Chukua hii: 2022 ujio wa Tundu Lissu utaleta Kimbunga

Huyu mleta mada anaumwa mavi, Lissu atarudi na maisha yataendelea, Mtu strong kama Samia hawezi kuhangaika na kauli za Lissu, Only WASHAMBA can do that
Kauli za Lissu ni za kisiasa tu. Mwisho wa siku zaidi ya kuchukua umaarufu wa kisiasa tu hazimzuii Rais Kufanya kazi zakw kwa mafanikio.
 
Shida ni kwamba, utawala wa SSH hautakua na scandal kama zile za kuchonga kama kagoda,, maana kila kitu kinawekwa wazi,, sasa Lisu atapambana kwa points zipi.. maana hii serikali imekuwa faster sana kurekebisha mapungufu kuliko serikali zilizopita,,
Ummy yuko makini sana, akiona kitu kinazengua, faster anasawazisha[emoji16][emoji16]
 
Kauli za Lissu ni za kisiasa tu. Mwisho wa siku zaidi ya kuchukua umaarufu wa kisiasa tu hazimzuii Rais Kufanya kazi zakw kwa mafanikio.
Ni kweli Chief, watu wataongea sanaa, na waachwe waongee, tuna watu 60 mil, haiwezekani wote wakakubaliana na maamuzi yako, kama ambavyo JPM, Mbowe, Kikwete, Lipumba na wengine wote wanaopingwa kila siku na watu mbalimbali, Samia naye ana haki ya kupingwa
 
Hii ni roho ya kuku...acha woga wa kibongo mkuu.
Samia akifanya vizuri atasifiwa, akikosea atakemewa regardless alimsslimia au la!
 
Tundu Lisu alishajimaliza mwenyewe. Huwezi kumkashfu JPM hadharani halafu utegemee watz wakuelewe!!
 
Tundu Lissu atakuja TZ mwaka 2025 kwenye mradi wake wa kugombea urais wa JMT. Na ujue japokuwa viongozi wa CHADEMA wanadai hawatashiriki uchaguzi bila tume huru yeye Lissu atahakikisha anagombea japo ana uhakika wa kushindwa ila kwake ni mradi unaolipanvizuri. Kuna dhana kuwa Lissu anaomba Mbowe afungwe jela ili iwe rahisi kwake kugombea kwa sababu atakuwa kaimu mwenyekiti. Kwenye uchaguzi Lissu anawadanganya mabeberu kuwa atashinda na wanampa pesa nyingi wakiamini kuwa akishinda atabadilisha zile sheria za madini zilizoboreshwa wakati wa Magufuli. Na hata pesa inayochangishwa kwenye kampeni zake hazikusanywi na CHADEMA bali ndugu zake ili ionekane michango inafadhilikampeni kuwa ni pesa za mabeberu. Na picha nyingi lazima zitumwe ku-retire imprest yapesa alozopokea. Kwa nini Lissu adanganye kuwa anakuja 2022 wakati anasubiri kipindi cha uchaguzi 2025?
 
Lissu na cdm kazi yao iliisha pale walipo badili gia angani. Mbowe nafikiri anaelewa huu ukweli, wako wengine bado.
 
Nawashangaa watu wanaochukulia kama vita. Hata Bideni anapingwa wazi wazi na anaendelea kudunda.

Ni mambo ya kawaida.
 

Kitendo cha Lisu kurudi tu tayari, CCM itajivika udola. Baada ya Lisu kuondoka hakuna mpinzani anayefanya siasa za hamasa za kuhatarisha uwepo wa CCM madarakani, ndio maana CCM wamekubali mkutano wa maridhiano kwani wanahisi wako salama. Hivyo wanataka kuhadaa umma ili watu warejee tena kujitokeza kwenye vituo vya kupigia kura. Lakini kitendo cha Lisu kurejea wanajua fika atahamasisha tena watu kupiga kura, na wanajua fika watu wakijitokeza kupiga matokeo hayatakuwa rafiki kwa CCM.

Hivyo naona siasa chafu za CCM kurejea tena kwani wanaona aibu kushindwa na CDM, na kubwa zaidi ni hofu yao iwapo watapoteza madaraka, wanaccm wengi wanaweza kuishia magereza kwa uhuni na wizi waliofanyia taifa hili. Iwapo Lisu atarejea atabadilisha kabisa upepo wa siasa za nchi hii kutokana na ushawishi wake alionao.
 
Mtu yotote anaye mshabikia Tundu Lisu ni wa kupimwa akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…