakubalije mmeo, babaako, afie mbele ya wanajeshi nyinyi siku nzima hampo, hamjali, hamjui na hamjijui ??????
View: https://youtu.be/9Hyg_T0yb-8
Wewe pimbi kazi ya mabeyo haikuwa kutoa taarifa.Mabeyo anasingizia eti two thoughts ndio zilichelewesha kumuaoisha Rais wakati huo huo anasema kikatiba inatakiwa within 24hrs,hivi anajaribu kumfanya nani ni mtoto hapa wa eti huo ndio ulikuwa mjadala? 🤣🤣🤣🤣
Huyu huyu alitoa Kauli ya utata baada ya Mazishi kule Chato.Aache kujikanganya kama sio mzungumzaji mzuri.
Kwanza sio sawa kabisa kuwafahamisha PM na KMK taarifa za kifo Cha Rais kabla ya VP Kwa kisingizio Cha eti VP Yuko ziarani Tanga.
Hapo Kuna maswali mengi kuliko majibu ya ule uvumi.
Kiufupi Mimi ndio ningekuwa Samia ningewafyeka wote waliopindisha utaratibu.
Bado watanzania tunasubiri ukweli mchungu sana ....nani ña nani walichota pesa BoT? Nani alitaka kusigina katiba awe yeye rais wa mpito ? Ikawaje ? Ukisema hapo utakuwa msema kweli na historia itakukumbuka daima.....ingawa hata sasa si haba
View: https://m.youtube.com/watch?v=9Hyg_T0yb-8
Katika dunia hii mtu wa mwisho ambae unaweza kuona chozi lake hadharani ni senior army officer na army general ndio kabisa awezi kuonyesha weakness hiyo hadharani.
Sasa cha kushangaza Mabeyo pamoja na kujitahidi kutabasamu ila chozi lilimshinda nguvu kwa sekundę kadhaa ameonekana akibubijikwa machozi ya hudhuni mbele ya camera. Kumbuka ata alipofiwa na mtoto wake rubani, general akutoa chozi alipofika eneo la tukio.
Je anajutia kutosikiliza maamuzi ya watu waliomshauri wapindue męża ya katiba huyo mama hiyo nafasi sio size yake na kinachoendelea leo Tanzania.
Well explained!
View: https://m.youtube.com/watch?v=9Hyg_T0yb-8
Katika dunia hii mtu wa mwisho ambae unaweza kuona chozi lake hadharani ni senior army officer na army general ndio kabisa awezi kuonyesha weakness hiyo hadharani.
Sasa cha kushangaza Mabeyo pamoja na kujitahidi kutabasamu ila chozi lilimshinda nguvu kwa sekundę kadhaa ameonekana akibubijikwa machozi ya hudhuni mbele ya camera. Kumbuka ata alipofiwa na mtoto wake rubani, general akutoa chozi alipofika eneo la tukio.
Je anajutia kutosikiliza maamuzi ya watu waliomshauri wapindue męża ya katiba huyo mama hiyo nafasi sio size yake na kinachoendelea leo Tanzania.
Nani anatakiwa awe wa kwanza kupewa taarifa? KMK au VP?Wewe pimbi kazi ya mabeyo haikuwa kutoa taarifa.
Katibu mkuu kiongozi yupo na kapewa taarifa yeye.