Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Pumbavu
Baada ya kumsikiliza CDF niligundua hata Waziri mkuu wakati anawaambia watu Rais ni mzima na anachapa kazi pengine hata yeye alikuwa hafahamu ni kitu gani kinaendelea.
Kivipi wakati wizi wa kura utarindima kama kawaida2025 ukweli utajulikana nani anahusika.
Waziri mkuuu Kassim Majaliwa aliwahakikishia watanzania kuwa Rais wao mpendwa mpinga ufidadi na uonevu yupo salama na anachapa kazi. Hii ni baada ya wiki mbili Rais hayati Magufuli kutoonekana kwa wiki mbili hadharani.
Miaka mitatu baada ya kifo chake huyu shujaa wq Afrika. Mkuu wq majeshi mstaafu anaibuka hadharani na kudai kuwa hayati Magufuli alikuwa mgonjwa na aliomba aitwe Paroko wake na kadinali Pengo ili apewe sacrament ya wagonjwa mahututi.
Kama kweli alikuwa mgonjwa wa kawaida. Mbona Waziri mkuu alidanganya? Mbona Cdf mstaafu anaongea taarifa tofauti na waziri mkuu?
2025 ukweli utajulikana nani anahusika.
Kumbe wewe siyo mbwa utabaki mileleTunashukuru Mungu huyo mbwa amekufa
Haikuwa kazi ya CDF kubadili vipengere vya katiba, kazi yake ililuwa kuisimamiaAfya ya Rais ni kitu nyeti sana ambacho sio muda wote kiwe wazi Masaa 24.
Kwa Kasimu Majaliwa kusema Rais yuko anachapa kazi, alikua sahihi .
?.
Binafsi namlaumu sana CDF, Kwa kukubali Katiba ifuatwe, likatiba libovulibov hili ambalo Kila mtu anajua libovu matokeo yake Sasa
Wamasai wanahamishwa Toka kwenye Ardhi Yao Mama.
Bandari kapewa Mwarabu , kiasi Cha kuleta division kisiasa, kidini .
Halmashauri zimejaa wizi wizi
Makamba anaingia mkataba wa kihuni na Wahindi ETI Umeme, BILION 60?? Kumamakeee.
Ufisadi umeongezekaaaa ,Kila Kiongozi anatumia Kwamba yake kuiba malinya watanzania.
Miradi mingi ya JPM imesimama na inayoendelea ni Kwa mwendo wa kinyonga.
WAUAJI wanaachiliwa huru ,huku haki za walouliwa hazijulikani.
Uvivu, Uzembe, lugha chafu , kuchelewa kazin, kutokukaa ofisini , Sasa ni sehem ya mazoea ya Watumishi.
Maneno yamekua mengi ,uwajibikaji sifuri.
Hamna mradi Mpya unaweza sema, hii ni alama ya Sa100.
Kwa Ufupi, walotaka Sa100 asiwe Rais, walikua sahihi sana.
Ex-CDF atakumbukwa na wahuni wachache, mafisadi, ambao Sasa wamempa Uenyekiti Sijui wa nn Ngorongoro !!
Na hata yeye X CDF naimani nafsi inamuhukumu kuchagua kuifuata katiba ya hovyo, hasa baada ya kukabithiwa hatima ya nchi na Mwamba.Afya ya Rais ni kitu nyeti sana ambacho sio muda wote kiwe wazi Masaa 24.
Kwa Kasimu Majaliwa kusema Rais yuko anachapa kazi, alikua sahihi .
?.
Binafsi namlaumu sana CDF, Kwa kukubali Katiba ifuatwe, likatiba libovulibov hili ambalo Kila mtu anajua libovu matokeo yake Sasa
Wamasai wanahamishwa Toka kwenye Ardhi Yao Mama.
Bandari kapewa Mwarabu , kiasi Cha kuleta division kisiasa, kidini .
Halmashauri zimejaa wizi wizi
Makamba anaingia mkataba wa kihuni na Wahindi ETI Umeme, BILION 60?? Kumamakeee.
Ufisadi umeongezekaaaa ,Kila Kiongozi anatumia Kwamba yake kuiba malinya watanzania.
Miradi mingi ya JPM imesimama na inayoendelea ni Kwa mwendo wa kinyonga.
WAUAJI wanaachiliwa huru ,huku haki za walouliwa hazijulikani.
Uvivu, Uzembe, lugha chafu , kuchelewa kazin, kutokukaa ofisini , Sasa ni sehem ya mazoea ya Watumishi.
Maneno yamekua mengi ,uwajibikaji sifuri.
Hamna mradi Mpya unaweza sema, hii ni alama ya Sa100.
Kwa Ufupi, walotaka Sa100 asiwe Rais, walikua sahihi sana.
Ex-CDF atakumbukwa na wahuni wachache, mafisadi, ambao Sasa wamempa Uenyekiti Sijui wa nn Ngorongoro !!
Umesoma katiba au unabwabwaja tuHata sasa huwa sielewi ilikuwaje ukastaafishwa na huyohuyo ambaye yupo madarakani kutokana na msimamo wako mkali dhidi ya suala hili na msimamo uliokuwa unagharimu uhai wako wakati wa mvutano huo! Nilitegemea umalize utumishi wako siku utumishi wa amiri jeshi umekoma pia.