Chozi la Jenerali Mabeyo akisimulia siku za mwisho za Hayati Magufuli linaashiria nini?

Waziri mkuuu Kassim Majaliwa aliwahakikishia watanzania kuwa Rais wao mpendwa mpinga ufidadi na uonevu yupo salama na anachapa kazi. Hii ni baada ya wiki mbili Rais hayati Magufuli kutoonekana kwa wiki mbili hadharani.

Miaka mitatu baada ya kifo chake huyu shujaa wq Afrika. Mkuu wq majeshi mstaafu anaibuka hadharani na kudai kuwa hayati Magufuli alikuwa mgonjwa na aliomba aitwe Paroko wake na kadinali Pengo ili apewe sacrament ya wagonjwa mahututi.

Kama kweli alikuwa mgonjwa wa kawaida. Mbona Waziri mkuu alidanganya? Mbona Cdf mstaafu anaongea taarifa tofauti na waziri mkuu?

2025 ukweli utajulikana nani anahusika.
 
Afya ya Rais ni kitu nyeti sana ambacho sio muda wote kiwe wazi Masaa 24.

Kwa Kasimu Majaliwa kusema Rais yuko anachapa kazi, alikua sahihi .
?.

Binafsi namlaumu sana CDF, Kwa kukubali Katiba ifuatwe, likatiba libovulibov hili ambalo Kila mtu anajua libovu matokeo yake Sasa

Wamasai wanahamishwa Toka kwenye Ardhi Yao Mama.

Bandari kapewa Mwarabu , kiasi Cha kuleta division kisiasa, kidini .

Halmashauri zimejaa wizi wizi

Makamba anaingia mkataba wa kihuni na Wahindi ETI Umeme, BILION 60?? Kumamakeee.

Ufisadi umeongezekaaaa ,Kila Kiongozi anatumia Kwamba yake kuiba malinya watanzania.

Miradi mingi ya JPM imesimama na inayoendelea ni Kwa mwendo wa kinyonga.

WAUAJI wanaachiliwa huru ,huku haki za walouliwa hazijulikani.

Uvivu, Uzembe, lugha chafu , kuchelewa kazin, kutokukaa ofisini , Sasa ni sehem ya mazoea ya Watumishi.

Maneno yamekua mengi ,uwajibikaji sifuri.

Hamna mradi Mpya unaweza sema, hii ni alama ya Sa100.

Kwa Ufupi, walotaka Sa100 asiwe Rais, walikua sahihi sana.

Ex-CDF atakumbukwa na wahuni wachache, mafisadi, ambao Sasa wamempa Uenyekiti Sijui wa nn Ngorongoro !!
 
2025 kutakuwa na uchaguzi gani wa kutisha wakati dhalimu magu ameshashusha heshima ya box la kura?
 
Utata uko juu yao/yake.
Rais alikuwa katika hospital ya jeshi.
Rais aliomba kuondolewa katila hospitali hiyo na hakuondolewa mpaka kafa.
Rais kaifia hospitali ya kijeshi.

Ila utata unaonekana watu wa nje ndo wamemdhuru Rais wakati alikuwa chini ya uangalizi wa kijeshi!
Ifike muda tukubali kifo ni kifo lazima kila mtu atakufa bila kuleta sababu sababu.
 
CDF alihojiwa na media ya serikali, alichokiongea ndicho serikali inataka ukijue.

Kwanini wameamua kusema sasa? Hilo nalo ni swali muhimu.
 
Afya ya Rais ni kitu nyeti sana ambacho sio muda wote kiwe wazi Masaa 24.

Kwa Kasimu Majaliwa kusema Rais yuko anachapa kazi, alikua sahihi .
?.

Binafsi namlaumu sana CDF, Kwa kukubali Katiba ifuatwe, likatiba libovulibov hili ambalo Kila mtu anajua libovu matokeo yake Sasa

Wamasai wanahamishwa Toka kwenye Ardhi Yao Mama.

Bandari kapewa Mwarabu , kiasi Cha kuleta division kisiasa, kidini .

Halmashauri zimejaa wizi wizi

Makamba anaingia mkataba wa kihuni na Wahindi ETI Umeme, BILION 60?? Kumamakeee.

Ufisadi umeongezekaaaa ,Kila Kiongozi anatumia Kwamba yake kuiba malinya watanzania.

Miradi mingi ya JPM imesimama na inayoendelea ni Kwa mwendo wa kinyonga.

WAUAJI wanaachiliwa huru ,huku haki za walouliwa hazijulikani.

Uvivu, Uzembe, lugha chafu , kuchelewa kazin, kutokukaa ofisini , Sasa ni sehem ya mazoea ya Watumishi.

Maneno yamekua mengi ,uwajibikaji sifuri.

Hamna mradi Mpya unaweza sema, hii ni alama ya Sa100.

Kwa Ufupi, walotaka Sa100 asiwe Rais, walikua sahihi sana.

Ex-CDF atakumbukwa na wahuni wachache, mafisadi, ambao Sasa wamempa Uenyekiti Sijui wa nn Ngorongoro !!
Haikuwa kazi ya CDF kubadili vipengere vya katiba, kazi yake ililuwa kuisimamia

Cha muhimu palipo na matobo pameshaonekana sasa hao waliotaka kupindisha katiba sasa nafasi ni yao wafanye jambo lao 2025 kwasababu wanakaa sebule moja, wanapika chungu kimoja na wanakula sahani moja.

Kwa wakati ule wasingefuata katiba, pengine wangesababisha majanga makubwa na dunia ingetushangaa kwa Taifa linalopigiwa mfano la Baba wa Butiama. Wafanye yao 2025 ili tuamini walikuwa seriasi kweli kweli vinginevyo zitakuwa mbwembwe tu
 
Afya ya Rais ni kitu nyeti sana ambacho sio muda wote kiwe wazi Masaa 24.

Kwa Kasimu Majaliwa kusema Rais yuko anachapa kazi, alikua sahihi .
?.

Binafsi namlaumu sana CDF, Kwa kukubali Katiba ifuatwe, likatiba libovulibov hili ambalo Kila mtu anajua libovu matokeo yake Sasa

Wamasai wanahamishwa Toka kwenye Ardhi Yao Mama.

Bandari kapewa Mwarabu , kiasi Cha kuleta division kisiasa, kidini .

Halmashauri zimejaa wizi wizi

Makamba anaingia mkataba wa kihuni na Wahindi ETI Umeme, BILION 60?? Kumamakeee.

Ufisadi umeongezekaaaa ,Kila Kiongozi anatumia Kwamba yake kuiba malinya watanzania.

Miradi mingi ya JPM imesimama na inayoendelea ni Kwa mwendo wa kinyonga.

WAUAJI wanaachiliwa huru ,huku haki za walouliwa hazijulikani.

Uvivu, Uzembe, lugha chafu , kuchelewa kazin, kutokukaa ofisini , Sasa ni sehem ya mazoea ya Watumishi.

Maneno yamekua mengi ,uwajibikaji sifuri.

Hamna mradi Mpya unaweza sema, hii ni alama ya Sa100.

Kwa Ufupi, walotaka Sa100 asiwe Rais, walikua sahihi sana.

Ex-CDF atakumbukwa na wahuni wachache, mafisadi, ambao Sasa wamempa Uenyekiti Sijui wa nn Ngorongoro !!
Na hata yeye X CDF naimani nafsi inamuhukumu kuchagua kuifuata katiba ya hovyo, hasa baada ya kukabithiwa hatima ya nchi na Mwamba.
 
Hapa mstaafu aliongea kidipromasia zaidi lakini ukweli tunaujua kuhusu hayo majadiliano yalihusu kitu gani tofauti na anachozungumza mstaafu.
Ila bado najiuliza kama kulikuwa na haja ya mahojiano kuhusiana na suala hili!
 
Hata sasa huwa sielewi ilikuwaje ukastaafishwa na huyohuyo ambaye yupo madarakani kutokana na msimamo wako mkali dhidi ya suala hili na msimamo uliokuwa unagharimu uhai wako wakati wa mvutano huo! Nilitegemea umalize utumishi wako siku utumishi wa amiri jeshi umekoma pia.
 
Umesoma katiba au unabwabwaja tu
 
Back
Top Bottom