Chozi la Jenerali Mabeyo akisimulia siku za mwisho za Hayati Magufuli linaashiria nini?

Sio kwa kiwango unachotaka kufikiria kiongozi
Hali ya rais ilikuwa inajulikana kwa viongozi wa juu ila wakati kifo chake kinatokea wengine hawakuwepo eneo la tukio

..waliokuwa wakishauriana ni Kassimu, Venance, na Bashiru.

..Bashiru tunajua kuteuliwa kwake kulikuwa kinyume na sheria na taratibu.
 

There is a reason amelia. Hawa watu wanajua mengi sana. Sababu za kiusalama, wanakaa nayo milele ndani ya roho zao.

Naombea roho ya marehemu JPM ipumzike kwa amani.
 
Je anajutia kutosikiliza maamuzi
Why ajute? Yaani ajute kuheshimu katiba? Kama mlijua hafai why mlimchagua awe makamu huku mkijua kabisa lolote likitokea atakua Rais?

Kingine ni precedence.... angepinduliwa samia basi trust me yeyote ambaye angechaguliwa ipo siku angepinduliwa tena na tena maana wangeona ni "new normal".
 
Yaa
Yaani wewe unataka kutwist mahojiano yaendane na hisia zako. Mpotoshaji mkubwa wewe.
 

Muda utasema yote. Na sijui kwanini ameamua kufanya hii interview. Pengine lililotokea lilimuumiza sana roho yake
 
This was a great interview!

Very informative even though the general appeared to be holding back some
information.

Understandably so!

Inaendelea kufafanua yale yanayosumbua vichwa vyetu...nini hasa kilitokea kupelekea kifo cha kiongozi wetu? Maana ni kweli hatuishi milele, ila some strange things happen in life as well
 
yumo kwa propaganda. hoja zakwake hazina maguu. Ni mjungu wakuweka majungu. He's not honest man.
Kwakweli si oni honest character kwake...Na pia ni kama ana guilty conscious fulani so he is trying to clear his conscious...Poor him!
 
Yeye alimlilia aliyempa ulaji, amlilie huyo mtoto wake kwani anampa ulaji?
 
Maji yakishamwagika hayazoleki....imeeenda hiyo. Ipo siku nyingine tena🤣🤣🤣🤣🤣
Mwenzako analilia cheo,alitegemea aendelee nacho lakini akaliwa kichwa 😁😁

Saizi anasema labda tungepindua meza ningebaki nacho 🤣🤣🤣🤣🤣

Ila wewe maskini Sasa ndio unaacha kazi zako na kumsikiliza kabisa
 
Sio kwa kiwango unachotaka kufikiria kiongozi
Hali ya rais ilikuwa inajulikana kwa viongozi wa juu ila wakati kifo chake kinatokea wengine hawakuwepo eneo la tukio
Imagine Leo akiulizwa katika hali Ile, why wengine waliendelea kama vile nothing urgent was there?

Kwanini VP hakuambiwa kama msaidizi wa kwanza wa Rais kuhusu hali ya mgonjwa?

Kwakweli hii inezua maswali mengi na pengine wanazidi kutuzulia maswali zaidi kuliko majibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…