Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Navyoona ni kuwa Kuna mategemeo aliyokuwa nayo ambayo hakuyafikia...Then God is God! I praise His name forever!Mabeyo hakuwa na sifa ya kuwa CDF alibebwa na ukabila. Magu alikuwa mkabila hasa, mpk leo sijui ingegawanyika mara ngapi.
Mkuu sidhani kama CDF anachaguliwa kwa utashi wa Rais! Nadhani ni kwa seniority!Kweli kabisa.
View: https://m.youtube.com/watch?v=9Hyg_T0yb-8
Katika dunia hii mtu wa mwisho ambae unaweza kuona chozi lake hadharani ni senior army officer na army general ndio kabisa awezi kuonyesha weakness hiyo hadharani.
Sasa cha kushangaza Mabeyo pamoja na kujitahidi kutabasamu ila chozi lilimshinda nguvu kwa sekundę kadhaa ameonekana akibubijikwa machozi ya hudhuni mbele ya camera. Kumbuka ata alipofiwa na mtoto wake rubani, general akutoa chozi alipofika eneo la tukio.
Je anajutia kutosikiliza maamuzi ya watu waliomshauri wapindue męża ya katiba huyo mama hiyo nafasi sio size yake na kinachoendelea leo Tanzania.
Kwakweli anasababisha maswali zaidi kuliko majibuInawezekana huenda kuna jambo analijutia hakulifanya ili kuokoa uhai wa hayati.
Kifo cha hayati kiliachwa maswali mengi yasiyo na majibu.
Ipo siku mtasema yote mliyofanya sirini.Mods Kwa nini mna entertain mada za kichochezi na za kishenzi Jukwaani? Mna maslahi nayo au?
Wewe na huyo Mabeyo sogezeni pipa jirani Ili mlie Hadi machozi yajae humo.
Kwahiyo mlitaka raisi awe nani?Mwenzako analilia cheo,alitegemea aendelee nacho lakini akaliwa kichwa 😁😁
Saizi anasema labda tungepindua meza ningebaki nacho 🤣🤣🤣🤣🤣
Ila wewe maskini Sasa ndio unaacha kazi zako na kumsikiliza kabisa
Siku gani hiyo? 🤣🤣🤣🤣🤣Ipo siku mtasema yote mliyofanya sirini.
Muulize mtoa mada anaesema mtu anajutia kutosikiliza sauti za kupindua mezaKwahiyo mlitaka raisi awe nani?
Kama ingekuwa hivyo Mwakibola ndio alistahili kuwa CDF.Mkuu sidhani kama CDF anachaguliwa kwa utashi wa Rais! Nadhani ni kwa seniority!
Unataka kusema VP alikuwa hajui kabisa hali ya raisImagine Leo akiulizwa katika hali Ile, why wengine waliendelea kama vile nothing urgent was there?
Kwanini VP hakuambiwa kama msaidizi wa kwanza wa Rais kuhusu hali ya mgonjwa?
Kwakweli hii inezua maswali mengi na pengine wanazidi kutuzulia maswali zaidi kuliko majibu.
Mwenzako analilia cheo,alitegemea aendelee nacho lakini akaliwa kichwa 😁😁
Saizi anasema labda tungepindua meza ningebaki nacho 🤣🤣🤣🤣🤣
Ila wewe maskini Sasa ndio unaacha kazi zako na kumsikiliza kabisa
..Mwamunyange ilikuwa aastaafu mwaka 2016 maana yake huo ndio mwaka aliotimiza miaka 60. Hivyo basi ni sahihi kusema Mwamunyange alizaliwa mwaka 1956.
..Taarifa za kwenye mitandao zinasema Mabeyo amezaliwa mwaka 1956. Yaani mwaka mmoja na Mwamunyange.
..Hoja yangu bado inasimama kwamba kulikuwa na walakini ktk uteuzi wa Mabeyo.
He retired as chief of staff. Kule M23 wanamkumbuka huyo mzeeKama ingekuwa hivyo Mwakibola ndio alistahili kuwa CDF.
No 5 nimekuelewa saanaaaa yaani Dah
Kuna mtu Huwa hataki cheo akiwa mzima na Afya timamu? 😁😁Shida ya wanasiasa. Retired CDF anataka cheo gani?🤣🤣🤣🤣
Unafikiri kila mtu ana kiherehere kama mlivyo? Hata baada ya retirement mnataka kuendelea kuongoza.
Ujumbe umefika, pengine uko coded....
Tunaisubiri but karma is comingSiku gani hiyo? 🤣🤣🤣🤣🤣
Yes ilikuwa interview nzuri sana kwa bahati mbaya sana walioendesha interview hawakuwa na weledi.This was a great interview!
Very informative even though the general appeared to be holding back some
information.
Understandably so!
Nafuatilia Clip Mimi...Angejua hali asingeendelea na yake mpaka mwenzake anakata roho...Kama Kuna mambo ya muhimu kumkabidhi ambayo hayakuwa documented je? Kwani Katiba inasemaje? Nani anakuwa Rais kama aliyepo hawezi majukumu? Kwanini basi hakuwepo hapo wakati huyu ameshindwa majukumu?Unataka kusema VP alikuwa hajui kabisa hali ya rais
Kiongozi wa nchi inajulikana anaumwa unataka shughuli zote zisimame kwamba VP WM nk waache majukumu yao wabaki kumwangalia mgonjwa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Karma ilipita naye,Bado Bashite na kundi lakeTunaisubiri but karma is coming