Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Waziri mkuuu Kassim Majaliwa aliwahakikishia watanzania kuwa Rais wao mpendwa mpinga ufidadi na uonevu yupo salama na anachapa kazi. Hii ni baada ya wiki mbili Rais hayati Magufuli kutoonekana kwa wiki mbili hadharani.
Miaka mitatu baada ya kifo chake huyu shujaa wq Afrika. Mkuu wq majeshi mstaafu anaibuka hadharani na kudai kuwa hayati Magufuli alikuwa mgonjwa na aliomba aitwe Paroko wake na kadinali Pengo ili apewe sacrament ya wagonjwa mahututi.
Kama kweli alikuwa mgonjwa wa kawaida. Mbona Waziri mkuu alidanganya? Mbona Cdf mstaafu anaongea taarifa tofauti na waziri mkuu?
2025 ukweli utajulikana nani anahusika.